Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

sio suala la kutulia ni kuamka na kudai TANGANYIKA kwa nguvu zote

mkuu tanganyika ya kazi gani kama serikali ya muungano ndo yetu watanganyika. sisi niwakoloni wacha tuwatawale.
 
Zanzibar kama ni nchi mbona haina kiti maalum AU. nyie wazenji acheni kutudanganya kisa mmegundua mafuta basi mnajiona wajajanja kweli tukiwaacha mmarekani anakuja kuyakomba yote hatowaachia hata tone LA mafuta

Kukosa kiti UM hakuondoi ukweli kwamba Zanzibar ni nchi. Tanzania ni Muungano wa nchi ngapi? Kama ilikuwa nchi wakati wa kuungana na Tanganyika, itaendelea kuwa nchi milele kama ilivyo kwa Tanganyika ambayo imekuwa "ruhani" yaani nchi isiyoonekana.
 
Kukosa kiti UM hakuondoi ukweli kwamba Zanzibar ni nchi. Tanzania ni Muungano wa nchi ngapi? Kama ilikuwa nchi wakati wa kuungana na Tanganyika, itaendelea kuwa nchi milele kama ilivyo kwa Tanganyika ambayo imekuwa "ruhani" yaani nchi isiyoonekana.
SOMA Montevideo Convetion Ibara ya 1
 
Mie najua Tanzania ni matokeo ya muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.Hivyo ni kweli kuwa Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika.
 
Katiba ya Znz ipo wazi kabisa na imetamka HILO bila kificho KUWA ZNZ NI NCHI.

Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.

mkuu yunakereka kwa kimkoa kidogo chenye wilaya ya pemba na zanzibar??

Huku hifadhi ya serenget tu n sawa na kmkoa kenu mara100
 
Katiba ya Znz ipo wazi kabisa na imetamka HILO bila kificho KUWA ZNZ NI NCHI.

Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.
Hata mtoto anaweza kujitangaza wazi kuwa yeye ana umri mkubwa kuliko baba yake. Hapo ishu sio kujiweka wazi, ishu ni kwamba, je, ukiondoa wewe, jamii nyingine inakutambua?
 
Kama ni nchi asingekuwa na haja ya kusema hivyo kuwa 'ni nchi'. Nchi si zinajulikana bwana, kuna haja ya kusema? Ukiona hivyo, ujue sio nchi!
 
Alijichanganya sana kwani hapo hapo akawakemea wale wote wanaotaka kuvunja muungano. Muungano hauwezi kudumu kwa kumpa mshirika mmoja (zanzibar) autonomy & self determination huku ukimnyima mwingine (Tanganyika). Viongozi wa CCM watakachofanikisha ni kuchelewesha tu Tanganyika, sio kuizuia.



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Umenielewa haswa, hapo ndipo nilipokusudia.
wenzenu walipigana kutafuta uhuru mna kazi ya kupigana badala ya kukaa na kulalama na nchi yenu isiyokuwa na madaraka kamili.
 
Back
Top Bottom