Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.

Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa

Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Zanzibar ndiye mhanga mkubwa wa Muungano eneo la mgawanyo wa rasilimali.

Tanganyika ndiye mhanga mkuu wa Muungano eneo la mamlaka
 
SIDHANI KAMA TUNA MUDA MREFU NA HUU MUUNGANO!
kifupi Wazanzibar hawajui wanachotarajia kukipoteza!
wakati mwingine mnatulazimisha kusema ukweli mchungu! hivi tunaelewa vizuri wazanzibari WENGI walitokea wapi?
NIMEANDIKA LAKINI NAFSI IKAGOMA NIMEFUTA.
 
At

Ata babu zetu waliwaza kama wewe kuhusu kuvunja muungano lakini ikashindikana

Sasa inatakiwa uvunje wewe kama uwezi itakua history.
 
At

Ata babu zetu waliwaza kama wewe kuhusu kuvunja muungano lakini ikashindikana

Sasa inatakiwa uvunje wewe kama uwezi itakua history.
Binafsi sikutegemea Muungano kuwa unaweza kuwa kero lakini kwa sasa wacha malalamiko yao yawe sala halali kwa MWENYEZI MUNGU. Wacha uvunjike kisha wajukuu zetu watajenga Muungano halali ambapo Zanzibar yote itamezwa na kuwa mkoa.
 
Wtz tusubiri mwaka ujao nitashinda uchaguzi ujao na Cha kwanza kukifanya itakuwa kuvunja muungano na kuwafukuza Wazenji wote walioko Huku na kulimega eneo lao lote la bahari kuwa la Tanganyika .
 
..sio kweli.

..kilichotokea ni fedha za Tgk na Znz kuhamishiwa BOT baada East African Currency Board kuvunjika.

..Waznz wanajaribu kupotosha kwamba Watgk tulikuwa hatuna kitu, au kuwa wametufadhili, ktk muungano wetu.
Asilimia nne haiwezi kuwa ufadhili,uwe unasoma na kutafakari,walichangia 4% na hawajawahi PATA gawio,maana yake Tanganyika ilichangia 96%,so Kama Kuna gawio wanapasa kupewa
 
Afu fun enough Wazanzibar ndo mara zote wanajifanya kuibua mada za kutuchachafya na huu muungano!
Wanajiamini, sisi ndio tunawang’ang’ania. Watanganyika tupo kimya ni vile tunawafaidi sana hawa. Wangekuwa wanatunyonya tungeshawatema kitambo.
 
..sio kweli.

..kilichotokea ni fedha za Tgk na Znz kuhamishiwa BOT baada East African Currency Board kuvunjika.

..Waznz wanajaribu kupotosha kwamba Watgk tulikuwa hatuna kitu, au kuwa wametufadhili, ktk muungano wetu.
🤣🤣🤣
 
Ifike tu muda tuache kukalazimisha haka kamuungano, kuna angle nyingi sana kanagoma kumatch!!!!! ndo vile tu wanasiasa wanakaforce,,, sijui ni kwa faida ya nani sasa.

Hata tukowachana na muungano, deni la Zanzibar lazima lilipwe.
 
Back
Top Bottom