Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Wamechanganyikiwa wala hawajielewi, yani kila mtu akiwa opposite nao, wanajua CDM, kweli inawapa homaMwache ajidanganye tu, wakati mwenyekiti wake kichwa kinamuuma hana cha kufanya, huyu William anatapika ugoro humu.