Zekidoni & Khantwe

Zekidoni & Khantwe

I gave up on our lovely bro Ntuzu. ..affairs zake na mkewe zitakushangaza tu...atafumania leo na kesho wako wote wamegandana

Mtabaki na vijiba vya roho mke wangu Khantwe simuachi ng'ooooo

Tena km wewe kadogo ketu miss neddy uache kabisa kunifatilia anga zangu! Mke wangu katulia hajui kuchepuka Alafu wewe unaleta umbeya hapa?

Alafu mwallu jiandae kuna kutoa jina wifi yako yuko karibu kupata mtoto wa tatu!
 
Last edited by a moderator:

Mie jina nitatoa tuu...sina tatizo. Ila sina uhakika biological father atakua Viol Zekidoni au wewe...cc Khantwe. Honey Faith miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom