Sina jipya? Kwani ni uwongo?ni wale wale huna jipya.....
Sina jipya? Kwani ni uwongo?ni wale wale huna jipya.....
kwa majungu mpo vizuri..... Ila fact mmeishiwa
Hivi J. Pombe naye ametangaza nia pia??!!!
sina jipya? Kwani ni uwongo?
wata amini 2015ndugu mm ninani hata nionge sana ila tukumbuke chema chajiuza kibaya chajitembeza sasa kama lowasa ni chema muacheniatauzika hata msiposema mnapo sema sana tunaona kama mnatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa wacha tutafakari utendaji wake hali ya taifa hapalilipo watanzania wataamua
Mkapa anajua mahala pa kupeleka kete yake! Lowassa hazuiliki ... Watajaribu sana kumchafua lakini mwisho wa siku wataendelea kumpa heshima yake!
hujielewi...yaani yeye ndio anapiga kampeni kisayansi zaidi!
subiri
Bwana chipanga acha kupinda hao ni wachambuzi waliobobea wewe ndiye anayetaka kuleta ubishi
kwa maslahi ya mtu wako mimi ni UKAWA lakin kiukweli ccm wakimweka Ly ni SHida Kwetu UKawa
Anakubalika huyo
huna jipya nishakueleza...Kwa akili yako, yaani ulitaka Lowassa aje hapa aseme kuwa aligawa viwanja kiholela au?
kabisa.....Naona mtunzi wa uzi huu umejitahidi kusoma hisia za Mzee Mkapa.
Small thinkers wakiishiwa hoja hugeukia matusi.unazani ni nini kama si tumbo..... Linalo kusumbua...
Then what....
Binafsi nilimpenda Lowasa. Lakini jinsi wapambe wake wanavyompigia debe nimeona kuna walakini. Hivyo, nimefuta upenzi wangu kwa Lowasa.