Plan you life then achana na hizi siasa chafu za Afrika. Usiwe unafata mkumbo wa hawa watu humu ndani wengi wao wanakuwa wameshakata tamaa na maisha wanakaa kupiga makelele na siasa kutwa kuchwa7 ili mradi siku zao zisogee humu duniani. They live without a purpose.
Wewe ni msomi think about your future where you want to be and start planning now dont loose your focus na hivi vitu vya kipuuzi. Maraisi wangapi wamepita mabadiliko gani wameleta.
Mungu ni mkuu sana amekupa ubongo utumie vizuri mdogo wangu.
Knowledge is the power but knowledge once transformed into money gives you a greater power.
Actually cjui about siasa ndo nazisikia humu,,otherwise nikushukuru kwa ushauri mzuri