Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Jizuie kupumua kwa muda wa dk 30 halaf lete jibu
Kwenye logic jibu lakolinaitwa "non sequitur".

Nakuuliza uthibitishe Mungu wako yupo.

Wewe unaniambia nijizuie kupumua kwa dakika 30.

Jibu halihusiani na swali. Nikijizuia kupumuadakika 30 nitakufa.

Kufa kwangu hakuthibitishi Mungu yupo.

Zaidi, kufa kwangu kutathibitisha Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, kusingekuwa na kifo.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo, kitu kinachotenganisha wanaopendana, kiwezekane, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani?

Kifo hakionyeshi Mungu yupo.

Kifo kinaonyesha Mungu hayupo.
 
Tusiwe na wakati wa kulumbana na hawa watu. Tunaona ujinga na wanavyofanywa wapumbavu na akina gwajima, bushiri sijui mi askofu na kila mmoja anawalia pesa kwenda. Leo hii unadai wana miujiza kuna mwingine zimbabwe anazungumza na huyo mungu wao kwa simu yaani ni vituko kwenda za hao "viongozi" wao. Hawa wenyewe dini yao imewaruhusu zinaa kabla ya ndoa wameruhusiwa kufirana waume kwa waume wameruhusiwa wanawake wasagane na ndia jinsi moja kwao ni poa tu.
Ewe mfuasi wa Bwn. Mudy marioo wa khadija wa Mecca....wasemaje yakhee?

Umeshafuturu kwa tambi na uji wa pilipili manga?
 
Leo hii tunaona junsi mataifa ya magharibi yanavyofanya mauaji katika nchi za kiarabu kwa kuwapiga mabomu na kupeleka wanajeshi wao kuwatawala kimabavu. Na ukijaribu kupigana nao kupinga hayo unaitwa gaidi siasa kali.
Ugaidi wa kujitoa mhanga ni sunnah

Hebu msome mola mlezi.
 
kuran inasema
"rafiki wa mwislam n mwislam
"kulipa kisasi n suna" kwa hali hii nitaachaje kuamini kuwa isis ndo nyie walewale?
tapatalk_1494135975018.jpeg
 
Kwenye logic jibu lakolinaitwa "non sequitur".

Nakuuliza uthibitishe Mungu wako yupo.

Wewe unaniambia nijizuie kupumua kwa dakika 30.

Jibu halihusiani na swali. Nikijizuia kupumuadakika 30 nitakufa.

Kufa kwangu hakuthibitishi Mungu yupo.

Zaidi, kufa kwangu kutathibitisha Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, kusingekuwa na kifo.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo, kitu kinachotenganisha wanaopendana, kiwezekane, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani?

Kifo hakionyeshi Mungu yupo.

Kifo kinaonyesha Mungu hayupo.
Sihitaji kubishana nawe kwaheri
 
Thibitisha kwamba Mungu yupo.
Nithibitishie wewe umetokea wapi na utarudi wapi,ulivyokuja ulikuwa na roho changa,sasa sijui una upevu gani?,roho kongwe hiyo,uliyokuwa nayo,itakapotolewa na kutengwa na hicho kiwiliwili chako,itakuwa katika roho,itakayohangaika na kukosa kujijua na kushukuru,itakayoteseka sana,isiyojijua,roho yako haina mazoea ya kuamini itarudi wapi,imekosa utiifu,Kwa aliyeiumba,jitayarishe na shock ,tena kubwa sio ndogo,ukiwaona watu wapo na Mungu wao kila wakati,ujue wanafanya mazoea na mazoea hayo,iko siku wataamka nayo.life is very short.
 
Halaf

Halafu ambae eti kafunga amevimbiwa hadi jioni kwa avyoshindiria tumboni usiku kucha, halafu wewe wa imani nyingine ulielala bila kula ukionekana unakunya kikombe cha chai unafungwa hadi ramadhani ya mwaka mwingine. Tume ya haki za binadamu mmekuwa wa siasa tu?

Zanzibar tokea asili ni ya waislamu, ukristo ulifanya kukaribishwa na mtawala wa wakati huo ambae alikuwa muislamu na akawapa eneo kujenga kanisa la kwanza Zanzibar eneo la mkunazini.

Sasa kama ukristo umekaribishwa na waislamu Zanzibar usitake kujifanya kiburi kumpangia la kufanya mtu aliekukaribisha.

Kama hamtaki kufuata masharti ya wenyeji wa Zanzibar ya katazo la kutokula hadharani wakati wa mchana wa ramadhani basi ondokeni na wala msiende Zanzibar kipindi chote cha ramadhani.

Au mnadhani kutujengea mikanisa kila baada ya kilometre moja ndio mmepata nguvu ya kufanya mambo yenu ya kigalatia!?

Kumbuka sio kula hadharani tu bali hata vimini na nguo za ajabu ajabu wanazovaa dada zenu wa kikristo hazitakiwa kuvaliwa mwezi wa ramadhani ndani Zanzibar.
 
Wewe mzima wa akili beba jiko lako kapike urojo Darajani uite wazima wenzako mkae pale muanze kunywa huo urojo hadharani mwezi mtukufu.
Usitoke mapovu, huo mwezi ni mtukufu kwako. Jisikie aibu kwamba huwezi kufunga hadi ulazimishwe. Imani yako mwenyewe lkn unataka usindikizwe na uhaba wa chakula mtaani.

Funga ya kweli unalazimika kujinyima na sio kutokula kwa kuwa chakula hakipo. Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali, lakini kama unashinda njaa kwa kuwa hujaona chakula hapo hujafunga. Shida ni kuwa kuna watu wanaamini kuwa rabsha na kero kwa wengine ndio msingi wa imani iliyo imara.

Unalitest vipi uimara wa gari bila milima? Aliyedhamiria kufunga hata ule kitu gani mbele yake hawezi kula. Na hiyo ndio maana ya kujinyima. Punguza jazba, tafakari.
 
Au mnadhani kutujengea mikanisa kila baada ya kilometre moja ndio mmepata nguvu ya kufanya mambo yenu ya kigalatia!?

Kumbuka sio kula hadharani tu bali hata vimini na nguo za ajabu ajabu wanazovaa dada zenu wa kikristo hazitakiwa kuvaliwa mwezi wa ramadhani ndani Zanzibar.
Nitawashauri dada zangu wakitaka kujiuza wavae baibui kama wenzao wa Mombasa
 
magaidi,mashoga elimu ndogo

Kama huna uhakika wa mambo ni bora uulize ili kujua au kama unaona aibu kuonekana hujui basi kaa kimya.

Chimbuko la kila elimu limetoka middle East wakati wa ISLAMIC GOLDEN AGE,, hatao computer unayoitumia bila ya mwanazuoni kutoka Persian Muhammad ibnu Mussa alkhwarizmi kuvumbua ALGEBRA basi katu huyo alieivumbua computer basi asingefanikiwa katika katika uvumbuzi wake maana kwa kiasi kikubwa computer inaitegemea hiyo ALGEBRA.
 
Dini yakwenu wenyewe sie wakiristo twahusika vipi?ndio maana ma al shabaab wengi fungeni nyie sie twala popote sio nchi ya kiisilamu

Nawala Zanzibar haijawahipo kuwa nchi ya kikristo!!! Uislamu ndio uliowakaribisha wakiristo Zanzibar hivyo wakiristo kama wageni Zanzibar hawana haki hata ya 0% kuwapangia utaratibu mpya wenyeji wa Zanzibar.

Na sio kula mchana hadharani tu bali hata wanawake wenu kuvaa nguo za ajabu ajabu tu basi lazima wale viboko! Hutaki kufuata wenyeji wanavyotaka basi rudi makwenu.
 
Ugaidi wa kujitoa mhanga ni sunnah

Hebu msome mola mlezi.

Ugaidi wa mauaji ya kimbari Rwanda ulioratibiwa na kanisa katoliki, ugaidi wa LRA na wa kibwetere Uganda, ugaidi wa kuuwa vikongwe na kuwachuna watu ngozi huu ni lazima (Faradhi)

Hebu msome Mungu alieuliwa na wananchi wake msalabani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom