MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 596
soma Ibara ya Pili ya Katiba ya Zenji
Teach a man how to fish....
soma Ibara ya Pili ya Katiba ya Zenji
sisi tumekubali kuiua yetu na kubaki na tanzania sijui ninyi wazanzibar ambao hamtaki kuua yakwenu tubaki na nchi moja.
jamani tuache unafiki. Hakuna nchi mbili zilizoungana. Hapa kuna mawazo ya watu wawili, karume na nyerere, ndiyo yaliyoungana, tena kinadharia. Muungano unatakiwa uwe na ridhaa ya wananchi wa nchi zinazoungana, hawa jamaa wa2 walipata wapi ridhaa yetu??
Haishangazi ndiyo maana zanzibar imejiondoa kny muungano wkt wahafidhina wa tanganyika (ccm) waking'ang'ana na muungano ambao haupo, kwa sababu ya maslahi binafsi ya kuitawala zanzibar! Hawa wahafidhina wameshachelewa, hata wakilazimisha serikali 2 kny bunge la katiba, bila kui disable katiba ya zbr ni useless, zbr imeshajitenga. Hali imeshafikia point of no return, they have to succumb to 3 govts system!!