pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Sodoma na gomora ila kuna dini imehalalisha kabisachimbuko la ushoga n uarabuni na pemba
Sodoma na gomora ila kuna dini imehalalisha kabisachimbuko la ushoga n uarabuni na pemba
Isis ni taasisi iliyoanzishwa na marekani kama ilivyokuwa kwa alqaeda na wengineo lengo kubwa kuuchafua uislam kwa maslahi yao tamko la wawakilishi wa waislamu duniani limezipinga taasisi hizo na kutamka wazi kuwa uislam hausapoti ugaidi wala mauaji yoyote bila ya haki na fahamu kua gaidi ni mtu wala sio dini vit endo viovu ni vya wanadamu ila mungu ni mwemahahaha nyie washirika wa Isis mna tabu
Sijui ni Mungu gani aliwaambia kufunga ni kulazimishana hata kwa ambao hauwahusu
Nikisoma Isaya 58/3-9 naona Waislamu hawajui kufunga maana yake ninini
Sijui ni Mungu gani aliwaambia kufunga ni kulazimishana hata kwa ambao hauwahusu
Nikisoma Isaya 58/3-9 naona Waislamu hawajui kufunga maana yake ninini
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.
Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.
Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.
Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu
Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.
Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.
Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Sana.Tena wakijinga
Upuuzi na Upumbavu.Kwaresma na nyie hamtakula? acheni upuuzi
Wewe unaelewa?Hivi mkuu unaelewa maana ya kula hadharani?
NAAMTofauti ya Uislamu na Ukristo ndio iko hapo; Kwa Mkristo kwanza akifunga inatakiwa kua SIRI yake yeye na Mungu wake na pia hatakiwi kuanza kuwalemea wengine kwasababu ya FUNGA yake kwa maana ya mwajiri au hata watu wa nyumbani kwake. Tena anatakiwa kuendelea ku provide everything kwa watu wa nyumbani mwake kama kawaida Refer to Isaya sura ya 59 na pia afungapo hakiwi kuonesha mnyonge ili ahurumiwe, kwa Lugha ya Yesu hapo alitolea mfano wa Mafarisayo kwamba wafungapo hutaka watu wajue kua wamefunga but kwa mcha Mungu wa kweli Yesu alitaka iwe siri kati ya mfungaji na Mungu wake.
Kuzuia wengine wasile eti kwa kigezo cha kuwatamanisha sidhani kama kina maandiko ya Kimungu (anyway siijui sana Kurani) zaidi ya mafundisho na hofu tu za wanadamu.
Kwaresma ni mfungo usioruhusu mtu kuamka asubuhi na mapema saa kumi kubugia daku kisha tena unakula saa 12ni vitu gani ukifanya vinabatilisha mfungo wako wa kwaresma,
kwaresma unafunga masaa mangapi
Nyie akina nani?Safi.. Sisi nyundo wao misumari
UNAFIKI mkubwa sanaKufunga kwa kulazimisha watu ni unafiki ambao Mungu hautaki.
Halafu ambae eti kafunga amevimbiwa hadi jioni kwa avyoshindiria tumboni usiku kucha, halafu wewe wa imani nyingine ulielala bila kula ukionekana unakunya kikombe cha chai unafungwa hadi ramadhani ya mwaka mwingine. Tume ya haki za binadamu mmekuwa wa siasa tu?Hii ni sawa na kumwambia Mungu unataka kuacha uzinzi lakini wanawake wote waondoe duniani wasikupe tamaa ya zinaa. Mimi ninachojua ili upate thawabu lazima ushinde vishawishi wakati wa kufunga. Inakuaje unaogopa watu wasile kwa sababu yya njaa zako? Hapo hakuna funga.