Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
sawa hawa majamaa wanatutenga sana wakristo sasa funga yenu as tusile mnatusumbua
Hizi sheria hazikuanza leo wala jana,ni sheria ambazo wengi wamezikuta.Wakristu wa zanzibar miaka nenda miaka rudi wanaziheshimu hizi sheria,nazungumzia wa wazawa wa Zanzibar.Kwaio kama ni 90% wanawanyima wakristo uhuru kama ndo hivo watangaze serikali ya mapinduzi Ina dini.
Fuoni Lodge watu wanakula na kunywa tuu kama kawa Ramadhani inawahusu waislamu waliofunga tuu wengine acheni tufanye yetu
Tanzania haina dini ila ZANZIBAR WANA DINI.. waacheni na mambo yao bhana kila kitu mnataka muwapangie?? Acheni uku.ma wenu... Ss wabara tuna matatizo sana.. sasa Zanzibar wewe kwenu?? Hata hao wakristo ni wahamiaji kule tena kutoka bara.. hasa askari ndio wamejaza ila wenyewe ni waislamu zaidi.. Usiingilie mipaka yao.. ndio maana hata magufuli akienda huko huwa mpole maana hana mamlaka kamili ndani ya zanzibar hasa ya kisheria na utawala... ndio maana wao wana jaji mkuu wao.. wana spika wao na rais wao...Hakuna Mwenye haki zaidi ya mwenzake TANZANIA haina DINI, ila watu wake ndiyo wanadini, acha nifanye yangu ambayo sivunji sheria za NCHI yangu,,,,,,,,, tukianza hivyo mwishowe lazima wanaokuja huku ZENJI wawe waislamu tu,,,,,,
Watanishtaki kwa sheria ipi?Ukidakwa wanakupeleka 'Chuo cha Mafunzo'[emoji12][emoji12]
Mkuu kufunga ina umuhimu sana katika mwili wako,wakristo walio wakristo wa kweli na wao wanafunga,umeshawahi kwenda hospitali ukambiwa usile kwa masaa fulani,ndio upate matibabu..hawa watu wanakuaga kama wendawazimu kipindi cha mfungi Muda wa kufungua ukifika anakula chochote popote
OkeySawa.hyo ni siri yake.ila asile hadharani
Kabla ya kuwaambia waislam wasile kipindi cha kwa resma,anza kwanza kuwaambia wakristo wenzio kama wasabato,kkkt wote wafunge.Sasa kama kila dini kuheshimu dini nyingine, kwanini waislamu nao wasile kama wakristo ili kuheshimu ukristo, mbona wao wanakula hadharani wakati ya kwaresma? Huyu kiongozi atakua na vyeti feki.
Watanishtaki kwa sheria ipi?
Mbona Waislam ni asilimia ndogo Marekani lakini wanadai wanataka haki zaoLakini ni suala ambalo lipo wazi kabisa hata waziri mkuu mstaafu Pinda Kayanza aliwahi kulitolea ufafanuzi, zaidi ya 90% ya wakazi wote ni waislamu..so hapa tunatekeleza tu 'wengi wape'...sidhani kama ni udini!
Hajakatazwa mtu kula bali usile hadharani, kula ndani kwakoHivi wewe ukiwa umefunga nami nakula chakula changu hadharani inakuuma nini....!!?? Hivi ina maana wakristo huwa hatufungi?? Mbona tunaishi na nyie vizuri...
Hata kama mfanyakazi wako wa ndani kama siyo muislam mpe uhuru ale kwa muda wake... Wewe uliyefunga uko na Mungu wako... Kumnyima uhuru mwenzio kisa umefunga hain maana... Na mfungo wako ni batiri...