Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,147
- 891
Tunajengewa Nuclear Plant/Reactor kwa ajili ya UmemeMkuu embu nieleze ziara hiyo ya Russia kuna makubaliano gani wamesign ambayo yataenda kukuza uchumi wa mwanachi mmoja mmoja.
Kingine kwa Russia anafaidika na nini kutoka Tanzania
Ni hayo tu.
Subiri official government statementMkuu embu nieleze ziara hiyo ya Russia kuna makubaliano gani wamesign ambayo yataenda kukuza uchumi wa mwanachi mmoja mmoja.
Kingine kwa Russia anafaidika na nini kutoka Tanzania
Ni hayo tu.
Laana ya damu za watuRaisi wa kwanza duniani kutia aibu ugenini ni samia , anaulizwa swali juu Tanzania kufanya biashara na russia ambayo ipo kwenye vikwazo anakuja kujibu tofauti...
Leo mitandao mbalimbali nchini kenya wanatucheka watanzania wote kwa ujinga wa mtu mmoja
Huyu mama hawezi kusafiri tena kwa hii aibu aliyofanya kule Russia
Wala Samia hakukosea, ila humu JF kila mmoja ana jibu lake Siyo kazi ya Rais Samia kuiijibia Russia kuhusu sanctions maana yenyewe ndiyo ina sanctions. CHADEMA fanyeni kazi za kuingiza hela achaneni na ushabiki mbuzi wa kukosoa kila ambacho Samia anafanyaRaisi wa kwanza duniani kutia aibu ugenini ni samia , anaulizwa swali juu Tanzania kufanya biashara na russia ambayo ipo kwenye vikwazo anakuja kujibu tofauti...
Leo mitandao mbalimbali nchini kenya wanatucheka watanzania wote kwa ujinga wa mtu mmoja
Huyu mama hawezi kusafiri tena kwa hii aibu aliyofanya kule Russia
Tamaa za sisiem kuendelea kuwaibia Wananchi na kujinufaisha wao na wajinga wenzao.