Ziara za Kinana (Katibu Mkuu wa CCM) Mikoani

Ziara za Kinana (Katibu Mkuu wa CCM) Mikoani

we utaenda kugombea vyeo 2014 make unavopenda vyeo hatuchelewi kuskia unagombea umwenyekiti wa kijiji apo msoga na ulivo na damu ya kunguni mbele ya wananchi utapigwa chini, bro ntarudia kukwambia tena we subiri viti vya upendeleo.

Ccm ni lichama mfu halina uwezo wa kushinda we na wengine wapenda vya bure litawafia mikononi.

Chadema moto chiniii hahahaa.

- Ok damu ya kunguni inatokana na kushindwa uchaguzi, ha! ha! ha! ha! kwa hiyo Chadema mna damu ya kunguni, maana kila uchaguzi wa Rais mnashindwa uanona ulivyo huna hoja, yaaani hata kuendelea nimeshindwa maana this is waste of space!!

- KIDUMU CCM, KUDUMU CHJAMA TAWALA!!

Le Mutuz!
 
- Kidumu Chama Tawala, Kidumu CCM!! jana Uwanja wa Mnazi Mmmoja kila kitu kimewekwa kweupee, kwamba CCM sasa nginja nginja, asiyeweza mbio mpya akae pembeni, kuanzia sasa wale wote walioomba kuwa wa-NEC watapewa majukumu ya kusfika chini kwenye matawi na kila miezi mitatu CCM tutakaa chini na kuangalia Viongozi wetu wamefanya nini kukiimarisha Chama?

!!

Mara ya ngapi hii mnatangaza kufanya kitu fulani lakini hamfiki popote mnaishia kula matapishi yenu? Nikukumbushe:
Kujivua Gamba mmemaliza? O

K. Mlioomba NEC mtapewa kazi sio? Kumbe ndio maana umereje ahuku kupiga kelele baada ya kujifanya umesusa miezi kadhaa sio? Ay ndio umepewa kazi na nape kuongoza wenzio JF akina Ritz na Chama na Rejao?

- Wapinzani it is not an ishu caus eit has never been one, tatizo letu CCM always limekuwa sisi against sisi wenyewe, sasa hili linaletewa dawa kabambe, na asiyetaka anaambiwa atupishe na Chama chetu aende huko kwa wapinzani, people jana tumeanza mambo mapya ya UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI!!

Unataka kumwambia nini Wasira ambaye kete yake iliyomfanya aongoze kura nyingi na kukubwaga wewe na wenzako ilikuwa kuwa ameweza kupambana na Chadema?? kwahiyo alikuwa anaongea mambo ambayo sio issue sio??



Majina haya nilikuwa najiita wakati wa Foolish Age. Nilipomaliza kipindi hicho nikaacha. Wewe bado uo katika Foolish age au? jaribu kukua basi mengine waachie watoto
 
- Ok damu ya kunguni inatokana na kushindwa uchaguzi, ha! ha! ha! ha! kwa hiyo Chadema mna damu ya kunguni, maana kila uchaguzi wa Rais mnashindwa uanona ulivyo huna hoja, yaaani hata kuendelea nimeshindwa maana this is waste of space!!

- KIDUMU CCM, KUDUMU CHJAMA TAWALA!!

Le Mutuz!

Huyu jamaa ni burudani tupu, huwa nasoma post zake nashindwa kuelewa kama kweli he's 51. Anashindwa kabisa kujua mazingira aliyopo na watu wanaomzunguka, anashindwa kujipambanua kama mtu alieishi ktk nchi zilizoendelea, kiujumla anatuonyesha taswira halisi ya viongozi wabovu tulinao.
sijui ni njaa inamsumbua ama la, kwa kweli ni kituko. Tuna safari ndefu sana kufikia tunapotaka kama watu wa aina hii wanajua viongozi!
 
- Wapinzani sio tatizo kwa CCM, tatizo ni sisi wenyewe kwa wenyewe CCM, hakuna Kiongozi aliyewataja jana maana ningemshangaa sana Mwenyekiti jana aliweka wazi kwamba kuna sehemu nyingi za chaguzi zilizopita CCM tumekuwa tunaumizana wenyewe kwa wenyewe sio ishu ya Wapinzani, I mean hivi uliona images za Mkutano Mkuu Dodoma, unaweza kulinganisha na chama gani cha upinzani? Are you kidding me or what?

- CCM haiwezi kuwataja Chama chenye Wabunge 46 tu against Wabunge 257, wewe huoni kwamba hapo hakuna hata ukaribu wa kuwataja, tuwataje wka sababu ipi zaidi tu ya kulia lia kila siku, wewe ni chama gani cha siasa badala ya kulilia kuandikisha wanachama wapya hapa bongo mnaenda kuhangaika na matawi ya nje ambao yanakuwa na wanachama watano tu?

- I mean CCM mwendo sasa ni nginja nginja alisema MWenyekiti jana, asiyetaka akae pembeni wapinzani ni wapinzani tu ni wadogo mno kuwajua hata majina ya vyama vyao, pleaseee!!

Le Mutuz!!

Willy,

- Umeniangusha sana leo kwa kujaribu kupotosha mkuu kuhusu matamshi na obsession ya viongozi wenu juu ya CHADEMA huko Dom

-Mkutano Mkuu wa CCM mliofanya juzi hauwezi kulinganishwa na wa chama chochote makini(tvipo vyama visivyo makini) .Demokrasia ya kizuzu ya kura za Mwenyekiti na kivuli?Come'on Willy,you know what does it means!
-Chaguzi zimekua kwamba mnaumizana ninyi kwa ninyi?Ofcourse it's good.Leo Lowassa anaunga mkono hoja ya CHADEMA kwamba Elimu Bure sekondari is very possible.Bado Mnamlaumu?

-Hoja ya kuandikisha Wanachama wapya haijakaa sawa coz CHADEMA inafanya mambo Gradually.Wanachama wapo na wanaendelea kujiunga.Ajenda yetu si quantity ya wanachama bali ni sera madhubuti zitakazokubalika hata kama si wanachama wetu.Chama cha Patriotic Front cha Zambia kilifanya hivyo against MMD(CCM ya Zambia) kilichokua na wanachama wengi Zambia.Usitaje tena ADC ya Ghana.

-Mwendo Nginja nginja wa CCM ni upi Bro,mwendo wa Rushwa kwenye chaguzi ambazo Mwenyekiti wako na Makamu mwenyekiti wamekiri?
-Si afadhali mngeacha kufanya uchaguzi kuliko
kukumbatia Demokrasia hii inayowadhalilisha ya kura za kupambana na kivuli/maruhani huku mkiongozwa na utashi pamoja na Degree zenu?Duh!
 
- Ok damu ya kunguni inatokana na kushindwa uchaguzi, ha! ha! ha! ha! kwa hiyo Chadema mna damu ya kunguni, maana kila uchaguzi wa Rais mnashindwa uanona ulivyo huna hoja, yaaani hata kuendelea nimeshindwa maana this is waste of space!!

- KIDUMU CCM, KUDUMU CHJAMA TAWALA!!

Le Mutuz!

Naona umeeandika chjama tawala...nadhani ulikuwa wamaanisha njama tawala...ccm imejaa njama tu...sasa ingieni mitaani mkutane na ukweli mnavyochukiwa hasa na vijana wasomi... Daah ccm inaudhi.
Kiduma Chama cha ukombozi
CHADEMA
Peopleeeeeeez
 
Chuki haitonisaidia. Katika maisha yangu, ila ukweli na uwazi vitanisaidia katika maisha yangu pamoja na taifa kwa ujumla! Mwisho wenu unawadia mtasaga meno kwa chupa, na dahambi muitendayo ndio itakayo wahukumu.

hiki chama kinapendwa sana kama unabisha rejea matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani, ccm 22, cdm 5.we endelea kuishi kwa matumaini ipo siku jua litachomoka kutoka magharibi
 
hiki chama kinapendwa sana kama unabisha rejea matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani, ccm 22, cdm 5.we endelea kuishi kwa matumaini ipo siku jua litachomoka kutoka magharibi
Ona sasa msivyo jiamini, mtu akitokea tu kuwakosoa kaisha kua CDM, inaonesha jinsi gani mnavyo babaika na CDM
 
Mara ya ngapi hii mnatangaza kufanya kitu fulani lakini hamfiki popote mnaishia kula matapishi yenu? Nikukumbushe:
Kujivua Gamba mmemaliza? O

K. Mlioomba NEC mtapewa kazi sio? Kumbe ndio maana umereje ahuku kupiga kelele baada ya kujifanya umesusa miezi kadhaa sio? Ay ndio umepewa kazi na nape kuongoza wenzio JF akina Ritz na Chama na Rejao?



Unataka kumwambia nini Wasira ambaye kete yake iliyomfanya aongoze kura nyingi na kukubwaga wewe na wenzako ilikuwa kuwa ameweza kupambana na Chadema?? kwahiyo alikuwa anaongea mambo ambayo sio issue sio??




Majina haya nilikuwa najiita wakati wa Foolish Age. Nilipomaliza kipindi hicho nikaacha. Wewe bado uo katika Foolish age au? jaribu kukua basi mengine waachie watoto

- Unajua ni rahisi sana kwa mjinga kuamini wengine wote ni wajinga kama yeye, Wassira anaitwa Tyson toka akiwa Chadema vipi hukujua kwamba ni foolish age kuitwa Tyson? Viongozi wako wengi wanaitwa Jembe sasa hiyo foolish age ni nani wanaowaita au wewe usiyewaita au wao?

- Mengine ni waste tupu so nitakuchaia mwenyewe! ha! ha1 ha!

Le Mutuz!!
 
Ona sasa msivyo jiamini, mtu akitokea tu kuwakosoa kaisha kua CDM, inaonesha jinsi gani mnavyo babaika na CDM

wewe ndio hujiamini sisi tunasema ukweli na hatuna kiwanda hata kimoja cha kupika uongo.....dozi kamili anayo mangula na kinana
 
Naona umeeandika chjama tawala...nadhani ulikuwa wamaanisha njama tawala...ccm imejaa njama tu...sasa ingieni mitaani mkutane na ukweli mnavyochukiwa hasa na vijana wasomi... Daah ccm inaudhi.
Kiduma Chama cha ukombozi
CHADEMA
Peopleeeeeeez

- Hii ndio hwua kawaida yenu mnapoteza hela nyingi za kodi zetu kuruka na mahelikopta kwenye kampeni, wananchi wanajaa kushangaa helikopta lakini kura hawawapi and then mnaanza kulia mmeibiwa kura, sasa tizama unasema eti kuna wanafunzi wanawaunga mkono hivi Tanzania tuna wananfunzi wangapi? Lets wote waamue kuwapigia kura unaamini mtashinda Urais?

- Maaana nyinyi huko shida yenu ni moja tu Ikulu, hebu tizama tena wasomi wangapi wamejitokeza kugombea uongozi ndani ya CCM, ungejua wala usingeenda hiyo njia ingawa nafuu kwamba wewe kidogo unaongea hoja kuliko wengine, SALUTE!

lE Mutuz!!
 
wewe ndio hujiamini sisi tunasema ukweli na hatuna kiwanda hata kimoja cha kupika uongo.....dozi kamili anayo mangula na kinana
Mtazamo wako, na sio mtazamo wa Tanzania ! Ila mnakiwanda cha mafisadi? au unasemaje juu ya hili
 
Willy,

- Umeniangusha sana leo kwa kujaribu kupotosha mkuu kuhusu matamshi na obsession ya viongozi wenu juu ya CHADEMA huko Dom

-Mkutano Mkuu wa CCM mliofanya juzi hauwezi kulinganishwa na wa chama chochote makini(tvipo vyama visivyo makini) .Demokrasia ya kizuzu ya kura za Mwenyekiti na kivuli?Come'on Willy,you know what does it means!
-Chaguzi zimekua kwamba mnaumizana ninyi kwa ninyi?Ofcourse it's good.Leo Lowassa anaunga mkono hoja ya CHADEMA kwamba Elimu Bure sekondari is very possible.Bado Mnamlaumu?

-Hoja ya kuandikisha Wanachama wapya haijakaa sawa coz CHADEMA inafanya mambo Gradually.Wanachama wapo na wanaendelea kujiunga.Ajenda yetu si quantity ya wanachama bali ni sera madhubuti zitakazokubalika hata kama si wanachama wetu.Chama cha Patriotic Front cha Zambia kilifanya hivyo against MMD(CCM ya Zambia) kilichokua na wanachama wengi Zambia.Usitaje tena ADC ya Ghana.

-Mwendo Nginja nginja wa CCM ni upi Bro,mwendo wa Rushwa kwenye chaguzi ambazo Mwenyekiti wako na Makamu mwenyekiti wamekiri?
-Si afadhali mngeacha kufanya uchaguzi kuliko
kukumbatia Demokrasia hii inayowadhalilisha ya kura za kupambana na kivuli/maruhani huku mkiongozwa na utashi pamoja na Degree zenu?Duh!

- Wewe ni ndugu yangu, sawa sawa CCM tutakuwa ni chama cha wendawazimu kama tutakoseshwa usingizi na chama cha siasa chenye wabunge 46 tu na wakati sisi tuna wabunge 257!

- Kuhusu kura za Mwenyekiti wetu kwanza mpitisheni Zitto awe mgombea wenu wa Urais, and then mtafute MWenyekiti mpya asiyekuwa Ndugu wala kabila la Muasisi wenu Mtei, and then njooni mtufundishe Demokrasia ndani ya chama until mmefanya hayo tulizeni boli tu na ya CCM hayawahusu, cause CCM ina wenyewe!!

- CCM sasa hivi ndio chama strong kuliko vyama vyote vikongwe Africa, infact vyama vyote Africa sasa hivi vinakuja kujifunza kwa CCM maana tuko too much, too strong na tunakubalika sana kuliko muungano wa Wapinzani wote bongo.

- Kuhusu Rushwa hayo ni mambo ya TAKUKURU, ndio maana ya division of labor yaani kila sekta katika jamiii na kazi yake kusema sema rushwa ni one thing na kuthibitisha rushwa kwenye sheria ni another story, so waachieni wanaohusika wakisema ipo rushwa then ni kazi yao, otherwsie kidumu CCM!!

Le Mutuz!!
 
Mtazamo wako, na sio mtazamo wa Tanzania ! Ila mnakiwanda cha mafisadi? au unasemaje juu ya hili

- Tueleze tatizo la Makamu wenu aliyefariki kwa utata sana lilikuwa ni nini sio mapesa yenu yanavyoibiwa huko Chadema? Mnajua ufisadi kwa wengine lakini sio kwenu? ha1 ha! ha! ha! soma kile kitabu cha Makamu Mwenyekiti wenu aliyefariki kwa utata uone maana ya ufisadi!!

Le Mutuz!!
 
Huyu jamaa ni burudani tupu, huwa nasoma post zake nashindwa kuelewa kama kweli he's 51. Anashindwa kabisa kujua mazingira aliyopo na watu wanaomzunguka, anashindwa kujipambanua kama mtu alieishi ktk nchi zilizoendelea, kiujumla anatuonyesha taswira halisi ya viongozi wabovu tulinao.
sijui ni njaa inamsumbua ama la, kwa kweli ni kituko. Tuna safari ndefu sana kufikia tunapotaka kama watu wa aina hii wanajua viongozi!

- Yaani kwa sababu mnakipenda chama chenu kwa kuongozwa na njaa unaamini wengine wote ni kama wewe? ha! ha! ha! mengine nimeshindwa hata kumalizia maana ni waste tupu!!

Le Mutuz!!
 
- Tueleze tatizo la Makamu wenu aliyefariki kwa utata sana lilikuwa ni nini sio mapesa yenu yanavyoibiwa huko Chadema? Mnajua ufisadi kwa wengine lakini sio kwenu? ha1 ha! ha! ha! soma kile kitabu cha Makamu Mwenyekiti wenu aliyefariki kwa utata uone maana ya ufisadi!!

Le Mutuz!!

Mawazo yako ni mazuri sana na inaonekana ni mfatiliaji mzuri wa mambo, ila tatizo lako ni kwamba hautaki kukubali kua chama cha CCM kina mapungufu, na mapungufu hayo mmeshindwa kuyalekebisha. Na Kama nyie vinara wa demokrasia katika nchi mue tayali kung'oka madalakani ili muwaachie wengine wafanye kazi iliyo washindwa. Nadhani taifa litasonga kama wewe pia utakua chachu ya mabadiliko
 
Tunaanza Mtwara kushughulikia tatizo la soko la koro,kisha Sumbawanga kukagua miradi ya barabara,kisha Geita kushughulikia masuala ya migodi.

Na Mkoa wa nne ni Arusha ambako Katibu Mkuu atakagua Viwanda na kutatua tatizo la wawekezaji walioodhi viwanda bila kuvifanyia kazi...!

Katika ziara hii naona kama ankwepa kuonana na wananchi wa kawaida huko vijinini.

Kwa taarifa yake Arusha hakuna kiwanda hata kimoja kinachoendeshwa na serikali.Sasa kiwanda cha mtu binafsi unakikagua kama nani?Labda aseme anakwenda kutembelea viwanda lakini si kukagua.
 
Chadema mboona mnaweweseka mlizoea kutamka wenyewe mkieneza uongo na uchochezi, sasa msubiri mnyweshwe dawa mâché maswali mengi mpaka shughuli ya CCM ianze.
 
Mawazo yako ni mazuri sana na inaonekana ni mfatiliaji mzuri wa mambo, ila tatizo lako ni kwamba hautaki kukubali kua chama cha CCM kina mapungufu, na mapungufu hayo mmeshindwa kuyalekebisha. Na Kama nyie vinara wa demokrasia katika nchi mue tayali kung'oka madalakani ili muwaachie wengine wafanye kazi iliyo washindwa. Nadhani taifa litasonga kama wewe pia utakua chachu ya mabadiliko

- Sawa sawa bro, mapungufu yapo kila pande za siasa, Chadema mna upungufu wa Demokrasia so is us CCM, Roma haikujengwa in one day Demokrasia ya USA ambayo inakubalika sana Duniani ina umri wa Miaka 300 sasa, walipitia mote humu tunamopitia sasa, CCM tunajua Demokrasia ndio maana mmeshinda viti 46 vya ubunge bila tatizo!

- Kesi nyingi tu mmeshinda za uchaguzi mahakamani sasa unasemaje CCM hatujui Demokrasia, yes nimesema mara nyingi sana kwamba nyie njooni na mabadiliko tokeo Chadema na sisi wengine tutakuja nayo tokea CCM, otherwise angalau una hoja sio wengine wanaandika ujinga ujinga tu!!

Le Mutuz!!
 
- Yaani kwa sababu mnakipenda chama chenu kwa kuongozwa na njaa unaamini wengine wote ni kama wewe? ha! ha! ha! mengine nimeshindwa hata kumalizia maana ni waste tupu!!

Le Mutuz!!
Unamaanisha njaa ipi?
Kama nyie mmeshiba basi mumkumbuke mwenye njaa. Na hilo ndio linawaponza, mmejijali nyie na mwananchi mmemuacha na shida zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom