Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Kama Lowassa angekuwa msafi mngehangaika kumsafisha kiasi hiki? Yeye ni maarufu kwa ufisadi wa Richmond kuliko huo uchapakazi mnaojaribu kutuhadaa nao. Worse still, the guy is ill. Mtamuua kwa kutomshauri apumzike.
 
Ajuaye ni Baba Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa mzima. Tema mate chini.
 
==> okello anasema ukweli, kama huamini...vuta subira, 2015 iko around the corner

==> siku ccm watasema lowassa ndie uchaguzi wao....tutapiga vifijo na nderemo, tutalia kwa furaha na upendo....na nchi yangu itakuwa inaelekea ktk nchi ya ahadi....

Eeeh...mungu, tunakuomba, mbariki lowassa na tanzania na watu wake...!!"

una taarifa mkapa ameikana iyo taarifa kwenye magazeti ya jana?
 
Muamsheni huyo mtoa hoja bado yupo usingizini anaota!!!
 
Duuuh.... basi la siasa limekuacha ....maana fupi namna hii Mkuu unashindwa kutohoa

mada iko hovyo, imelazimishwa lakini bado haielekei. Mada haitegemei usome vyombo vya habari ndipo uelewe, mleta mada anawajibu wa kueleweka yeye mwenyewe bila kutegemea vyombo vya habari vingine au alazimike kutohoa yasotoholeka
 
Sishangai kuitwa domokaya naona unapayuka...
 
Sishangai kuitwa domokaya naona unapayuka...
Hahahaha nimependa namna unavyofikiri na kujadili hoja, unaonesha matatizo na mafanikio ya malezi yetu nyumbani na mfumo wetu wa elimu yetu kama taifa. Tafakari, chukua hatua
 
Hahahaha nimependa namna unavyofikiri na kujadili hoja, unaonesha matatizo na mafanikio ya malezi yetu nyumbani na mfumo wetu wa elimu yetu kama taifa. Tafakari, chukua hatua

angalia historia ya fact zako... na fanya comparison halafu majibu ni kwa faida yako...
 
angalia historia ya fact zako... na fanya comparison halafu majibu ni kwa faida yako...
Nimeijadili hoja yako, umejadili jina la ID yangu, kila kitu kipo wazi, sina matatizo nawe, tunaishi katika ulimwengu tofauti kifikra, ulimwengu wako ni mkubwa kuliko wangu, labda siku nikifikia viwango vyako tunaweza tukajadili hoja na kuvumilia kukosolewa endapo hoja zetu kama hazijakaa vizuri kwani kwangu lengo ni kujenga na kupata mawazo tofauti, hata kama kila siku nitakwambia "mkuu hii imekaa vyema" ilhali si kweli tutakuwa tunamdanganya nani?
 
Acheni polojo na kufata mikumbo na kuwa wafuasi wa siasa chafu za Afrika. Fungueni macho tazamameni tunakoelekea jishughulisheni kwa faida zenu na za familia zenu. Miaka kumi ijayo dunia itakuwa na chalenji nyingi mno. Tofauti ya tajiri na maskini itaongezeka maradufu pigana sasa usije ukachelewa nafasi bado unayo msiwe kama wakata tamaa.
 
Namkubali lowassa lakini Nina wasi wasi ni MTU Wa visasi no gaidi anaweza akaingiza nchi matatizoni
 
Namkubali lowassa lakini Nina wasi wasi ni MTU Wa visasi no gaidi anaweza akaingiza nchi matatizoni

Umesha kaa ukafikiria where will you be in 2015/ October kimaisha au kwako nani atakuwa raisi mwakani ni muhimu sana. Una mtoto? kama unaye umeshafikiria atasoma vipi? University ipi ataenda utamsaidiaje kufikia malengo yake?
 
Sioni rais anaetufaa wrote wananuka ufisadi Wa kutisha mm sina mtoto,sina mume in Oct.nitakuwa namalizia degree yangu APA udom
 
Sioni rais anaetufaa wrote wananuka ufisadi Wa kutisha mm sina mtoto,sina mume in Oct.nitakuwa namalizia degree yangu APA udom

Plan you life then achana na hizi siasa chafu za Afrika. Usiwe unafata mkumbo wa hawa watu humu ndani wengi wao wanakuwa wameshakata tamaa na maisha wanakaa kupiga makelele na siasa kutwa kuchwa7 ili mradi siku zao zisogee humu duniani. They live without a purpose.
Wewe ni msomi think about your future where you want to be and start planning now dont loose your focus na hivi vitu vya kipuuzi. Maraisi wangapi wamepita mabadiliko gani wameleta.
Mungu ni mkuu sana amekupa ubongo utumie vizuri mdogo wangu.

Knowledge is the power but knowledge once transformed into money gives you a greater power.
 
Back
Top Bottom