Zijue athari za kioo kiroho

Acheni hasira mbona kuna watu wanaongoza kuwachoma moto wezi,wakati wana kaka na ndugu zao wa damu ni wezi na hawawagusi.Kubalini kutofautiana na ikibidi muheshimiane na kujadiliana kwa haki.
sasa yeye katangulia kuniita mpumbavu mimi ningefanyaje?
 
Dah...umehitimisha..ila wengi hawatakuelewa mkuu
 
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
haya mambo usipoyaamini na kuyafuatilia utaishi kwa raha sana, binafsi geto nina li kioo likubwa sana na sijaanza leo kuwa nalo, ila nalala usingizi mzuri wacha tu.....😀😀
Kila ikifika saa nane usiku amka, litizame usiku mitatu saa ile ile mkuu,
Hautaamini tena haya mambo,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni hasira mbona kuna watu wanaongoza kuwachoma moto wezi,wakati wana kaka na ndugu zao wa damu ni wezi na hawawagusi.Kubalini kutofautiana na ikibidi muheshimiane na kujadiliana kwa haki.
Na mtu ukiona kitu akikufai unaachia wengine, ndio maana mimi nikabase huku kwenye intelligence mkuu, nikienda siasa au jokes n.k huwa napita tu, without comments, nashangaa hawa yani hawapiti sehemu bila kusema kitu, ukiuliza watakwambia tunamtangaza mungu mwishoni wataenda casino kutangaza mungu sasa

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time go by step mkuu quotes imezidi urefu wa thread,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…