Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

samia anajifurahisha tuu, znz kama ni nchi mbona haikulikani hata hapo south afrika? nchi zote za afrika ukiangalia kwenye bendera znz haimo.

Anawapoza waznz na anatafuta ulaji kwenye serikali ya3
 
Hata Tanganyika ni nchi sema wa tnyika wameamua kuuacha utanganyika wao ila inaonekana ilikuwa janja ya mwalimu ili Znz nayo ije baadaye iseme tubaki na Tz karume na wengine wakagoma. Welcome back my Tanganyika.
 
Hawa ndugu zetu sijui wana matatizo gani kichwani; sasa kama ingekuwa nchi kamili wangekuwepo wenye kudai "mamlaka kamili"? grrrrr

Kwani unafokea nini Mzee Mwanakijiji, si utuache na uchache wetu wa akili. Unatoka povu la nini Zanzibar kujidai kuwa ni nchi wakati kwa uelewa wako kuwa si nchi? Unajuwa unatumia nguvu za bure kwa jambo ambalo kama muelewa ungenyamaza kimya!!!!!!
 
MMJ,

Sisi ndo tunawadekeza, hapa alitakiwa kuulizwa swali dogo tu, je sasa Zanzibar itawalipa posho wabunge wa bunge la katiba?

Hapo tungekata kidomo domo, cha ohh ni nchi na ina mamlaka yake kamili
Kwani hilo posho linalipwa na nani? Kumbuka Tanganyika haipo.
Kwani katika akili yako hii Katiba inawahusu Wazanzibari kihivyo? Zanzibar tayari ni nchi na ina kila kitu cha mihili ya dola wasiokuwa nayo ni Tanganyika. Hiyo Katiba ni kwa ajili ya kuzaliwa Tanganyika hivyo bado mtatumia pesa zetu kuunda nchi yenu.
 
Kwani amiri jeshi wa Zanzbar ni nani? Nchi gani ambayo rais wake hawezi kupinduliwa sababu si mkuu wa majeshi?

Kuwa na jeshi ni lazima ndio iwe nchi. Hebu jiulize umeona wapi ardhi iliyokuwa huru isiwe nchi?
 
Binafsi mimi sikerwi kwa Zanzibar kuwa nchi, mna haki kabisa ya kuwa nchi kamili. Kinachonisumbua mimi ni kuwa na muungano baina ya nchi mbili ambapo nchi nyingine (Tanganyika) iliyofanya muungano huo haitambuliwi.

Mkuu chukua tano yangu tu. Yawezekanaje Muungano uwe ni wa Nchi huru ya Zanziba na Tanzania???? Jamani, wakati wa kudanganya mtoto kuwa duka limefungwa hakuna pipi sio leo tena.
Tuleteeni hiyo nchi Zanzibar walio ungana nayo kwanza ndipo mjadala uanze wa namna ya Muungano. Namuunga Mkono Mh. Samia Suluhu. Zanziba ni nchi hakuna ubishi kwa hivyo, hakuna muungano? Kwani hakuna muungano bila wa kuungana naye. Zanziba waliungana na nani?
 
Tanzania bara wao wanasema wanaipenda Tanzania, wameshazoea jina hilo hivyo wache watumie ile katiba ya Tanzania.

Weye umetokea wapi tena?? Tanzania Bara ni nchi gani hiyo tena? Mbona mwatuchanganya nyie?? Na Tanzania ndiyo wapi huko tena?
 
Zanzibar kama ni nchi mbona haina kiti maalum AU. nyie wazenji acheni kutudanganya kisa mmegundua mafuta basi mnajiona wajajanja kweli tukiwaacha mmarekani anakuja kuyakomba yote hatowaachia hata tone LA mafuta

Hayo ameyasema waziri wa nchi katika ofisi ya rais anaeshughulikia wa muungano...ajabu kabisa
 
Kwani unafokea nini Mzee Mwanakijiji, si utuache na uchache wetu wa akili. Unatoka povu la nini Zanzibar kujidai kuwa ni nchi wakati kwa uelewa wako kuwa si nchi? Unajuwa unatumia nguvu za bure kwa jambo ambalo kama muelewa ungenyamaza kimya!!!!!!

inauma sana tunapelekwa kama hatuna akili vile
 
nahisi ni pace maker
samia anajifurahisha tuu, znz kama ni nchi mbona haikulikani hata hapo south afrika? nchi zote za afrika ukiangalia kwenye bendera znz haimo.

Anawapoza waznz na anatafuta ulaji kwenye serikali ya3
 
Wakulaumiwa ni Kikwete, aliapa kuilinda katiba ya JMT lakini hakufanya hivyo ilivyokuwa inavunjwa na mabadliko ya katiba ya Zanzibar. Nyerere tutakukumbuka sana...!
 
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili


Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Kwani kuna watu wanasema Zanzibar kitongoji?Waache wawe nchi kwani lazima muungano?
 
Ilivyotakiwa ni Watanganyika nao kuitangaza Tanganyika kuwa nchi.

Kama Watanganyika hawaitaki nchi yao basi wakae kimya wawaachie wenzao Wazanzibari wanaoithamini nchi yao waendelee na wanachokifanya.

Watanganyika waendelee tu kujiita Watanzania, Wabara.
 
Back
Top Bottom