Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,863
2,000
Kama Rais SSH atasikiliza hoja za CHADEMA kuhusu ukiukwaji wa Katiba na Sheria ili kuwakandamiza, kuwaonea, KUWANYANYASA na kuwapiga CHADEMA nje na ndani ya Bunge basi wote Ndugai na Asiye Tulia Ackson watakuwa wamekalia kuti Bungeni.
Dr Tulia hausiki yeye hana mamlaka ya kumuapisha mbunge!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Nyie ujinga unawazidi, unatoka pande ipi aroo? Chato?
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,659
2,000
Kipindi hayo yanatokea Samia alikuwa makamu wa rais.
nashangaa mnapoumia kuwaona HAO wabunge bungeni badala ya kudai Haki yenu ya uchaguzi mliyodhulumiwa.
Yaani wizi wa kura na Kura FEKI Kwa chadema sio ishu wala hawapigi kelele ILA wao wanalia na HAO wabunge wafukuzwe .
Acha kujitoa ufahamu wewe!!!
Kila Mtz anajua NEC-CCM WALIIBA KURA MWAKA JANA 2020. Katiba ya CCM imetamka wazi kuwa TUME CHAGUZI CCM IKISHA TANGAZA HAKUNA KUHOJI.!! Wewe ulitaka CHADEMA wafanyeje?
Swala la WABUNGE WA VITI MAALUMU TOKA CHADEMA HAWAKUINGIA KIHALALI MJENGONI. Hapo kuna forgery au NYALAKA GHUSHI KUWAINGIZA HAO CORONA 19 BILA TARATIBU ZA KISHERIA NA WALISHA FUKUZWA UANACHA TANGU NOV, 2020.....!!! KWA SASA WANABEBWA NA SPIKA NDUGAI AMBAYE ANATAKIWA AIDHA AJIUZULU AU BUNGE LIMUNG'OE KWA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA SPIKA.....Full stop.
 
mapololo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
334
500
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Kwani mama haujui ukweli?? au unataka kutueleza kuwa wakati hayo yakofanyika mama alikuwa kasafiri? Kama ww unajua ukweli na upo mbali na binge vipi kuhusu mama aliye kuwa karibu huko.
 
KIBIKIMUNU

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
331
500
Ruzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.

Hizo nafasi ni za wananchi kupitia Chadema hivyo Halima Mdee na wenzake ni wahujumu uchumi, sema kibongobingo ndio wanadunda lakini hata hapo jirani Kenya hawa wasingethubutu kulisogelea bunge!
Kongole kwa comment yako....wengine hawajui wape darasa kiongozi
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,659
2,000
Dr Tulia hausiki yeye hana mamlaka ya kumuapisha mbunge!
Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!
Je, alikuwa wapi kumshauri HUYU MGOGO wakti akipindisha Katiba na Sheria??
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
8,143
2,000
Ruzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.

Hizo nafasi ni za wananchi kupitia Chadema hivyo Halima Mdee na wenzake ni wahujumu uchumi, sema kibongobingo ndio wanadunda lakini hata hapo jirani Kenya hawa wasingethubutu kulisogelea bunge!
We jamaa kichwa chako kina chaji vizuri toka jamaa umeme ulete hitilafu.
Ila mama atatuvusha salama,tuondoe shaka
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
12,734
2,000
Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!
Je, alikuwa wapi kumshauri HUYU MGOGO wakti akipindisha Katiba na Sheria??
Hivi Ndugai sio mwanasheria?
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
4,925
2,000
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.

Watanzania tumekuwa tukitumia Jina uzalendo kiholela . Uzalendo ni mapenzi ya nchi na Mbowe na wapinzani ni wazalendo kama watu wengine. Lakini Magu na uongozi wake walitaka watu waamuni uzalendo ni ccm tu
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,863
2,000
Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!
Je, alikuwa wapi kumshauri HUYU MGOGO wakti akipindisha Katiba na Sheria??
Unajuaje kama hakutoa ushauri ukakataliwa?!!
 
Kohelethi

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,636
2,000
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Wewe ni zezeta usiyeweza kufikiri sawasawa.unazungumzia ruzuku mbowe anaweza kukataa? Kwani wakiwaondoa hao wapumbavu wenzenu zile nafasi 19 za chama zinapotea? Si watawateuwa wanaowataka wao na ruzuku itabaki palepale.jipunguzie uzezeta hata Kama Ni ngumu kwako
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
32,143
2,000
Sasa kama mlishawafukuza uanachama mnahangaika nao wa nini?
Acha kujitoa ufahamu wewe!!!
Kila Mtz anajua NEC-CCM WALIIBA KURA MWAKA JANA 2020. Katiba ya CCM imetamka wazi kuwa TUME CHAGUZI CCM IKISHA TANGAZA HAKUNA KUHOJI.!! Wewe ulitaka CHADEMA wafanyeje?
Swala la WABUNGE WA VITI MAALUMU TOKA CHADEMA HAWAKUINGIA KIHALALI MJENGONI. Hapo kuna forgery au NYALAKA GHUSHI KUWAINGIZA HAO CORONA 19 BILA TARATIBU ZA KISHERIA NA WALISHA FUKUZWA UANACHA TANGU NOV, 2020.....!!! KWA SASA WANABEBWA NA SPIKA NDUGAI AMBAYE ANATAKIWA AIDHA AJIUZULU AU BUNGE LIMUNG'OE KWA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA SPIKA.....Full stop.
 
bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,836
2,000
Mdee na wenzake wachangie tu chama kila mwezi kutokana na mshahara na posho zao....na kumpelekea chairman box la bapa kubwa la nyagi...maisha yaendelee...waachane na makesi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom