mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Jibu lilikuwa very simple tuu... Kwamba rais wa zanzibar atabaki kuwa mkuu kwa mambo yasiyo ya Muungano ama kwa mujibu wa ile katiba ya zanzibar ya 1984Hata kama inapambwa hii kitu inazo kasoro Pascal . Nenda Zanzibar halafu utamke kuwa makamu wa Rais wa JMT, ana nguvu kuliko Rais wao kama utaeleweka !!.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sio Bars na Visiwani maana hata Ukerewe ni Tanzania VisiwaniTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Rudi shuleNchi moja maraisi wawili.
Marekani ni Munganiko wa nchi 54 ila Raisi mmoja.
Hivii Uhuru na M7 walitinga au walikuwa bize😃Akidi kutimia ilikuwa sio mchezo nasikia maraisi walitakiwa 16 Sasa waliotokea ni 4 tu, ikabidi Karume, Shein, JK, Ruksa, Mkapa ngoma 9 wale shavu
Kuna viongozi wakuu wa aina mbili, kisiasa na kiutawala, kisiasa watu wanaitwa viongozi wakuu kitaifa ni watano. Rais, VP, PM, Rais wa Zanzibar na CM.Kwa hiyo Spika wa Bunge hayumo kwnye 5 bora za JMT?
Elimu ya uraia kuhusu SADC inahitajika, Kenya na Uganda sio members wa SADC.Hivii Uhuru na M7 walitinga au walikuwa bize😃
Ni rais was Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar,inayounda jamhuri ya muungano wa Tanzaniaana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
😲😤😤😤Elimu ya uraia kuhusu SADC inahitajika, Kenya na Uganda sio members wa SADC.
P
Hapana Tanzania Visiwani kwa maana ya visiwa ni Zanzibar na Pemba. Hata Mafia japo ni kisiwa au Kilwa sio Tanzania visiwani, Tanzania Visiwani ni lile eneo lililokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pekee.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sio Bars na Visiwani maana hata Ukerewe ni Tanzania Visiwani
Asante nikuwa sijui. Ila nijuze marais wangapi wamehudhuria mkutano huu ?Elimu ya uraia kuhusu SADC inahitajika, Kenya na Uganda sio members wa SADC.
P
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Nisije nikaonekana nakupinga tuu ila hakuna big 5 politically nchi hii hakuna mamlaka ya kisiasa na ya kiutawala popote nchi hii... Hilo la muhimili wa raisi kuwa ndio mkuu nalo Ni jipya hapa....mihimili yote Ni sawa na mmoja haupasi kuuingulia nwingine... Executive Hana madaraka popote pale... Isipokuwa in the matter of check and balance ambapo hata yeye anachokonolewa sana tuu na bunge hata na mahakama.Kuna viongozi wakuu wa aina mbili, kisiasa na kiutawala, kisiasa watu wanaitwa viongozi wakuu kitaifa ni watano. Rais, VP, PM, Rais wa Zanzibar na CM.
Kimamlaka nchi ina mihimili mikuu mitatu ambao ni rais Mkuu wa the executive, serikali, Spika Mkuu wa the legislature , Bunge na Jaji Mkuu, Mkuu wa the Judiciary, Mahakama. Hawa wakuu wa mihimili ndio the top kwenye mihimili yao.
Hawa wakuu wa mihimili wako sawa Kimamlaka. Rais, Spika na Jaji Mkuu wana hadhi na mamlaka sawa kupitia kanuni ya usawa wa mihimili "the principal of separation of powers, checks and balances. Rais ndiye mkuu wa wote, huu ndio mhimili uliojichombia chini zaidi,analiunda Bunge analivunja na kuteua mtendaji mkuu wa Bunge. Ndie anateua Jaji Mkuu. Spika ni mkubwa kuliko Waziri Mkuu ndani ya Bunge. Bunge nalo lina ukubwa kuliko rais wa JMT linaweza kumuondoa rais madarakani.
Japo rais anamteua Jaji Mkuu hawezi kumtengua na rais akivunja katiba Jaji Mkuu ndio anamchunguza na kuliarifu Bunge linamuondoa rais madarakani.
P
huyu ndugu ni mpotoshaji sanaMsilete kujuana kwenye mali za watu , Sadc si mali ya ccm , ni mali ya nchi wanachama tu , Zanzibar haimo , hizi ndio kero za Muungano , ni kama vile mlivyoihujumu Zanzibar kule CAF
Pascal Mayalla mboni hunijibu? Wamehudhuria marais wangapiAsante nikuwa sijui. Ila nijuze marais wangapi wamehudhuria mkutano huu ?
Mkuu Paschal,Mkuu Mwala, kwanza uheshimu muungano usiuite feki, bali una changamoto.
Makamo wa rais ni structural issue kuwa rais akitoka upande mmoja wa muungano Makamo lazima atoke upande mwingine, hivyo Samia sio mwakilishi wa Zanzibar kwenye serikali ya JMT ni rais mwenza wa JMT, in case of anything, kama kutimia kwa ile ndoto ya Lema, yeye ndiye anaapishwa kuwa rais wa JMT.
In case rais akitoka Zanzibar, makamu atatoka Bara huwezi sema makamu ni mwakilishi wa bara ndani ya serikali ya JMT.
Mwakilishi halali wa Zanzibar ndani ya serikali ya JMT ni rais wa Zanzibar anayeingia kwenye cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum.
P
In case rais akitoka Zanzibar, makamu atatoka Bara huwezi sema makamu ni mwakilishi wa bara ndani ya serikali ya JMT.
P
unaposema nje ya muungano unamaanisha nini wakati Tanganyika na Zanzibar ndizo ziliunda Muungano huo ? je nje ya muungano Tanganyika ina nafasi gani ? kutetea hili jambo unapaswa kujiondoa utu kwanza , si rahisi kuliteteaNdani ya muungano zanzibar si nchi, nje ya muungano zanzibar ni nchi. Wadhifa wa Shein ndani ya Muungano ni sawa na waziri. Na pia anaweza kuingia bungeni kama waziri. Hivyo Shein ni sawa na waziri.
Wamehudhuria hao waliohudhuria, wanatangazwa liveAsante nikuwa sijui. Ila nijuze marais wangapi wamehudhuria mkutano huu ?
Nimeshajulishwa 😎Wanehudhuria hao waliohudhuria, wanatangazwa live
P