Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
kwa hiyo zanzibar ni nchi ya tanzania?Taiwan na nchi ya china
kwa hiyo zanzibar ni nchi ya tanzania?Taiwan na nchi ya china
Katiba ya JMT
Zanzibar kama ni nchi mbona haina kiti maalum AU. nyie wazenji acheni kutudanganya kisa mmegundua mafuta basi mnajiona wajajanja kweli tukiwaacha mmarekani anakuja kuyakomba yote hatowaachia hata tone LA mafuta
Tatizo nchi ya pili hawataki kuikubali..Mbona imesema Tanzania ni muungano wa nchi mbili.
Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.
soma Ibara ya Pili ya Katiba ya Zenji
sisi tumekubali kuiua yetu na kubaki na tanzania sijui ninyi wazanzibar ambao hamtaki kuua yakwenu tubaki na nchi moja.Tatizo nchi ya pili hawataki kuikubali..
kwa hiyo zanzibar ni nchi ya tanzania?
sisi tumekubali kuiua yetu na kubaki na tanzania sijui ninyi wazanzibar ambao hamtaki kuua yakwenu tubaki na nchi moja.
kwani nani anasema znzb sio nchi? mbona hii c hoja? wale wanaosema si nchi,watuambie lini znzb ilitangazwa kua mkoa au jimbo ndani ya tz?
Wakulaumiwa ni Kikwete, aliapa kuilinda katiba ya JMT lakini hakufanya hivyo ilivyokuwa inavunjwa na mabadliko ya katiba ya Zanzibar. Nyerere tutakukumbuka sana...!
mkuu tanganyika ya kazi gani kama serikali ya muungano ndo yetu watanganyika. sisi niwakoloni wacha tuwatawale.
Hapoo ndipo ugomvi ulipo. ukitaka kugombana na wazenji waambie hivyo tu. muungano wa kweli ni ule ambao nchi zinapoungana inapatikana nchi moja tu. sasa huu muungano wetu wa nchi moja kupotea na nyingine ikabaki mi siuelewi kabisa.
Mie najua Tanzania ni matokeo ya muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.Hivyo ni kweli kuwa Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika.
sisi tumekubali kuiua yetu na kubaki na tanzania sijui ninyi wazanzibar ambao hamtaki kuua yakwenu tubaki na nchi moja.
Tanganyika ni nchi lakini invisible,raia wake ukiwakuta njiani wanajiita watanzania bara.Baba V kumbe Tanganyika nayo ni nchi vile?
Ngoja waje Vijana wa madrasa wale wa "ahasanta" ndo mtajua ukwweli kama Zanzibar ni nchi au si nchi!!
Tanganyika ni nchi lakini invisible,raia wake ukiwakuta njiani wanajiita watanzania bara.