Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
alianza Mtei, Makani[/COLOR], Mbowe, Slaa wote wakapigwa chini Urais na wananchi wa Tanzania, sasa leo unasema CCM tunakiogopa chama cha kushindwa kila mwaka? Pleaseee!!
Jinsi ulivyo kichwa cha nazi hapo kwenye nyekundu panathibitisha pasipo shaka yoyote ukilaza ulionao.
Kwa umri ulionao lakini hujui kwamba mzee Mtei hakuwahi kugombea uraisi wa Tanzania, wala hufahamu kwamba marehemu Bob Makani hakuwahi kugombea uraisi wa Tanzania. Eti bado unajiita kiongozi wa kitaifa!? Taifa gani? labda taifa la mzee malecela sio taifa la Tanzania.