Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Hujui Zanzibar ina serikali yake na wimbo wake wa taifa, baraza lake la wawakilishi (sio bunge), na serikali yake inaamua mambo yake yenyewe (kama kutafuta mafuta n.k.)?
Kuwa na bunge hata uswiss kila kijiji ina bunge lake, kwani kila halmashauri Tanzania haina Bunge? Baraza la Madiwani unalielewaje? Mafuta ni fujo ya wembe mliolilia kwa fujo hadi mkatumia hadi kundi la kigaidi la UAMSHO, sawa Kikwete kawapeni uhuru wa mafuta yenu ambayo hayapo.
 
Acha tu, wao kila kukicha wanafikiri wako kama Kuwait au Oman?! Kwamba kuna wese na wese la kufa mtu?! Hawataki elimu dunia, hawataki ukweli wa kisayansi, vile vikundi vya waarabu koko ndivyo haswa vyaleta yote haya viwakamate tena kama Sultani, kumbe weusi kule wameshtuka, hawajasahau ya nyuma, hawajawasahau hao masultani walivyowafanyia ukatili wa kinyama bila kujali kama ni mdogo au mkubwa, mwanamke au mwanaume, kama vipi wale koko waende tu Oman, mbona kuna utajiri wa kufa mtu, kwani lazima tena warudishe usultani pale?!
 
Sheria gani hiyo inayonyima haki za watu wa dini nyingine ?Haki ni haki hata kama wakristo wangekuwa 100 tu Zanzibar.

Si mumeivamia wenyewe na hamutaki kuitoa , KELELE ZA NINI ??? MTALINYWA
 
Ukiona dini inamlazimisha mtu hiki au kile na kinaingizwa kinyemela kwenye sheria ujuwe hapo kuna tatizo, ZNZ haina sharia law, ila sababu wengi wao ni waislamu isiwe kisingizio kuwanyima haki wale wasiofuatilia misingi yao ya dini, hata kama muislamu kwani lazima ufunge?! Ni wewe na dhambi yako itakayokutesa baadaye au huko uendako ukifa, ila kulazimishwa?! Binadamu kazi ipo...
Ongea unayoyajua usiyoyajua usipanue mdomo.. Tafakari
 
Acha tu, wao kila kukicha wanafikiri wako kama Kuwait au Oman?! Kwamba kuna wese na wese la kufa mtu?! Hawataki elimu dunia, hawataki ukweli wa kisayansi, vile vikundi vya waarabu koko ndivyo haswa vyaleta yote haya viwakamate tena kama Sultani, kumbe weusi kule wameshtuka, hawajasahau ya nyuma, hawajawasahau hao masultani walivyowafanyia ukatili wa kinyama bila kujali kama ni mdogo au mkubwa, mwanamke au mwanaume, kama vipi wale koko waende tu Oman, mbona kuna utajiri wa kufa mtu, kwani lazima tena warudishe usultani pale?!

SI MUMEIVAMIA NA KUIKUMBATIA KWA NGUVU , KELELE ZA KAZI GANI ???
 
Acha tu, wao kila kukicha wanafikiri wako kama Kuwait au Oman?! Kwamba kuna wese na wese la kufa mtu?! Hawataki elimu dunia, hawataki ukweli wa kisayansi, vile vikundi vya waarabu koko ndivyo haswa vyaleta yote haya viwakamate tena kama Sultani, kumbe weusi kule wameshtuka, hawajasahau ya nyuma, hawajawasahau hao masultani walivyowafanyia ukatili wa kinyama bila kujali kama ni mdogo au mkubwa, mwanamke au mwanaume, kama vipi wale koko waende tu Oman, mbona kuna utajiri wa kufa mtu, kwani lazima tena warudishe usultani pale?!
We nchi yako ile unang'ang'ana?
 
Hivi wewe ukiwa umefunga nami nakula chakula changu hadharani inakuuma nini....!!?? Hivi ina maana wakristo huwa hatufungi?? Mbona tunaishi na nyie vizuri...
Hata kama mfanyakazi wako wa ndani kama siyo muislam mpe uhuru ale kwa muda wake... Wewe uliyefunga uko na Mungu wako... Kumnyima uhuru mwenzio kisa umefunga hain maana... Na mfungo wako ni batiri...

KWANI NANI KAWALAZIMISHA KUJA ZANZIBAR ; AU KANISA ???

SI KULENI MUTAKAVYO HUKO UGALATIANI , NANI KAWAKATAZA
 
Kwani kuna tabu gani ukiteremka boti tu siku ya mwezi mosi Ramadhani kunywa soda hadharani na nakuhakikishia utasalia gereza la Hanyegwa mchana huko kwendea Chwaka mpaka mwezi mosi Ramadhani ya mwakani itakutosha kukata kilimilimi chako. Mwezi wa Ramadhani unaheshimiwa na nchi zote na kufunga kunaheshimiwa na dini zote za Allah. Zanzibar ni nchi ya kiislam tokea mwaka 610 AD. Sisi wazanzibar hatujasemapo kuwa Zanzibar haina dini. Hiyo ni kauli yake Nyerere wala hakutushauri na ilimalizikia katika mipaka ya Tanganyika.
 
Kumbuka kuna miungu zaidi ya 3000. Unataka story ya mungu yupi nikwambie kaanzia wapi?
Ni kama siku hizi tu story zinaanza polepole za mtu zinaanza kukuzwa, chukulia mfano Elon Musk, na mambo yake ya kutaka kupeleka watu Mars, kuweka renewable energy sources kwenye kila nyumba, its science leo tunaelewa hivyo, ila kuna kikundi cha watu wachache wanamuona jamaa kama mwokozi vile, story zinasambaa polepole, zinakuzwa, inafika muda watu wanaanza kuzikisia zimekuzwa kweli utadhani jamaa kageuka mungu anataka kukomboa wanadamu, sasa kwa leo unaweza ona upuuzi maana tumeendelea, ila miaka elfu kadhaa nyuma, hata kipaji cha kawaida tu mtu unaonekana very extraordinary, people were ignorant ukilinganisha na leo. Soma biblia na quran uone vifungu vinavyopingana mule, anayesema vinaongelea amani namshangaa sana, maana vimejaa utumwa, ukandamizaji wa wanawake, mauaji, tena in plain direct text.

Ungezaliwa alafu usijazwe dini kichwani ukaachwa hadi ufike umri wa mtu mzima tuseme miaka 20, alafu ukaanza kuambiwa kuna mungu, mtu aliyetenganisha bahari kwa fimbo, ungeamini kweli? hehehe
Swali langu ni kwamba ni wapi ambapo ilianza hii idea ya imani ya dini? mfano hapa afrika unasema tuliletewa mambo ya dini na wazungu na waarabu.
Maana yake hii idea ya dini wazungu na waarabu ndiyo waliyoleta kwa afrika ila kuna sehemu zengine wazungu na waarabu hawajazambaza hii idea ya dini huko ila dini zipo za aina tofauti na ukristo na uislamu ambazo ni za wazungu na waarabu.

Hata waafrika leo hii tunaweza kusema tuanzishe dini yetu ya kiafrika ila ni baada ya kupata idea ya dini kutoka kwa wazungu na waarabu. Ndiyo maana nauliza chimbuko la hii idea ya dini imetoka wapi hasa?
 
Hapo ndiyo mjue kuwa siyo wote wanaoabudu wanamwabudu Mungu wa mbinguni. Wengine wanaabudu sheria zilizowekwa na wanadamu ili kuwakandamiza wanadamu wengine. We ukifika zenj kandamiza msosi kwani kufunga watu walazimishana. Mtu akikutisha paza sauti wanasheria tutakutetea.
 
Jibu hili hapa. Uliza nafsi yako kwanini inapenda kuabudu. Ibada siyo fashion ni jambo linatoka ndani ya MTU. Ndiyo maana hata mababu zetu wa zamani sana walikuwa nadini zao za asili. Na baadae wakapokea dini za wazungu na waarabu. Ukweli ni kwamba binadamu ameumbwa ili amwabudu Mungu lakini ndiyo maana ibada haiishi ndani ya mwanadamu mwenye akili timamu. Swala hapa ni kuwa namna gani sahihi ya kumwabudu Mungu hapa ndipo wanadamu hupotea. Na hii ndiyo maana unaona wengine wanawalazimisha watu kuacha kula ili wawasaidie kumwabudu allah wao huku wengine wakijitoa mhanga kwa ajili ya huyo allah. Lakini kwa hakika mungu yeyote wa kulazimishwa huyo siyo Mungu Bali miungu.
 
kuna ubaguzi ww hujui

Kwani nani kakulazimisha uwende ??? Galatia ni kubwa si tembea ukila ukinywa na kufanya maovu yote kwa raha zako huko UGALATIANI , unapata kichaa na kajisiwa cha maili 50

Ugalatia kaziiii
 
Jibu hili hapa. Uliza nafsi yako kwanini inapenda kuabudu. Ibada siyo fashion ni jambo linatoka ndani ya MTU. Ndiyo maana hata mababu zetu wa zamani sana walikuwa nadini zao za asili. Na baadae wakapokea dini za wazungu na waarabu. Ukweli ni kwamba binadamu ameumbwa ili amwabudu Mungu lakini ndiyo maana ibada haiishi ndani ya mwanadamu mwenye akili timamu. Swala hapa ni kuwa namna gani sahihi ya kumwabudu Mungu hapa ndipo wanadamu hupotea. Na hii ndiyo maana unaona wengine wanawalazimisha watu kuacha kula ili wawasaidie kumwabudu allah wao huku wengine wakijitoa mhanga kwa ajili ya huyo allah. Lakini kwa hakika mungu yeyote wa kulazimishwa huyo siyo Mungu Bali miungu.

Ni kweli mungu wa upendo anakuwa hakulazimishi unageuza shavu mwenyewe namna hii kwa Padri muzungu

St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania

A prominent United Kingdom member of the order, Fr Kit Cunningham, together with three other priests, were exposed after Cunningham's death as paedophiles.

While at Soni, Cunningham perpetrated sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole".

Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled, and other sexual abuse.

Although known about by the Rosminians before Cunningham's death in 2010, the abuse was not reported by the media until 2011.
 
Jibu hili hapa. Uliza nafsi yako kwanini inapenda kuabudu. Ibada siyo fashion ni jambo linatoka ndani ya MTU. Ndiyo maana hata mababu zetu wa zamani sana walikuwa nadini zao za asili. Na baadae wakapokea dini za wazungu na waarabu. Ukweli ni kwamba binadamu ameumbwa ili amwabudu Mungu lakini ndiyo maana ibada haiishi ndani ya mwanadamu mwenye akili timamu. Swala hapa ni kuwa namna gani sahihi ya kumwabudu Mungu hapa ndipo wanadamu hupotea. Na hii ndiyo maana unaona wengine wanawalazimisha watu kuacha kula ili wawasaidie kumwabudu allah wao huku wengine wakijitoa mhanga kwa ajili ya huyo allah. Lakini kwa hakika mungu yeyote wa kulazimishwa huyo siyo Mungu Bali miungu.

WENGINE MNAJIPELEKA WENYEWE KUTIWA VIBOKO NA MUZUNGU KWA JINA LA YESU,

HAMULAZIMISHWI

Usiombe upange kwa muislamu hataki upige kwaya, uende kanisani kwako kama ukienda ukitoka nje ufiche biblia yako

Hawa watu nawaambia hawatakuja kupata madaraka yoyote yale, yaani wanaona ndio wanafata dini kumbe ni upuuzi tu

Kula kwangu kunakunyima nini wewe
Hapa sasa unateleza,kila mtu Ana uhuru wa kuamini anavyotaka na kufanya ibada anavyotaka mwenyewe,usistaajabu ya waislamu,kuna watu wana utamaduni wa kuabudu vitu tofauti na wewe unavyoamini,kuna watu wanaabudu moto,jua,mwezi,utupu wa mwanamume na mwanamke,kuna wananchi Imani tofauti za kuamini vikongwe kwamba ni wachawi,na kuwauwa kwapotezea maisha yao,kunawatu wanaabudu
Yenu ndio ya kweli??
Mimi nimesema nenda kafanye uchunguzi mwenyewe,sikukwambia dini gani au kitabu gani,ukishindwa njoo,nitajaribu kukuelekeza,jee umeuliza upande wa pili una athari gani,upande wa pili unamaanisha nini,natanguliza samahani sijakufahamu hapo
 
Waislamu mnaounga mkoni amri hii imani zenu ni dhaifu, mtu kwenye imani thabiti hawezi kuingia kwenye majaribu ya kuvunjwa swaumu yake ati kwa sababu amemwona jirani yake anakula, huyo atakuwa anatafuta kizingizio cha kuwa kobe tu.

Vv
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom