Mkuu tukianza argument ya nani kaumba nani hatutafika mwisho maana maswali mengine kwa sasa hatuwezi yajibu, nikisema hakuumbwa na kiumbe chochote ukagoma ukasema ni mungu nikiuliza mungu kaumbwa na nani utanijibu?
Ukijibu hakuumbwa then kwa nini isiwe same thing kwa binadamu?[/QUOMbona unababaisha sasa,inaonesha unaishi bila kujifahamu,na wala hufai kuitwa binaadamu,Kwa sababu unaukataa ubinaadamu,ina maana wewe Ni kiumbe tu,au sio.mbona sasa unajiita binaadamu,na asili ya neno hili haikuja kibahati mbaya,Kama zinavyoamini dini tatu kubwa za Jews,Christianity na Islam kutoka katika vitabu vyao Adam ni kiumbe wa kwanza kuumbwa,aliyepelekea kuwepo kwa wanaadamu hivi sasa,sasa falsafa yako wewe ipi,katika ufahamu wako wa hawa viumbe wanaoitwa binaadamu.wewe unasema usiniletea hayo,kwanza tusimuuingize Mwenyenzi Mungu,ambaye hatumuuoni ,tuanzie kwa binaadamu anayefanana na wewe ,Kwa mimi ninavyoamini,sio wewe unavyoamini,kwamba ametokana na Adam.ideology/falsafa yako wewe ni nani???,na unaweza kubahatisha umetokana na nini??.