Ndio maana mkuu nimependa sana alivyojibu hapo mkuu @johnnashjr kwa sababu kaona bandiko ikabidi asitoe comment kwanza arejee kutizama na kuja na kitu alichopata kama watu wote wangekuwa na uelewa huo kwenye inteligence basi ingependeza sana, na pia mtu mmoja hawezi kuwa na elimu zote hata siku moja ingekuwa hivyo tusingeumbwa wengi,huyu jamaa kama angelikuwa na uwezo wa kuona ulimwengu usioonekana basi pia angelikataa hiyo reality naamini kiongozi katika ulimwengu huo una watoto wengi sana.
katika ulimwengu wa kiroho kuna vitu vingi vinafanyika wewe huwezi jua na maadiko yako ya mistari miwili ya bible what u think u know is the drop of water [emoji98] and what u dont know is endless ocean.
Sasa mbona unagomba jaman and ifahamuke elimu ni bahari hahahaha watu banaMithali 26:5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Proverbs 26:5 Answer a fool according to his folly, Lest he be wise in his own eyes.
Acha utoto Rakims kuna watu ndani ya chumba kizima kuna vioo vya kujiangalia pande zote za kuta..........ndio maana nikauliza wanafunikaje?
Halifu sio kila kinachokudhuru wewe lazima kinidhuru na mimi....kwenye ulimwengu wa kiroho kuna imani tofauti tofauti usitake kuniaminisha cha kwako
kazi ya kichwa ni zaidi ya kufuga nywele na kushikilia masikio.Tumia vizuri kichwa chako.
mkuu utaleta feedback hapa, lakini ukiliona lijamaa kama kwenye avata yako sijui itakuajeKesho nitajaribu nione hao viumbe wakiwa wa kike tutamalizana huko huko kama wakiume tunapambana
Kila kitu ni imani,ukiamini itatokea,ila mi nafikir hapo una disturb retina na brain zina form unknown images
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu. Binafsi ni mtafiti, naelewa sana mabandiko yako. Japo kwa baadhi ya wanajamvi ni ngumu kumeza.Salaam, ndio mkuu yote hayo uliyoyasema ni kweli na ndio iliyopelekea mimi kuwafundisha wanajamii ili kuweza kukwepa lakini kwa kuwa wengi uelewa wao ni finyu point walioiona hapo ni kuwa huu ni uchawi hivyo mtu anaehisi hii ni uchawi moja kwa moja hana imani na Mwenyezi mungu kwa maana ukishaamini huu ni uchawi kwamba hadi utengeneze ndio upokee imani ya uwepo wa viumbe visivyoonekana na kama huamini kama hakuna viumbe visivyoonekana basi hata aliyekuumba pia humuamini, pia kwa sisi waislamu kuna sehemu Qur.an inasema vimeumbwa viumbe vingi na tofauti lao mwenyezi mungu angetaka vyote vingekaa pamoja?
Rakims
Ufunguo mkuu wa meditation ni kutulia tu acha mwili na sehemu zake vitape tape ukizidi kutulia kadri unavyozidi kufanya meditation na kuizoea ndio hali hiyo itakuondoka,Napenda sana kufanya meditation, ila nashindwa kutuliza macho bila kukwapua, hata nikiyafunga huwa nahisi yanakwapuka ndani, nifanye nini mkuu?
Ufunguo mkuu wa meditation ni kutulia tu acha mwili na sehemu zake vitape tape ukizidi kutulia kadri unavyozidi kufanya meditation na kuizoea ndio hali hiyo itakuondoka,
Rakims
Wao wanaona kila kitu uchawi lakini hakuna bandiko nilishawahi kuweka lisihisiwe uchawi hata meditation niliwahi kuambiwa ni uchawi, anything nitakacho fundisha humu kinaonekana ni uchawi chochote cha kiroho kisichokua sala wanabodi kwao ni uchawiUpo sahihi mkuu. Binafsi ni mtafiti, naelewa sana mabandiko yako. Japo kwa baadhi ya wanajamvi ni ngumu kumeza.
Mkuu siku hizi hatuoni updates/new threads kuhusu mambo mapya.Pamoja mkuu