Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Masa,

Sidhani kama umemuelewa Kana vyema. Nilivyomsoma, hakutoa kauli hii kwa kupenda sifa au kujidai aonekana smart than anybody......ni kama vile he was trying to derive a point kwamba washkaji wengi anaowaona mle..wengi wao anawajua na picha nyingi zinakuwa zinaconfirm anachokijua kuhusu wale anaowaona mle.....wanakutana mitaani..iwe bar..club nk...it was kinda of saying well..I know them..sidhani alikuwa na maana kwamba anajisifu kwamba yeye ni mtu wa mjini au kijijini...as you happen to understand! Leo nikisema kwamba "mi kijana wa town bana..ujanja wa kina Masha nauelewa sana..it doesnt mean kwamba naishi Dar Es Salaam....its just a matter kwamba..I know their tricks.." from my association with them.. Take it slow port!

Masanja,

Masanja, you must be a teacher! It takes a lot of hard work to explain things na ueleweke kwa watu wenye vichwa vizito kama kina Masanilo and sometimes I just cant be bothered!
 
Tuangalie faida za zeutamu na kwa upande mwingine tuangalie hasara za zeutamu tuje na conclusion.
 
Tuangalie faida za zeutamu na kwa upande mwingine tuangalie hasara za zeutamu tuje na conclusion.

does that mean huyu Kigisi ndio tumuache aende zake? kama ndio then can we change the title of this thread?
 
Wale wote mliofikiri Gerald Kigisi ndio Mzee theutamu, mmepotea maboya. Nimefanya simple check ya hilo jina kwenye google search engene nikakuta nothing. Hivyo zile data zote ni dupe!.

Kama unatembelea site ya Global Publishers, utakuta links za waandishi wote wa the utamu. Kila picha za Global ndizo zile zile za the utamu.
Naomba kumtofautisha Mtu wa Mungu, Mheshimiwa sana Eric Shigongo ambaye ndiye mmiliki wa Global Publishers na Vijana wake wa kazi wanaishibisha theutamu.

Na mwisho, amini usiamini, paoja na madudu yote ya the utamu,
Watu wengi sana wanaishabikia kama wanavyoshabikia magazeti ya udaku.

Mwanzo nilidhani washabiki wa magazeti ya udaku ni kundi la Mastandard 7 leavers na wale watu wa uswahilini, nikiamini wasomi no.

Nilishangaa niiwaChuo Kikuu, wanafunzi ndio wanaongoza kuyanunua magazeti hayo na kila siku yaliisha kwanza huku
Magazeti ya maana yakidoda.

Huu ni uthibitisha ni kwa kiasi gani jamii yetu inashabikia udaku
Na umbeya kwenye magazeti na the utamu ndio nyumbani kwao.

Its cheap stuff in terms of content na price! Watz wengi wa kizazi kipya wanashangaza sana...sijui kama kizazi hiki kinajua hata watu kama kina Shakespear au wakina Shafii Adam Shafii au hata basi kina Shabaan Robert! QUO VADIS???

udaku utatufikisha wapi jamani???????..and so what ukishajua nani kalala na nani, nani alifumaniwa... nani kabwagwa!??? Na who said kwa kuwatoa kwenye zeutamu watabadilika tabia???
 
Well said my dia!! Kuna wanaume hapa eti wanadai watu wanajiheshimu sababu kuwepo utamu puuuuhh hakuna cha kurekebisha ufisadi ngono!! Ni umbeya kwenda mbele
 
Well said my dia!! Kuna wanaume hapa eti wanadai watu wanajiheshimu sababu kuwepo utamu puuuuhh hakuna cha kurekebisha ufisadi ngono!! Ni umbeya kwenda mbele

Point point point ni umbea kwa kwenda mbele na hakuna kingine. Kama mtu anapenda ngono zeutamu haiwezi kumstopisha. Na kwanza kwa nini katika watu wote duniani waangukiwe hao wawili tu? Mi Nahisi kuna ukweli ndani yake hao jamaa wanahusika somehow na zeutamu. Wenye kujiheshimu wanajuhesimu always tabia ya mtu haiwzi badilika sababu ya utamu.
 
Nope.......kawapiga fake believe me he is not the one....

Yaani Zeutamu akipatikana kama ni huyo Gerald Kigisi tutakula naye sahani moja sijui ni nani alipeka picha yangu huko Mwaka jana!! Nimepumzika sehemu na rafiki yangu kwa nia nzuri jamaa walipiga picha ikapelekwa huko!! Hizo comments duuuu ingekuwa ni kweli basi ningekuwa marehemu zamani!!
 
Nope.......kawapiga fake believe me he is not the one....

Mazee umepima? huwezi pata dada zangu kwa tabia ninayohisi unayo!! Lazima upelekwe Angaza na majibu tuyaone!
 
Mi nashauri huyo jamaa kama siyo owner of zeutamu awahi polisi maana asijeumia bure kwa mabeef yake na mtu ane mpakazia lakini all in all why him?????? Na kama si yeye mwenye picha ajitokeze kukana haya mashtaka ndo tuone.
 
Yaani Zeutamu akipatikana kama ni huyo Gerald Kigisi tutakula naye sahani moja sijui ni nani alipeka picha yangu huko Mwaka jana!! Nimepumzika sehemu na rafiki yangu kwa nia nzuri jamaa walipiga picha ikapelekwa huko!! Hizo comments duuuu ingekuwa ni kweli basi ningekuwa marehemu zamani!!
kwikwikwikwi shem kumbe na wewe ni victim?.......kwani mkuu hata yanayosemwa hapa JF yote yana ukweli? ni wewe kuchambua wapi ukweli upo na wapi uongo upo.....

.....nakuhahakishia GK sio mzee zeutamu.....
Mazee umepima? huwezi pata dada zangu kwa tabia ninayohisi unayo!! Lazima upelekwe Angaza na majibu tuyaone!
tehe tehe usitie shaka shem
 
udaku utatufikisha wapi jamani???????

Hautufikishi popote ila unaburudisha.

..and so what ukishajua nani kalala na nani, nani alifumaniwa... nani kabwagwa!???

Nothing....it just satisfies people's curiosity..that's all

Na who said kwa kuwatoa kwenye zeutamu watabadilika tabia???

Haitabadili bali itawafanya wawe makini na waangalifu zaidi ktk wayafanyayo....sasa hivi ukienda kwenye pati na kuona mtu anataka kupiga picha yako utakuwa...wow..wow..wow...wait a minute...hiyo camera ni ya nani? Kama humjui mwenye camera utakuwa like...nope...I don't trust you.

But bottom line, mtu kama huna picha ulizopiga katika compromising positions au huna lolote baya ulilolifanya au kumfanyia mtu, wasiwasi wa nini?
 
Du!!sasa unaipenda moyoni huku unaiponda hadharani - kama claims ni ridiculuous mbona hauachi kufuatilia sandra(rejeaThere have been many such postings). Wakati mwingine hizo false allegations ndio sababu ya kuanzishwa kwa hiyo site kama source ya burudani tu.Hiyo ni tawi la sanaa linalounganisha vitu vya ukweli na vya kutunga ili kuleta utamu(waliosoma da vinci code wanajua nazungumzia nini). Bottom line hawa utamu wataendelea kuwepo as long as market demand itakuwepo sasa kuikomesha wewe acha kutembelea huku uwaache wanao taka waendelee aki survive atakuwa ameshinda na hiyo ndio price ya democracy utakubaliana na matakwa ya wengi.
I know it may seem like i'm shooting myself in the foot bcse while i dont support the site, i am an occasional visitor, at least once a week. It helps pass time when the internet connection is slow n yu have many tabs running...lol.

Lets face it, my boycotting of the site will not make much of a difference as yu've correctly pointed out that the demand for it is huge. But if it were to be closed i will gladly find other ways to entertain myself.

Frankly, i think this discussion may be renewing his resolve and providing him with a SWOT kind of analysis for him to strengthen his strong points and work on his weak ones. Moreover, there are always those opportunitistic bastards lurking in the shadows and taking notes ready to pounce with a similar more refined site should zeutamu operatives be caught.
 
Mzee unamaneno mingi sana tunataka vipimo..si longo longo...
Account Name: Mariam Mohamed
> Hometown: London UK
> Sex: Female
> Email:issakumbena@gmail.co m,blogzetu@googlemail.com( the same email ipo kwenye website ya utamu)
> If you can read between the lines you will realise thats a fake account
> this was what The named GERALD KIGISI(zeutamuz@gmail.com) wrote to MAriam
mkuu unaweza kuamini GK atumie jina lake halisi kwenye email ID ambayo hiyo hiyo ipo kwenye "site yake zeutamu"??
 
I know it may seem like i'm shooting myself in the foot bcse while i dont support the site, i am an occasional visitor, at least once a week.

You don't support it but you visit the site (at least) once a week. You are contradicting yourself. You are a supporter. Period.

It helps pass time when the internet connection is slow n yu have many tabs running...lol.

Good to know that it helps you achieve something...

Lets face it, my boycotting of the site will not make much of a difference

This reminds me of my vote doesn't count

as yu've correctly pointed out that the demand for it is huge.

Yeah..thanks to you and Yo Yo and the list goes on and on....

But if it were to be closed i will gladly find other ways to entertain myself.

Are you sure you won't miss all the juicy info you get from it?

Frankly, i think this discussion may be renewing his resolve and providing him with a SWOT kind of analysis for him to strengthen his strong points and work on his weak ones. Moreover, there are always those opportunitistic bastards lurking in the shadows and taking notes ready to pounce with a similar more refined site should zeutamu operatives be caught.

You got that right...ZeUtamu will never die...it will just multiply...
 
mbona watu munaiandama zeutamu?jamaa anafanya kazi yake na sio kuwapakazia watu.wote anao watoa kwenye blog ni wahusika wa kuu kwenye kusambaza ngoma. kama mtu anaheshima zake hatawekwa kwenye blog,huyu jamaa sio kichaa na mimi binafsi nampa full support. kama wewe unapiga picha za uchi ulitegemea nini? na kama umepigwa picha uchi na basha wako ulitegemea nini?
 
Zeutamu ina uzuri wake kwani huanika watu na maovu yao,una wawasi gani kama wewe hufanyi uovu,sura yako wataipata je,tena inatusaidia kuwanasi wake zetu wakijiingiza kwenye uhuni,hata watoto wetu watajiheshimu ili zeutamu asiwanase,huyu anayehangaika kuwafuatilia analake jambo na kuendekeza uovu.Wana JF mwageni sera waovu wanafaa waadabishwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom