Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Huu ni upuuZi kabisa !! Kwani hakuna wakrosto Zanzibar???
 
HV ZUIO LA KULA HADHARAN WAKAT WA MWEZ MTUKUFU UKO ZANZIBAR NI SAWA?
KAMA NDIO, MBONA HUKU BARA HAWAZUI?
1.Ni sawa kabisa, Suala la dini si suali la Muungano. Zanzibar ni nchi ya Kiislamu na ukafiri umeingia baada ya Muungano
2.Kero kubwa ya Muungano ambayo bado halijapatiwa ni ufumbuzi ni suala kuingiliwa uhuru wetu wa kuabudu na Tanganyika, Masheikh na maimamu wetu wamewaondoa Zanzibar na kuja kuwatesa Tanganyika
3. Kama Tanganyika haina dini sio Zanzibar, Ndio maana mikutano yote iwe ya siasa au mengine ya CCM au CUF inaanzwa kwa kusomwa Quran Tukufu
 
Uislamu na Ukristo dini zote zinafundisha ugaidi na kuua watu wasiofuata dini hizi kwa jina la Mungu.

Kila kitu kiko wazi kwenye vitabu.

Ukristo una afadhali kidogo kwa sababu mafundisho mengi haya ya mauaji yapo kwenye agano la kale, agano jipya limekuja kusawazisha kidogo na kusisitiza upendo na umoja na msamaha.

Uislamu hauna agano jipya.

Quran inasema waueni makafir tu.

Huo ndio ukweli.

Dini hizi si za Mungu.

Mungu anayesemwa na dini hizi hayupo.

Ukijua hili upumbavu mwingi sana hautakutaabisha.
Hata kama sijui, jibu kamwe haiwezekani kuwa huyo Mungu wa dini hizi.

Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Hapo nitakuwacha katika maisha yako,uutafute ufahamu wako.
 
Znz ikifika kipindi cha ramadhani, ukienda dukani kununua vyakula vya fast food hawakuuziiw(mfano soda, mikate, maji)...
Na hata ukishikwa na kiu, ukasema uende kuomba maji kwenye nyumba hawakupi.
Inshort wanabana mianya yote ya watu kula mchana, unakuta vyakula vinauzwa hotels za kitalii tu,
Na hata kama ni mkristo, wakikuona unakula njiani wanaweza kukufanyia vurugu,
Kwanini wanashindisha watu njaa?
 
Nyinyi wakristo ndio huwa hamuuheshimu wala kuupa heshima mwezi wa kwaresma sasa kama mnakulaga hadharani na kufanya maasia plus kulewa na kugongana bila ya kujali mwezi wenu nani atauheshimu? Twende mbele na kurudi nyuma maana mimi nnaheshimu dini zote ila kwa hili wenzetu mmepitiwa tuwe wa kweli tuone mwezi wetu wa kufunga ukifika mpk wasiokuwa waislamu watafunga na kuvaa mavazi ya stara.
La mcngi tujirekebishe tu
 
Hawawezi kufunga ndio maana serikali inaamua kuwasaidia kwa kufunga mpaka mikahawa yote, kama sio hivyo wote wangekula.
Kama ni hivyo basi ni waumini hewa! Mbwembwe za mikanzu kumbe kufunga kwenyewe mpaka walazimishwe kwa kuwafungia hoteli na migahawa!
Nakumbuka shehe Yahya aliwahi kusema waliokuwa wamefunga afrika mashariki nzima walikuwa wawili tu! Wengine wote ni wafungaji hewa!
 
Na ukikaidi bakora hadharani kutoka kwa wananchi,Vikosi vya SMZ vitakuja kumalizia. Kama unabisha jaribu!
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakatsanai wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
yaan hawa Jamaa wana akili ndogo
 
Sasa kama kila dini kuheshimu dini nyingine, kwanini waislamu nao wasile kama wakristo ili kuheshimu ukristo, mbona wao wanakula hadharani wakati ya kwaresma? Huyu kiongozi atakua na vyeti feki.
mkuu hawa Jamaa wanachojua n kufuga ndevu na majini tu unategemea nn?
 
Wewe umefunga.... Mwenzio anakula inakuuma nini...?? Hivi hawa ndugu zetu kama wana wakristo wanaishi nao watawaruhusu kula kweli? Au ndio ukiajiliwa au kuishi na muislam lazima ufate matakwa yake ya kidini...
tatizo linalowasumbua hawa n elimu ndogo wao n kufuga madevu na kujilipua tu
 
Na ukikaidi bakora hadharani kutoka kwa wananchi,Vikosi vya SMZ vitakuja kumalizia. Kama unabisha jaribu!
Hapo kutakuwa na tofauti gani na uhalifu wa alshabaab? Mi nauliza tu! Yaani mtu alazimishwe kufuata taratibu za dini isiyo yake! Hicho kitu siamini kuwa kiko hivyo. Labda kama umeamua kuipaka matope serikali ya mapinduzi!
 
Sijui ni Mungu gani aliwaambia kufunga ni kulazimishana hata kwa ambao hauwahusu
Nikisoma Isaya 58/3-9 naona Waislamu hawajui kufunga maana yake ninini
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.

Kama hili swala linakwaza zaidi ya 50% ya wananchi wa kisiwani bas sio haki bali kama ni otherwise then fair tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom