Achana na mzushi huyu...amejoin leo kakimbilia ZEUTAMU.
m-bagamoyo
m-bagamoyo has no status.
Junior Member
Join Date: Mon Oct 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Achana na mzushi huyu...amejoin leo kakimbilia ZEUTAMU.
m-bagamoyo
m-bagamoyo has no status.
Junior Member
Join Date: Mon Oct 2009
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
ahhahahahhahahh
wabongo noma sana baada ya kujifunza ya maana huko ulaya waliko wanajifunza upuuzi, sasa fikiria kaishi UK na kufanya upuuzi kama huo kweli wabongo noma , anastahili kufunzwa maana hakufunzwa na mama yake labda sasa atafunzwa na Sheria.
kila la kheri na mnaoishi nje someni ya kuisaidia nchi yenu sio kufanya yasomaana ni aibu .
Waambie Invisible a.k.a. kajumulo hahahahahh
bora irudi ze utamu vinginevyo hii GT italost wamehamia huku,hushangai jumatatu asbuhi tu ngono ngono ngono tupu.ni mtazamo tu.
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
View attachment 4917
View attachment 4918
Hivi ni macho yangu au laaah?
Mbona hawa wawili wanafanana?
NYANI NGABU tufafanulie!!!
Kwanza naomba muondoe hizo thnks 46 so far mlizompa mzushi Nyani ngabu......
....huyu Nyani ngabu afunguliwe mashtaka kwa kumchafulia jina bwana malecela lusinde mtu makini toka familia inayoheshimika
......nikiwa kama mmoja wa rafiki mkubwa wa familia ya Malecela nalaani kwa nguvu zoote taarifa za kizushi alizoleta Nyani ngabu JF.....
NB:Na huu uzushi kwamba nilikuwa banned umetoka wapi?
Mmiliki wa ZeUtamu naye vipi? Maana kuna watu walisema naye atafunguliwa mashitaka lakini mpaka leo hakuna kitu ingawa tovuti haipo tena.
Hivi haya mambo yaliishia wapi lakini??
Mmiliki ni mwanaume sema anahulka za kike, baba yake ni mtu wa Dodoma!Mimi nilikuwa najua mmiliki wa blog hiyo ni mwanamke kutokana na post za mule.
mmmh ni Black na Mnene?Nadhani wengi tunakumbuka miaka ile ya 2000s ile blog iliyojipatia umaatufu sana kwa jina la ze utamu. Inafahamika kwa mambo mengi ya hovyo na pengine ku reveal siri za watu waliokuwa maarufu miaka ile.
Walikuja kuharibu pale walipokuja kumweka aliyekuwa rais wa kipindi hicho kwa picha za aibu. Hapo ndipo alipotafutwa na akapatikana. Maneno yaliyosemwa ni kuwa mmiliki wa blog hiyo alikuwa ni jamaa mmoja hivi bonge aliyekuwa nje ya nchi.
Alikamatwa na kurudishwa nchini ambapo baba yake alimwombea radhi kwa kupiga magoti na kulia. Na sasa jamaa huyo amekuwa ni mpiga debe maarufu wa watu mbalimbali wa chama.
Ni wakati wa mwenye habari za ukweli kuziweka wazi. Naamini imeshapita miaka mingi. Hamna haja ya kufanya siri.