Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Makafiri hata Mungu hawapendi na ndio maana watu wa Sodoma na Gomora hawakusalimika ! au dini yako haiwataji hao watu!?
Ndio hivyo mnalazimika kuishi na hao wasioamini katika uislamu,na mkileta fyoko kikosi kinashuka,umesahau Mkapa alivyomwagia risasi kama kuku!
 
hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
SMZ Msitishe watu,
1.kwanza Sheria hiyo haipo na haijawahi kuwepo isookuwa wakati wa utawala wa Karume wakati Zanzibar ikiendeshwa na " decree"
2. Simamisheni shughuli zote za utalii mkwezi mzima wa Ramadhan kuondokana na kuwatesa bure wasio kuwa na hatia.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu
SMZ na ofisi ya Mufti muwe wa kweli msiwee wanafiki. Kama kweli uislamu una kuumeni na kujua kuwa Maimamu ndio wenye wajibu na Mamlaka ya kuwaelemisha umma kuhusu Mwezi mtukufu wa Ramadhani basi waachieni huru Maimamu wa UAMSHO na kurudi kuja kuwaamsha watu kuhusu maadili mema ya kiislamu.
 
Naona SMZ wamesema clear statement kama isemeavyo ATAKAE KULA HADHARANI, kwa maana hukatazwi kula ila usile hadhania kula nyumbani kwako au tafuta pahala salama kisha kula, dini inatambumbua kwa waisilamu wasiweza kufunga ambao ni waginjwa au wasafiri, pia ambao wasio waisilamu, kwa hiyo hakazwi kula mtu yeyote ramadhani ila kula pahala salama,
Naona SMZ wamesema clear statement kama isemeavyo ATAKAE KULA HADHARANI, kwa maana hukatazwi kula ila usile hadhania kula nyumbani kwako au tafuta pahala salama kisha kula, dini inatambumbua kwa waisilamu wasiweza kufunga ambao ni waginjwa au wasafiri, pia ambao wasio waisilamu, kwa hiyo hakazwi kula mtu yeyote ramadhani ila kula pahala salama,
Kwaresma na nyie hamtakula hadharani?
 
Watu hawana imani za kushinda majaribu,kwamba akiona mtu mwingine anakula basi atamezea mate!Unatakiwa uyashinde majaribu na sio kukimbia!
Mtu mwenye imani hasa na ibada ya mfungo hawezi tetereka kwa kumuona mtu akila!
Kujilinda kote huko kwa kuzuia wengine wasiohusika na ibada hiyo kuishi kwa utaratibu wao wa kila siku ni ishara ya udhaifu wa kiimani!
Zenji siyo WAFUNGAJI
 
Mimi tutapigana aisee...Hela nitafute mimi na kula mnipangie... BTW nchi hii haina dini hata kama kule ZNZ asilimia 90 ni waislamu ili mradi sijakashifu dini yake wala sijampa maudhi aliyefunga
 
Dini hizi hizi zilizokuja kwa viboko leo hii ndio tunanyimana nazo uhuru wa kula hadharani kisa fulani anaamini hiyo dini inamtaka afunge

Ngozi nyeusi aliyeturoga alikuwa hatari sana.
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu


Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Kama hujui, Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Ukafiri Zanzibar umeletwa na Muungano na hiki ndio kilio kikubwa cha wazanzibari wlio wengi hawataki hata kuuona Muungano.
Chama chochote cha siasa kitakachoonesha nia, dalili na melekeo wa kuukataa Muungano kitashinda uchaguzi tu. Waislamu wa Zanzibar wamechoka kubanwa mbavu na makafiri na wanataka kupumua.

znz-un-1963_01.jpg

Bendera ya Zanzibar( yenye picha ya karafuu) ikipandishwa Umoja wa Mataifa
 
KUNA JAMBO HUA NALIFIKIRIA uwa SIPATI MAJIBU.

NAOMBA KUULIZA;

IVI TANZANIA NI SECULAR AU NI NON-SECULAR STATE?

HV ZUIO LA KULA HADHARAN WAKAT WA MWEZ MTUKUFU UKO ZANZIBAR NI SAWA?
KAMA NDIO, MBONA HUKU BARA HAWAZUI?

MWENYEUELEWA PLZ NAOMBA ANIFAHAMSHE

KAMA NIMEKOSEA MNISAMEHE[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom