Zero to Legacy; Safari ya Kijana wa kiafrika

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,061
Reaction score
79,423

Kitabu Cha Zero to Legacy: Safari ya Kijana wa Kiafrika.​

Mwandishi: Robert Heriel
+255693322300

Oooh! Taikon andika vitabu! Ooh! Achana na stori za abunuasi sijui riwaya. Ndugu zangu, sisi wengine nusu ya maisha yetu tunaitumia kuandika na kusoma. Kwetu kuandika ni Hobby. Nikiacha Maneno mengi;

Nimeamua kuandika vitabu kama vitano hivi kwaajili ya vijana, wanawake, wazee na watoto.
Vitabu hivi vimekadiriwa, vimepimwa, na kutolewa hesabu. Vitabu hivi vimetokana na wakati tulionao, mazingira ya kijamii na teknolojia.

Kitabu cha Zero to Legacy; Safari ya Kijana wa kiafrika nimekiandika Kwa malengo Makuu matatu;
1. Kuamsha, kukomboa na kuchochea Fikra ya kijana aliyechini. (Utambuzi binafsi).
2. Kutoa Code za kujikomboa kiuchumi
3. Kuboresha Mahusiano Bora na kuacha Legacy Yako ndani ya familia na jamii.

Kitabu hiki nimekiandika kwa malengo hayo nikilenga kutatua matatizo Makuu yaliyopo Kwa watu wengi kwenye jamii yetu ambayo ni;
a) kutojitambua na poor mindset.
b) Umaskini unaotokana na Kukosa Fikra na elimu ya fedha na uchumi.
c) Migogoro ya Mahusiano hasa ndoa na Familia inavyoathiri ndoto za watu wengi.

Mimi, Naam ndimi TaikonMaster, kama Mwanasaikolojia mbobevu, mwanafalsafa, na mwanasosholojia. Nimetumia kalamu yangu kukupa zawadi ya kitabu hiki kikusaidie wewe na familia Yako....

Kitabu hiki kina sura nane;
Ifuatayo ni sehemu ya sura ya nne, ambapo nimeeleza Jinsi Economic intelligence ( ujasusi wa kiuchumi) utakavyokurahisishia katika safari Yako kutoka Zero to Legacy, kutoka chini mpaka kilele Cha historia.
Sitaki kukuchosha!

Sura ya Nne: Ujasusi wa Kiuchumi; Mbinu Sita​

Katika dunia ya ushindani mkubwa, vijana wa Kiafrika hawawezi tena kuishi bila kuwa na uelewa wa ujasusi wa kiuchumi. Economic intelligence ni uwezo wa kukusanya, kuchambua na kutumia taarifa sahihi kwa ajili ya kufanya maamuzi ya kifedha yenye tija. Sura hii inakupa mbinu sita muhimu za kujijengea akili ya kiuchumi (economic intelligence) ili uwe na uwezo wa kushinda katika mazingira yoyote ya kiuchumi.

4.1 Fuatilia kinachoendelea sokoni/mtaani (Market Trends)​

Kujua kinachoendelea sokoni ni msingi wa ujasusi wa kiuchumi. Mabadiliko ya bei, mahitaji ya bidhaa, na mwenendo wa teknolojia yote yana athari kubwa kwa fursa za kifedha. Kama kijana unaowajibu wa kutafuta na kujua mtaani nini kinaendelea, kujua gap ambazo wewe utaziziba

Mfano: Kupitia tovuti kama Google Trends, na mitandao ya kijamii, kama Instagram, TikTok, Facebook unaweza kufahamu bidhaa zinazotrend kabla hazijaenea sokoni, na hivyo kununua au kuuza kwa wakati sahihi.

"Information asymmetry is the root of wealth gap." watu wenye taarifa sahihi huongoza sokoni.

4.2 Kusanifu na kuchuja Taarifa (Information Filtering)​

Lazima uwe na chujio la taarifa.
Katika zama za "information overload", si kila taarifa ni ya maana. Ujasusi wa kiuchumi unahusisha kuchuja taarifa, kuchukua muhimu pekee. Njia bora ni kutumia vyanzo vya kuaminika na kuchambua taarifa kwa kutumia mbinu za kisomi na uzoefu.
  • Mfano wa zana za kuchuja: Google Alerts, Feedly kwa kufuatilia vyanzo vya habari vya uhakika. Kwa JF tuna JamiiCheck
  • Psychological Note: Kujifunza kutenganisha "signal vs noise" kunakusaidia kupunguza usumbufu na kuongeza umakini katika maamuzi muhimu ya kifedha.

4.3 Uchambuzi wa Watu Waliokutangulia (Competitor Analysis)​

Katika biashara au shughuli yoyote ya kipato, kujua wapinzani wako wanafanya nini ni silaha muhimu. Hakikisha unajua:
  • Bidhaa au huduma wanazotoa
  • Bei zao
  • Udhaifu wao
  • Fursa ambazo hawazitumii

Muhimu: Jifunze kutoka kwao lakini usiwaige. Copying kills innovation.

4.4 Kujifunza Kuona Mabadiliko ya Soko mapema (Learning From Cycles)​

Historia ya kiuchumi inaonesha kuwa masoko yanapitia mizunguko (booms and busts). Kujifunza kuona dalili za mabadiliko ya soko mapema kunaweza kukuokoa kutokana na hasara kubwa. Lazima uwe na macho ya kibiashara, ya kuona kesho ya Soko lako.

Mfano: Kipindi cha Covid-19 kilionesha thamani ya kujifunza pivoting kwenye biashara. Waliogeuka kwenda digital walinusurika na hata kunufaika zaidi.

4.5 Kuunda Mtandao wa Taarifa (Intelligence Network)​

Ujasusi wa kiuchumi huwezi kufanya peke yako. Unahitaji watu wanaokupa taarifa mapema kabla ya wengine. Hawa ni watu kama:
  • Washauri wa biashara
  • Wataalamu wa masoko
  • Wafanyabiashara waliobobea
  • Watu wa fani tofauti.
Hii ndio maana ya Your network is your net worth." Mtandao wako ni mtaji wako.

Njia: Tengeneza mfumo wa kubadilishana taarifa na watu wenye malengo kama yako.

4.6 Kutafsiri na kuchambua Takwimu (Data Driven Decision Making)​

Katika zama hizi, takwimu ni lulu. Ujasusi wa kiuchumi unahitaji maamuzi kufanyika kwa kutegemea data, si hisia au propaganda.
Kina ChoiceVariable wanapotuma takwimu ni muhimu kuzifuatilia. Au ikiwezekana kujihusisha nao kama wewe huna access na mambo ya takwimu;

Zaidi;
  • Mfano wa matumizi: Tumia takwimu za mauzo, mitindo ya wateja, au data kutoka kwa soko lako kufanya maamuzi ya lini kuongeza au kupunguza uzalishaji.
  • Zana zinazosaidia: Microsoft Excel, Google Sheets, Table au kwa visual analytics, au hata dashboards rahisi za mtandao. Kama huna hizo zana za kimtandao tumia daftari kwaajili ya kufanya uchambuzi na uchanganuzi wa data ikiwa ni pamoja na biashara Yako. Mali bila daftari huisha bila habari.

Falsafa ya Uchumi: "Data never lies, but people often ignore it."
Ukitumia Data(takwimu) huwezi pelekwa kama bendera. Sijui kilimo Cha Tikiti, sijui ufugaji wa sungura. Utakachozingatia ni Takwimu zinasemaje.

Kujifunza ujasusi wa kiuchumi ni kama kuwa na rada ya kukuwezesha kuona mbele kuliko wengine. Hili ni daraja muhimu kutoka maisha ya kujikimu kwenda maisha ya kifedha yenye uhuru. Kujitegemea na kujikomboa kiuchumi. Kwa kutumia mbinu hizi sita, utaweza kufanya maamuzi bora, kuongeza mapato yako, na kuwa na uthabiti wa kiuchumi hata katika misukosuko ya soko.

Huo ni muhtasari wa sura ya nne katika kitabu Cha Zero to Legacy.

Kitabu bei yake ni Tsh 15,000/= tuu. Kama upo nje ya Dar utatuma ya usafiri.

Kwa wale Mliotuma pesa zenu endeleeni kuwa wavumilivu.
Vitabu vinachapishwa kwa Oda. Kila oda mia Moja vinatoka.
Mpaka wiki ijayo kuelekea mwisho wa mwezi kila mtu atapata kitabu chake.

Namba ya muamala
0758216209
Mpesa
Robert Heriel

Nawatakia Sabato Njema.
 
Nitakitafuta
 
Asante Mkuu .
 
Mtibeli sis wa soft copy sh?
 
Back
Top Bottom