Ziara za Kinana (Katibu Mkuu wa CCM) Mikoani

Mkiwa Mtwara mmwambie Anna Abdalah, Jerome Bwanaussi na Mudhihir Mudhihir na Mkewe waturudishie pesa yetu wanayofisadi bodi korosho kwa kujilipa perdiem ambazo hazina mpango.

Hawa watu wameua kabisa bodi ya KOROSHO nyinyi mnaleta Siasa zenu za kulindana!
 
Katibu Mkuu wa chama anaanza kuvaa majukumu ya mawaziri! Mfa maji haishi kutapatapa na hizo zote ni dalili za anguko Lao dhambi waitendayo inawatafuna kidogo kidogo hadi 2015? itakua imewamaliza ... Wakae wakilijua hili
 
Nina hamu ya kufahamu jinsi huyo katibu mkuu atakavyoshughulikia tatizo la bei ya korosho kwa siku moja tu! Kama kweli anaweza kufanya hivyo, inaonekana kuwa hilo si tatizo kubwa sana
 
- Kidumu Chama Tawala, Kidumu CCM!! jana Uwanja wa Mnazi Mmmoja kila kitu kimewekwa kweupee, kwamba CCM sasa nginja nginja, asiyeweza mbio mpya akae pembeni, kuanzia sasa wale wote walioomba kuwa wa-NEC watapewa majukumu ya kusfika chini kwenye matawi na kila miezi mitatu CCM tutakaa chini na kuangalia Viongozi wetu wamefanya nini kukiimarisha Chama?

- Wapinzani it is not an ishu caus eit has never been one, tatizo letu CCM always limekuwa sisi against sisi wenyewe, sasa hili linaletewa dawa kabambe, na asiyetaka anaambiwa atupishe na Chama chetu aende huko kwa wapinzani, people jana tumeanza mambo mapya ya UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI!!

LE Mutuz!!
 
Una moyo mgumu wewe!bahati mbaya hautakiwi tuu ndani ya CCM nawe hulijui hilo.
 
- AT LEAST WEWE UNATAKIWA CHADEMA NA UNALIJUA HILO! HA! HA! HA! HA! HA, sasa CCM ni nginja nginja! hakuna kuangalia nyuma, asiyetaka akae pembeni! ha! ha! ha! ha! au una maana Chadema hamtakiwi na wananchi wa Tanzania? was that your point bro? ha! ha! ha!

lE Mutuz!!
 
Nina hamu ya kufahamu jinsi huyo katibu mkuu atakavyoshughulikia tatizo la bei ya korosho kwa siku moja tu! Kama kweli anaweza kufanya hivyo, inaonekana kuwa hilo si tatizo kubwa sana

hebu tutajie majukum yake hapa maana inaonekana wewe waijua sana kazi hiyo
 
CCM Wanatakiwa kufanya kazi kwa mpangilio kwa kuzingatia Sera... na syo kukurupuka kila kukicha, hiyo ratiba ya Katibu Mkuu ilitakiwa iwepo toka mwanzoni mwa mwaka na siyo mpaka abadilishwe katibu mkuu ndiyo unakumbuka kuna matatizo ya watanzania sehemu fulani, Bado kazi kwelikweli!
 
- Kidumu Chama Tawala, Kidumu CCM!! jana Uwanja wa Mnazi Mmmoja kila kitu kimewekwa kweupee, kwamba CCM sasa nginja nginja, asiyeweza mbio mpya akae pembeni, kuanzia sasa wale wote walioomba kuwa wa-NEC watapewa majukumu ya kusfika chini kwenye matawi na kila miezi mitatu CCM tutakaa chini na kuangalia Viongozi wetu wamefanya nini kukiimarisha Chama?

- Wapinzani it is not an ishu caus eit has never been one, tatizo letu CCM always limekuwa sisi against sisi wenyewe, sasa hili linaletewa dawa kabambe, na asiyetaka anaambiwa atupishe na Chama chetu aende huko kwa wapinzani, people jana tumeanza mambo mapya ya UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI!!

LE Mutuz!!

Unastahili kuhurumiwa tu kaka. Ofcourse wapinzani is not an issue, kwa sababu hawapo hao 'wa' bali kuna CHADEMA! Unaweza kukumbuka references ngapi mlitumia CHADEMA kama mfano katika kikao chenu kwa siku kadhaa kila siku? Huwezi kukumbuka kwa sababu ni mara nyingi sana na wenzako wengi sana, wakiongozwa na mwenyekiti wako.
 
Arusha ataambulia aibu kama jana viongozi wakubwa ktk chama walivyopata wanafunzi mnazi mmoja..
 
Nimejaribu kuunganisha mawazo ya hichi CCM wanachotaka kufanya sasa lakini bado haakiingii akilini kabisa.

Katibu mkuu wa CCM inakwenda kufanya ziara za kiserikali!!!

Ni kwa vipi ziara hizi zitajenga chama ama zitatatua matatizo ya bei ya korosho, zitafufua viwanda, zitajenga barabara au zitatua matatizo migodini?
 
We jamaa ni wa kuhurumiwa kwa kweli,lakini linaweza lisiwe tatizo lako tu watu wengi walio ccm mnaonekana kupoteza uwezo wenu wa kufikiri

Back
Top Bottom