CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,966
- 9,536
Nikukumbushe tuu ndugu ya Chasha serikali ya CCM imerekebisha mambo mengi kupitia sauti au jukwaa la wapinzania na kwa kazi hiyo vyama vya upenzani vimetokea kupata wafuasi kwa kuwasemea matatizo yao. CCM sasa inakwenda kufanya hivyo hivyo "performance evaluation against yardstick" - ilani ya uchaguzi. Mimi siyo mali ya chama chochote nachangia tuu kuchangamsha jukwaa.
Mkuu sasa hapo wanaenda Kuisimamia Serekali au? Mwenyekiti wa Chama Ndo Mkuu wa Serekali sasa hapo inakuja vipi? make kamawataenda kisimamia na sometime kuilaumu serikali ni Pamoja na kumlaumu Mweyekiti wao wa CHAMA, haya ni Mazingaombwe tu hakuna kitu hapa,
Matatizo ya Watanzania yanajulikana live so hayahitaji ziara za kwenda kuyasimamia