Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

Soma The Citizen la jana.

20211117_164153_mfnr.jpg
 
Duuh! Wee kilaza wee usiye na haya usoni! B460 ijenge viwanda 100? Yaani kila kimoja kijengwe kwa B4.6! Labda kujenga nyumba!

Ushindwe na ulegee shetani mtu!
mkuu ni viwanda vya kushona suti, baskeli za miguu 3 na majiko ya mkaa.
 
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
Sijawahi Ona Anna mwenye mapepe kama wewe. Au umeiba jina la mtu?

Sasa hiyo Bilion 460 hata ukisema uwalipe mishahara tu hao wtu 10,000 mbona haitoshi? Ukiwamua uwalipe wote kwa wasitani wa Million 3 kwa mwezi zinaisha mwa huohuo kabla kiwanda hakijaanza kuzalisha.
 
"ita..."
"Vita...."
Hivi utapeli wa CCM umeanza leo!!?!
 
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
Hiyo kampuni haina Jina??
 
Sijawahi Ona Anna mwenye mapepe kama wewe. Au umeiba jina la mtu?

Sasa hiyo Bilion 460 hata ukisema uwalipe mishahara tu hao wtu 10,000 mbona haitoshi? Ukiwamua uwalipe wote kwa wasitani wa Million 3 kwa mwezi zinaisha mwa huohuo kabla kiwanda hakijaanza kuzalisha.
Sasa suala la jina la mtu linahusikaje ndugu yangu? Investment ya ujenzi wa miundombinu na administrative cost ni vitu viwili tofauti.

Ni sawa na kutenga bilioni 100 kununua mabasi ya mradi huwezi kuzihusisha fedha za madereva, utingo au waosha magari. 😀😀😀
 
Umekosa weledi wa mjadala. Unge challenge kwa hoja ukitoa mfano wa aina ya kiwanda hata kama ni cha kushona kaniki za bibiako na bibiangu kijijini, kinaweza kutumia sh ngapi na kuajiri watu wangapi? Aina ya mtambo na raw materials. Unakuja kubeza bilioni 460? You can't be serious Ileje!

Tu challenge hoja kwa hoja zaidi.
Common sense zako zinakuaminisha kuwa B460 zinaweza kujenga viwanda 100? Kiwanda siyo katakana!
 
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
Kwa hiyo objective kuu ya hiyo viwanda vyao ni kuja kuzalisha Ajira Kwa watanzania? Basi Wamisri wanahuruma sana.
 
Inawezekana kujenga viwanda 100 kwa hizo pesa ni kweli. Lakini ni aina ya viwanda vya kutengeneza consumable goods kama vya akina Mo ambavyo kimsingi havina tija yoyote kama tunavyodanganyana. Uchumi wa viwanda ni manufacturing goods ambao kwetu ni 0% kwanza kwa sababu hatuna teknolojia, rasilimali watu n.k
 
Sasa suala la jina la mtu linahusikaje ndugu yangu? Investment ya ujenzi wa miundombinu na administrative cost ni vitu viwili tofauti.

Ni sawa na kutenga bilioni 100 kununua mabasi ya mradi huwezi kuzihusisha fedha za madereva, utingo au waosha magari. 😀😀😀
Utaanzaje kuzalisha bila kuwa na pesa ya kulipa mishahara?

Au utawakopa wafanya kazi?

Waache mbwembwe.
 
Back
Top Bottom