silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Wengi wape lakini wachache wasikilizwe pia.Lakini ni suala ambalo lipo wazi kabisa hata waziri mkuu mstaafu Pinda Kayanza aliwahi kulitolea ufafanuzi, zaidi ya 90% ya wakazi wote ni waislamu..so hapa tunatekeleza tu 'wengi wape'...sidhani kama ni udini!