thepresidar
Member
- May 6, 2011
- 34
- 6
Jamani mi mwananchi wa kawaida nisaidieni,Hivi napo toka visiwa vya Unguja kuja tanganyika Napofika pale Bandari salama nikalipishwa ushuru wa kifa au bidhaa nlonunua huko visiwani Hii ina maana gani ukizingatia nchi hii ni moja,kwa mana nyingine kule ni mkoani zanzibar.ka sipo sahihi basi tuweke na wachukua mapato mikoa mingine yani ukinunua TV Dar ukifika Songea unatozwa ushuru,umenda bagamoyo umeleta samaki ukifika mwenge pale watu wachue kodi....What a joke of a country