Ninapokwambia kitu si lazima ukiamini, unaweza kuchukulia vyovyote lakini at the end of the day (endapo atakamatwa mhusika mwenyewe) nitakuonyesha alivyofanya malipo kwa kadi yake na alivyokosea kwa kuamini kuwa uraia alio nao wa UK ndiyo kinga. Endapo hawajam-identify basi ni bahati yake, anatakiwa kujua kuwa alichemka sana hapo!Ni vizuri umeelewa kwamba taarifa ikibebwa na jina lako inachukua uzito wa jamvi zima. Umewajibika kwa kukaa kwanza pembeni, ni vema.
Tungoje ukweli na udaku ujitenge, sidhani kama huyu Utamu ni jinga la kutumia credit card yenye jina lake kuposti picha za caricuture za matusi za rais Kikwete .
Please ondoeni hiyo "Where we Dare To Talk Openly" hapo juu.
It seems to apply only to certain people na huyu "mtoto wa mkubwa" asiyetajika jina (sijui nani ni mtoto wa mtoto?) haimhusu!
Does freedom of speech really mean freedom of speech?
once sucked in the loop you won't come out!! the choice is yours!
At JF it is a big cliche.
Au wakuu wanaogopa "mkubwa" baba mtu atawashukia?
At JF it is a big cliche.
Au wakuu wanaogopa "mkubwa" baba mtu atawashukia?
hawana resources za surveillance 24/7,tumia morse code tupe jina hiloBabu unakuwa kama hujui kuwa JF iko under surveillance 24/7...
... at the end of the day (endapo atakamatwa mhusika mwenyewe) nitakuonyesha alivyofanya malipo kwa kadi yake na alivyokosea kwa kuamini kuwa uraia alio nao wa UK ndiyo kinga. Endapo hawajam-identify basi ni bahati yake, anatakiwa kujua kuwa alichemka sana hapo!
Mistake nyingine alilkuwa kwenye shared hosting ya HostGator ambapo waliposumbuliwa kidogo tu walitoa details zake...
yu;e mwingine sijui kapotelea wapi sijamwona sikumbili hizi
ahhhh
utakuwa umenuna
wazee,hili swala tuliache,repurcussions zake ni kubwa kidogo,nimepata habari right from the lions den kwamba the hornets nest has been stirred and something is about to stir-mkulu INVISIBLE,NN,na GT sorry for doubting you