Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
mbona watu munaiandama zeutamu?jamaa anafanya kazi yake na sio kuwapakazia watu.wote anao watoa kwenye blog ni wahusika wa kuu kwenye kusambaza ngoma. kama mtu anaheshima zake hatawekwa kwenye blog,huyu jamaa sio kichaa na mimi binafsi nampa full support. kama wewe unapiga picha za uchi ulitegemea nini? na kama umepigwa picha uchi na basha wako ulitegemea nini?

Hey! Wait a minute ...Can you Substantiate your arguments!!
 
Utamu ina faida na hasara yake.
Faida- imeweza kuwapa faida wafanya biashara,kuna msichana mmoja walimtoa huko kwenye utamu ana duka lake pale bongo.Na kuna watu walikuwa wanasoma data zake na wakataka kumjua huyo demu wakaenda kutembelea hilo duka lake na kuona vitu anavyouza matokeo yake waka end up kununua.Ni kwamba alianza kupata wateja kwa kwenda mbele.

Hasara-inaharibia statu za watu,kuna wengine na heshima zao na vitu vinayoandikwa mle ndai.I dont condone matusi lakini 50% yanayoandikw ani kweli na 50% ni uongo mtupu.
 
vitu vinayoandikwa mle ndani.I dont condone matusi lakini 50% yanayoandikwa ni kweli na 50% ni uongo mtupu.

Umejuaje? kuna picha iliwekwa ya Asha Baraka akiwa amesimama na Kijana mmoja, wakadai eti ilipigwa Reading...wakati picha ile ilipigwa zamani Tanzania na Asha hana mahusiano yoyote na kijana lakini comment zilizoshuka pale ulikuwa ni upupu wa kufa mtu anyway.....
 
Masa,

wewe ulijuaje kama hawana mahusiano yoyote? Kama walipiga picha wote?

Duh..bongo yetu hii? Mungu ndo anajua!
 
Kwani wewe ndiyo uliwapiga hiyo picha?na una uhakika gani kama hana mahusiano na huyo kijana?what if wanafanya undercover?anyways i am not here to judge people ila i am just saying.

Siyo kila kinachoandikwa ni kweli kuna mengine yanaandikwa kutokana na chuki na kutaka kuharibiana.All in all utamu can make you or kill you.
 
Bro yule kijana hana mahusiano kabisa na Asha, isitoshe anamchukulia kama dada yake..sasa picha ilikuwa Tanzania mbona wanadai ilipigwa Reading na kijana hajawahi pata hata visa ya UK...anyway simtetei mtu hapa najaribu kuonyesha jinsi hiyo kitu ze...inavyopotosha...lakini hivi fulani akilala na fulani ina maslahi kwa taifa? udakuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kazi ipo

Enjoy youre week end na zeutamu!
 
Bro yule kijana hana mahusiano kabisa na Asha, isitoshe anamchukulia kama dada yake..sasa picha ilikuwa Tanzania mbona wanadai ilipigwa Reading na kijana hajawahi pata hata visa ya UK...anyway simtetei mtu hapa najaribu kuonyesha jinsi hiyo kitu ze...inavyopotosha...lakini hivi fulani akilala na fulani ina maslahi kwa taifa? udakuuuuuuuuuuuuuuuuu
shem unakuwa kama ndio umeshuka leo toka Kasamwa.......

T Btw mimi siyo shabiki wa hiyo website ya utamu but i was just trying put my two cents.

I'am a BIG fan wa ZU......kule nimejifunza mengi sana kuwa sitakiwi kuamini mtu......na lazima ni take care maisha yangu nje na ndani.....siku hizi hata mtu ukiwa bar huwezi kuzima kihasara hasara......
 
Bro yule kijana hana mahusiano kabisa na Asha, isitoshe anamchukulia kama dada yake..sasa picha ilikuwa Tanzania mbona wanadai ilipigwa Reading na kijana hajawahi pata hata visa ya UK...anyway simtetei mtu hapa najaribu kuonyesha jinsi hiyo kitu ze...inavyopotosha...lakini hivi fulani akilala na fulani ina maslahi kwa taifa? udakuuuuuuuuuuuuuuuuu

Masa,

Bila udaku hii dunia ingeboa sana.

Siyo wote wenye interest za kina braza Masa za kusoma Shakespear na Shafi Adam Shafi..hatuwezi wote kuwa na hulka moja...ndo maana kuna mainjinia na madokta akina MASA na vile vile kuna akina ZE KOMEDI wanaishi kwa kukufurahisha wewe. Thats where they earn their living. Its simple like that.

UTAMU might be whatever you call him or her..but ni huyo huyo na ujinga wake anatufanye tunagonga keyboard zetu hapa kujibizana! Angalia hii thread ilivyo ndefu (na haiko kwenye jukwaa la siasa!)

Its the world we live in. Hatuwezi kuwa na interests sawa...so relax.
SANA SANA UWE MWANGALIFU

By the way umeshawahi kujiuliza hizi picha jamaa anatoa wapi?
 
shem unakuwa kama ndio umeshuka leo toka Kasamwa.......

I'am a BIG fan wa ZU......kule nimejifunza mengi sana kuwa sitakiwi kuamini mtu......na lazima ni take care maisha yangu nje na ndani.....siku hizi hata mtu ukiwa bar huwezi kuzima kihasara hasara......

Nadhani mwenye masikio na amesikia!

Weekend njema!
 
I'am a BIG fan wa ZU......kule nimejifunza mengi sana kuwa sitakiwi kuamini mtu......na lazima ni take care maisha yangu nje na ndani.....siku hizi hata mtu ukiwa bar huwezi kuzima kihasara hasara......

Mmh i see interesting!.
 
Sorry to drive you astray... This is purely hypothetical... hivi mmeshawahi kuwaza siku moja utamu akawa so powerful that akaanza ku-reveal real faces behind JF IDs na picha juu, itakuwa vipi?
 
we will take it on the chin and simply move on
 
Mimi nataka huyo aliyetolewa kwenye utamu kwa kusingiziwa na ana hakika yeye ni mtoto mwenye heshima na yuko tayari kuolewa tuwasiliane no majungu na kudanganyana interview akishindwa kwaheri.
 
Website ya zeutamu bado ipo hewani, ila imekuwa slow. Kama ni kui-blocknaomba ukaze nut ziadi kwani bado inapenya.
 
Kwani bado ze utamu ipo jamani si ilishafutwa hebu tufafanulieni hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom