Ziara za Kinana (Katibu Mkuu wa CCM) Mikoani

Kwa mwendo huu, Huenda hii ikawa ndio secretariety mbovu kuliko zote toka CCM imeanzishwa.
 
Wanashindwa kuelewa Tatizo la chama chao siyo sura za watu bali warudi kwenye misingi ya kiitikadi.Warudi kwenye values....Hizo sura wanazopeleka mikoani hazibadilishi kitu.
 
- Kidumu Chama Tawala, Kidumu CCM!! jana Uwanja wa Mnazi Mmmoja kila kitu kimewekwa kweupee, kwamba CCM sasa nginja nginja, asiyeweza mbio mpya akae pembeni, kuanzia sasa wale wote walioomba kuwa wa-NEC watapewa majukumu ya kusfika chini kwenye matawi na kila miezi mitatu CCM tutakaa chini na kuangalia Viongozi wetu wamefanya nini kukiimarisha Chama?

- Wapinzani it is not an ishu caus eit has never been one, tatizo letu CCM always limekuwa sisi against sisi wenyewe, sasa hili linaletewa dawa kabambe, na asiyetaka anaambiwa atupishe na Chama chetu aende huko kwa wapinzani, people jana tumeanza mambo mapya ya UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI!!

LE Mutuz!!

images
 
Unastahili kuhurumiwa tu kaka. Ofcourse wapinzani is not an issue, kwa sababu hawapo hao 'wa' bali kuna CHADEMA! Unaweza kukumbuka references ngapi mlitumia CHADEMA kama mfano katika kikao chenu kwa siku kadhaa kila siku? Huwezi kukumbuka kwa sababu ni mara nyingi sana na wenzako wengi sana, wakiongozwa na mwenyekiti wako.

- Wapinzani sio tatizo kwa CCM, tatizo ni sisi wenyewe kwa wenyewe CCM, hakuna Kiongozi aliyewataja jana maana ningemshangaa sana Mwenyekiti jana aliweka wazi kwamba kuna sehemu nyingi za chaguzi zilizopita CCM tumekuwa tunaumizana wenyewe kwa wenyewe sio ishu ya Wapinzani, I mean hivi uliona images za Mkutano Mkuu Dodoma, unaweza kulinganisha na chama gani cha upinzani? Are you kidding me or what?

- CCM haiwezi kuwataja Chama chenye Wabunge 46 tu against Wabunge 257, wewe huoni kwamba hapo hakuna hata ukaribu wa kuwataja, tuwataje wka sababu ipi zaidi tu ya kulia lia kila siku, wewe ni chama gani cha siasa badala ya kulilia kuandikisha wanachama wapya hapa bongo mnaenda kuhangaika na matawi ya nje ambao yanakuwa na wanachama watano tu?

- I mean CCM mwendo sasa ni nginja nginja alisema MWenyekiti jana, asiyetaka akae pembeni wapinzani ni wapinzani tu ni wadogo mno kuwajua hata majina ya vyama vyao, pleaseee!!

Le Mutuz!!
 
- Kidumu Chama Tawala, Kidumu CCM!! jana Uwanja wa Mnazi Mmmoja kila kitu kimewekwa kweupee, kwamba CCM sasa nginja nginja, asiyeweza mbio mpya akae pembeni, kuanzia sasa wale wote walioomba kuwa wa-NEC watapewa majukumu ya kusfika chini kwenye matawi na kila miezi mitatu CCM tutakaa chini na kuangalia Viongozi wetu wamefanya nini kukiimarisha Chama?

- Wapinzani it is not an ishu caus eit has never been one, tatizo letu CCM always limekuwa sisi against sisi wenyewe, sasa hili linaletewa dawa kabambe, na asiyetaka anaambiwa atupishe na Chama chetu aende huko kwa wapinzani, people jana tumeanza mambo mapya ya UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI!!

LE Mutuz!!

Braza we kweli mkubwa umbo tu, kichwa ni Poyoyo, eti wapinzani sio issue,
  • Ni mara ngapi mwenyekiti wako pamoja na wajumbe wameitaja CDM kuanzia Dodoma, Mnazi Mmmoja, mpaka kwa wake zao
  • Ni wangapi wamepeta uchaguzi wenu eti kwa sababu wanaimudu CDM, sasa kama sio issue kwa nini watumie CDM kuombea kura
  • Leo hii sera za CDM ndio mmnazitumia kujinadi, Kinana kakazia kuhusu gharama za ujenzi(Sera yetu 2010), Lowasa amesisitiza elimu bure, zote hizi mnakopi na kupesti
 
Wanashindwa kuelewa Tatizo la chama chao siyo sura za watu bali warudi kwenye misingi ya kiitikadi.Warudi kwenye values....Hizo sura wanazopeleka mikoani hazibadilishi kitu.

Kamanda Ben, this chama has demaged beyond repair, unataka scrap ipakwe rangi na itumike upya
 
- Wapinzani sio tatizo kwa CCM, tatizo ni sisi wenyewe kwa wenyewe CCM, hakuna Kiongozi aliyewataja jana maana ningemshangaa sana Mwenyekiti jana aliweka wazi kwamba kuna sehemu nyingi za chaguzi zilizopita CCM tumekuwa tunaumizana wenyewe kwa wenyewe sio ishu ya Wapinzani, I mean hivi uliona images za Mkutano Mkuu Dodoma, unaweza kulinganisha na chama gani cha upinzani? Are you kidding me or what?

- CCM haiwezi kuwataja Chama chenye Wabunge 46 tu against Wabunge 257, wewe huoni kwamba hapo hakuna hata ukaribu wa kuwataja, tuwataje wka sababu ipi zaidi tu ya kulia lia kila siku, wewe ni chama gani cha siasa badala ya kulilia kuandikisha wanachama wapya hapa bongo mnaenda kuhangaika na matawi ya nje ambao yanakuwa na wanachama watano tu?

- I mean CCM mwendo sasa ni nginja nginja alisema MWenyekiti jana, asiyetaka akae pembeni wapinzani ni wapinzani tu ni wadogo mno kuwajua hata majina ya vyama vyao, pleaseee!!

Le Mutuz!!

utaishia kujipendekeza kwa jk ili akupe nafasi za upendeleo za viti maalum jk kakustukia hupati make amekuona we ni sifuri kichwani make hata uongozi wa kata ukigombea unashindwa, bro acha kujipendekeza fanya kazi ujenge familia we nijitu la kutegemea bure toka uzaliwe hadi sasa unamiaka52 unakula na kulala bure kwa baba saivi mzee kafulia umeamua kuanza kumlamba miguu jk
 
- AT LEAST WEWE UNATAKIWA CHADEMA NA UNALIJUA HILO! HA! HA! HA! HA! HA, sasa CCM ni nginja nginja! hakuna kuangalia nyuma, asiyetaka akae pembeni! ha! ha! ha! ha! au una maana Chadema hamtakiwi na wananchi wa Tanzania? was that your point bro? ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Yani huyu mshikaji kila anayemuona ana-quote against CCM ni CHADEMA! Kweli anaumwa CHADEMAPHOBIASIS!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Tunarudi enzi za CHAMA kushika hatamu.

aisee ndiowanaenda kuuwa nchi kabisaaaa nakumbuka enzi kuna wenyeviti ccm kwenye mashirika ndiowalio uwa mfano peter kissumo na marmo walikula kiwanda cha sukari moshi ........ wameeeishindwa sukita na viwanja vya mpira kama arusha na mwanza na maduka kuzungika uwanja pesa zinaliwa

mpaka ccm ife ije upya labda
 
CDM moto huu hauzimiki kwa M4D. CCM Nginjangija style haina kizuizi
 
Braza we kweli mkubwa umbo tu, kichwa ni Poyoyo, eti wapinzani sio issue,
  • Ni mara ngapi mwenyekiti wako pamoja na wajumbe wameitaja CDM kuanzia Dodoma, Mnazi Mmmoja, mpaka kwa wake zao
  • Ni wangapi wamepeta uchaguzi wenu eti kwa sababu wanaimudu CDM, sasa kama sio issue kwa nini watumie CDM kuombea kura
  • Leo hii sera za CDM ndio mmnazitumia kujinadi, Kinana kakazia kuhusu gharama za ujenzi(Sera yetu 2010), Lowasa amesisitiza elimu bure, zote hizi mnakopi na kupesti

- Unajua ni rahisi sana kwa mlevi kudhani wengine wote ni walevi kama yeye, Chama chenye Wabunge 257, kinawezaje kuita chama chenye wabunge 46 kuwa ni a threat? I mean unasema nini bro huoni hakuna hoja hapo?

- A threat chama ambacho toka kianzishwe hakijawahi kushinda Urais, alianza Mtei, Makani, Mbowe, Slaa wote wakapigwa chini Urais na wananchi wa Tanzania, sasa leo unasema CCM tunakiogopa chama cha kushindwa kila mwaka? Pleaseee!!

- CCM wala hatuna habari kuwa mpo, na jana hamktajwa wala hakuna kiongozi wa CCM anayewweza kupoteza muda na chama mfu, sema mengine lakini sio ya hicho chama chenu yaani kama hakipo!! CCM mwendo ni mdundo bro!!

Le Mutuz!!
 
Katibu Mkuu wa chama anaanza kuvaa majukumu ya mawaziri! Mfa maji haishi kutapatapa na hizo zote ni dalili za anguko Lao dhambi waitendayo inawatafuna kidogo kidogo hadi 2015? itakua imewamaliza ... Wakae wakilijua hili

chuki zako tu hizo,subiri jembe lipasue miamba ndo utajua maharage ni mboga au kande
 
utaishia kujipendekeza kwa jk ili akupe nafasi za upendeleo za viti maalum jk kakustukia hupati make amekuona we ni sifuri kichwani make hata uongozi wa kata ukigombea unashindwa, bro acha kujipendekeza fanya kazi ujenge familia we nijitu la kutegemea bure toka uzaliwe hadi sasa unamiaka52 unakula na kulala bure kwa baba saivi mzee kafulia umeamua kuanza kumlamba miguu jk

- Kuna kitu kimoja mnafahamika sana na wananchi na ndio maana kila uchaguzi wanawapiga chini ni matusi na lugha za ovyo ovyo mnashikwa pabaya, wewe huna hoja sasa unajaribu kubadili mjadala ugeuke kuwa matusi no sisi hatutukani ni hoja tu, nahisi umejikomba sana huko kwenu wamekupa cheo ndio maana unahisi kila mtu mwingine anajikomba, poleni sana na chama cha NGO,

- CCM jana tumeweka msimamo, mwendo ni mdundo na ni nginja nginja, wapinzani wote ni sawa tu hakuna mkubwa wala mdogo wote ni wadogo sana kwa CCM chama cha Dume la Mbegu, nendeni nje mkatafute matawi sisi hapa hapa bongo, na safari hi kazi ni kurusidha majimbo ambayo CCM tuliyapoteza kwa sababu ya matatizo yetu wenyewe sio kwa sababu wananchi walikubali cause unajua wazi kwamba wananchi hawawakubali ndio maaana miaka karibu 20 sasa hamshindi Urais!!

- KIDUMU CHAMA TAWALA!!, KIDUMU CHAMA CHA MBEGU LA DUME!!

we utaenda kugombea vyeo 2014 make unavopenda vyeo hatuchelewi kuskia unagombea umwenyekiti wa kijiji apo msoga na ulivo na damu ya kunguni mbele ya wananchi utapigwa chini, bro ntarudia kukwambia tena we subiri viti vya upendeleo.

Ccm ni lichama mfu halina uwezo wa kushinda we na wengine wapenda vya bure litawafia mikononi.

Chadema moto chiniii hahahaa.
 
haya! hakuna mwenye miliki nchi hii, cdm na m4c, wenzao na movemnet ya kutatua kero, as long mwanchi wa kawaida nafaidika au kusikilizwa sina neno na haya
 
chuki zako tu hizo,subiri jembe lipasue miamba ndo utajua maharage ni mboga au kande
Chuki haitonisaidia. Katika maisha yangu, ila ukweli na uwazi vitanisaidia katika maisha yangu pamoja na taifa kwa ujumla! Mwisho wenu unawadia mtasaga meno kwa chupa, na dahambi muitendayo ndio itakayo wahukumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom