Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

binafsi mimi sikerwi kwa zanzibar kuwa nchi, mna haki kabisa ya kuwa nchi kamili. Kinachonisumbua mimi ni kuwa na muungano baina ya nchi mbili ambapo nchi nyingine (tanganyika) iliyofanya muungano huo haitambuliwi.

hata mm najiuliza ni ipi nchi ya pili?
 
Hawa ndugu zetu sijui wana matatizo gani kichwani; sasa kama ingekuwa nchi kamili wangekuwepo wenye kudai "mamlaka kamili"? grrrrr
 
Hawa ndugu zetu sijui wana matatizo gani kichwani; sasa kama ingekuwa nchi kamili wangekuwepo wenye kudai "mamlaka kamili"? grrrrr

MMJ,

Sisi ndo tunawadekeza, hapa alitakiwa kuulizwa swali dogo tu, je sasa Zanzibar itawalipa posho wabunge wa bunge la katiba?

Hapo tungekata kidomo domo, cha ohh ni nchi na ina mamlaka yake kamili
 
Wakati wenzetu wamekazana kuitetea nchi yao ya Zanzibar huku wakiwa wanasonga mbele ili watambuliwe kimataifa. Wabara ndiyo kwanza wanazidi kujazwa ujinga na maccm kuwa serekali 3 zitauvunja muungano nchi ya Tanganyika ikirudi itasababisha muungano uvunjike utafikiri watanganyika ndio waliopewa majukumu ya kuulinda muungano.
 
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili


Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
So what?
Hizi kelele wamezipiga sana lakini kilicho wazi ni kwamba Zanzibar ni nchi isiyotambuliwa wa UN full stop.
 
Yupo sahihi kabisa Zanzibar ni nchi lakini siyo Dola, dola la Zanzibar lilifutika tarehe 26/04/1964.

Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili


Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
 
kwani nani anasema znzb sio nchi? mbona hii c hoja? wale wanaosema si nchi,watuambie lini znzb ilitangazwa kua mkoa au jimbo ndani ya tz?

CCM wakikusikia unasema kuwa Zanzibar ni nchi wanatamani kama wangekuwa na moto wa jehanamu wange kutupa kwenye moto wa jehanamu ili uipate freshi.Rejea majibu ya waziri mkuu mh Pinda bungeni.
 
Wagala roho zinawauma sana wakiona zenji wanataka kujitenga na wananchi wake 99.99% ni muslims!

Sasa jamani mtaweza kuibadili historia??

Hizi roho zenu mbaya mtakufa na ugonjwa wa moyo!
 
Tukiwa Serious, Je Huyu si kwamba amevunja Katiba ya JMT?

Muungano ulikwisha kitambo pale nyerere alipoifuta tanganyika bila ya ridhaa ya watanganyika,leo hii tanganyika imekuwa shamba la bibi,zanzibr kwanza.
 
Back
Top Bottom