Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

ARTICLE 4

States are juridically equal, enjoy the same rights, and have equal capacity in their exercise. The
rights of each one do not depend upon the power which it possesses to assure its exercise, but
upon the simple fact of its existence as a person under international law.

ARTICLE 5

The fundamental rights of states are not susceptible of being affected in any manner whatsoever.

ARTICLE 6

The recognition of a state merely signifies that the state which recognizes it accepts the personality of the other with all the rights and duties determined by international law. Recognition is unconditional and irrevocable.
 
Muungano wa Mkataba

ARTICLE 11

The contracting states definitely establish as the rule of their conduct the precise obligation not to
recognize territorial acquisitions or special advantages which have been obtained by force whether this consists in the employment of arms, in threatening diplomatic representations, or in any other effective coercive measure. The territory of a state is inviolable and may not be the object of military occupation nor of other measures of force imposed by another state directly or indirectly or for any motive whatever even temporarily.
 
Nyerere ndie nö 1 alieipoteza Tanganyika!
...
Akumbukwe kwa lipi?
Ivi unajua bila u..... Wa nyerere kusingekua na mivutano hii?
...
Dah! Naskitika sana nikiona mtu anaejiona anaakili timamu afu akaleta story za nyerere kuhusu muungano! Story zenyewe za kumsifia!
...
Wizi mtupu!

Nyerere ana akili sana.Aliiongezea Tanganyika Eneo la Utawala mpaka Zanzibar.Hivi unajua Bendera ya Tanganyika inapepea Zanzibar lakini ya Zanzibar mwisho Chumbi.Kila kitu cha Tanganyika kinaheshimiwa Zanzibar na Mpaka sasa Rais wa Zanzibar katangaza wazi anayehoji Muungano(Himaya ya Tanganyika)ahame Zanzibar.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini Zanzibar kuna Wimbo wa Taifa,Bendera,Rais,Vikosi vya SMZ,Katiba n.k,lakini Tanganyika hakuna? Jibu ni kwamba Tanganyika ndio Tanzania na Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania yaani Tanganyika.
 
Acha wehu we mburula yule mkatoliki alikua na akili sana.Elim yako ya madrasa ndo iliyokupotosha na kuwaza kinyumenyume
Akili ya kuamini kuwa MwenyeziMungu alitundikwa mtini na kuuliwa na viumbe wake mwenyewe?!
 
Ni aibu kwa nchi kubwa tanganyika kuiganda zanzbr kisa muungano,kama vizuri kupoteza utaifa basi watanganyika nendeni kenya mukaungane nao kisha mupoteze utaifa wa kenya,zanzbr kwanza.

Hivi uliona wapi Taifa linaachia Koloni lake kirahisi?
Umeshajiuliza Kama Zanzibar na Tanganyika ni Nchi mbili zenye hadhi sawa kwa nini Wajumbe wa Bunge la Katiba wa Tanganyika(Tanzania)wasiwe sawa na wajumbe kutoka Zanzibar?
 
Nyerere ana akili sana. Aliiongezea Tanganyika Eneo la Utawala mpaka Zanzibar.Hivi unajua Bendera ya Tanganyika inapepea Zanzibar lakini ya Zanzibar mwisho Chumbi.Kila kitu cha Tanganyika kinaheshimiwa Zanzibar na Mpaka sasa Rais wa Zanzibar katangaza wazi anayehoji Muungano(Himaya ya Tanganyika)ahame Zanzibar.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini Zanzibar kuna Wimbo wa Taifa,Bendera,Rais,Vikosi vya SMZ,Katiba n.k,lakini Tanganyika hakuna? Jibu ni kwamba Tanganyika ndio Tanzania na Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania yaani Tanganyika.

For somehow!!!!!!
 
mkuu mbona iko wazi, zanzibar hata wakijitenga hawako salama.

Kwa mtazamo wangu, labda vita ya wenyewe kwa wenyewe (wapemba na waunguja) lakini sidhani kama Sultani atatawala pale! Labda tu wafunge mkataba wa kuchimbwa mafuta! Si unajua wazanzibar udini unawapelekesha sana!
 
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili

Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Mkuu unashangaa bure kwa kitu cha kawaida tu. Kama Simba na Yanga zina bendera nembo na nyimbo zao ndio ajabu kwa SMZ kua na bendera wimbo na nembo yake? Hata serikali za mitaa zina bendera na nembo zao! TFF yenyewe ina rais wake. Tatizo ni pale wanapodai zanzibar ni nchi kamili. Kama 'kamili' wana maana 'sovereign' basi ni uongo.
 
Naona swali hilo ulipaswa kumuuliza Nape na mwenyekiti wake na mpango wao wa serikali mbili,Zanzibar na Tanzania.

Nape asijisumbue, wakati wa kutisha watu ili wanyamazie ukweli umepitwa. Hakuna Mzenj yeyote atakaye rudi nyuma kuhusu mamlaka kamili ya Zanziba.
Hili litaamsha lile gogolililo lala (Tanganyika). Nao watataka nchi yao kamili ili wasiendelee kunyonywa na hayo makinda yasiyo kua hata siku moja.
 
Hivi uliona wapi Taifa linaachia Koloni lake kirahisi?
Umeshajiuliza Kama Zanzibar na Tanganyika ni Nchi mbili zenye hadhi sawa kwa nini Wajumbe wa Bunge la Katiba wa Tanganyika(Tanzania)wasiwe sawa na wajumbe kutoka Zanzibar?

Ikibidi hivyo basi sultan bado anaitawala zanzbr na mjerumani anaitawala tanganyika na ndio maana tanganyika ni shamba la bibi.
 
Mkuu unashangaa bure kwa kitu cha kawaida tu. Kama Simba na Yanga zina bendera nembo na nyimbo zao ndio ajabu kwa SMZ kua na bendera wimbo na nembo yake? Hata serikali za mitaa zina bendera na nembo zao! TFF yenyewe ina rais wake. Tatizo ni pale wanapodai zanzibar ni nchi kamili. Kama 'kamili' wana maana 'sovereign' basi ni uongo.

Punguza ujuha huwezi kuilinganisha zanzbr na simba,hebu nitajie huo mtaa wenye rais na baraza lake pamoja na bendera yake huko tanganyika,hata mufanye vipi zanzbr c tangalanyika,zanzibr kwanza.
 
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili

Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU

Kiukweli inatakiwa tuwe na serekali moja na Zanzibar itambuliwe kama mikoa mingine tu kama Mtwara, Kigoma, Dar, Dodoma au mkoa mwingine wowote.
 
Akili za Madrasa hizi.Nenda Afrika ya Kati ukawasaidie Mujahideen,Wenzako wanahamishwa na Malori kutoka Mjini Bangui baada ya Jihad waliyoianzisha kuwageukia.
Unakumbuka Algeria ilikuwa chini ya ukoloni wa Kifaransa kwa karne ngapi?
Unakumbuka India (Pakistan), Morocco, hata Pangani kule kwa kina (A) Bushiri zilikuwa chini ya mkoloni?
Lakini siku Waislamu walipopata uwezo walikamata silaha na kumng`oa mkoloni.

Jihadi haishi/haifi mpaka siku ya Qiyama..
 
Back
Top Bottom