Sasa naanza kuwaza urais wa nchi hii

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Naamini ninaweza kuibadilisha nchi hii kutoka hatua ya chini kwenda juu na ili nifanye hivyo njia ni moja tu kuanzisha mchakato wa kushika usukani niwe dereva.

Miongoni mwa mambo ninayopanga kufanya ni kama

1. Uchumi.

tactic yangu kubwa kiuchumi itakuwa ile ile inayofundishwa shule za sekondari "kupunguza imports na kuongeza exports". ki msingi watala wengi wanatofautiana katika aproach ya kufanya jambo hili maana kila mtu anakuja na tafsiri yake. hapa mimi naamini tafsiri ya hili ni kuzalisha zaidi nchini ili mahitaji ya wananchi yazalishwe haphapa na tuzalishe ziada kupelleka nje. katika hili nitafanya yafuatayo

a) Sera ya Viwanda
ki msingi naikubali sana sera ya viwanda iliyoasisiwa na serikali ya awamu ya tano lakini sikubaliani na approach ya awamu ya 5 katika viwanda. mimi nitafanya yafuatayo katika viwanda.
1. kila mwananchi ana wajibu wa kuchangia katika ujenzi wa tanzania ya viwanda hivyo nitaanzisha kodi maalumu ya ujenzi wa viwanda. ili kila mtu achangie nitaweka kodi ya shilingi 200 kwa kila kilo moja ya zao la chakula na kuanzisha benki ya viwanda. ninategemea kukusanya zaidi ya trilioni moja kwa mwaka kupitia kodi hii hivyo nina uhakika kila mkoa kupata kati ya bilioni 30 mpaka 50 kila mwaka za kujenga viwanda.

2. tanzania ya viwanda nitaitafsiri katika "production" na sio majengo fulani na system fulani. hapa nitaanzisha sera ya kila mtanzania anayeona kitu chochote kinachotoka nje akaona ana uwezo wa kukizalisha basi ruksa. ukiona baiskeli ukaona vyuma vyake una uwezo wa kuvikunja na kuvipaka rangi vikawa vya baiskeli lakini huwezi kutengeneza matairi na mnyororo basi ni ruksa kuanzisha simple kiwanda cha baiskeli unakunja na kuchoma vyuma na kupaka rangi na kuagiza mnyororo na tairi na kuunganisha tayari unazalisha baiskeli.

3. wajasiliamali hawa watakuwa wakikopeshwa na benki ya viwanda wakue kuanzia chini na nina uhakika kama ulianza kutengeneza baiskeli kwa kukunja vyuma tu, baada ya mda mzalishaji huyu atakusanya mtaji ataanza kuzalisha mnyororo na akikua zaidi ataanza kuzalisha matairi au atajitokeza mjasiriamali mwingine ajenge kiwanda cha kuzalisha matairi kuwahuidumia hawa waliokwisha weka soko kubwa la matairi au minyororo. leo hii tunaimba tanzania ya viwanda la katika nchi yetu hii hii tunakopesha watu wanaofuata bidhaa china na kuwanyima mikopo wanaotaka kuzalisha. ndio yawezekana biashara ya kufuata mzigo china ina riski kidogo hivyo mabenki yanakukopesha kwa wepesi na kuanzisha kiwanda ni riski kubwa ambayo wenye mabenki wanaogopa na hapa ndipo pa serikali kuingilia kati kutafuta fedha ambazo zinabadilisha mzani huu, iwe kuanzisha uzalishaji kwetu ni rahisi kupata mkopo kuliko kufuata bidhaa nje. sio kwa kutunga sheria za kuwabana mabenki bali serikali kutafuta fedha za kuingiza kwa wajasiliamali wazalishaji.

4. target yangu itakuwa ni ndani ya miaka 10 asilimia zaidi ya 50 ya bidhaa katika masoko yetu ziwe zinazalishwa hapa kwetu ingawa naamini hatuwezi kufika huko kwa serikali kubaki kwenye majukwaa kuimba ngonjera za viwanda tu, watu wanatoa wapi mitaji ni juu yao na wanamuuzia nani bidhaa hizo wanaona kama haliwahusu. ni lazima serikali iweke miundo mbinu kama barabara na umeme lakini iende mbali zaidi kwa kurahisisha upatikanaji wa mitaji, kuweka masharti na sera rafiki yanayoendana na jamii ya watanzania ili kila mwenye wazo la kuzalisha asikwamishwe na ukosefu wa mtaji au sheria na sera za uzalishaji.

5. ni lazima kwa bidhaa tunazozichagua kuwa hizi watanzania wanaweza kuzizalisha tupandishe ushuru wa finished goods na kupunguza ushuru wa mashine.
6. nitaanzisha taasisi ya kusaidia watanzania kuagiza mashine za kuzalisha nje ya nchi. mfano nilienda kigoma nikakuta wanazalisha crude palm oil kupitia local productions. nikaingia kwenye mitandao nikaona kuna mashine ndogo ndogo zinafanya refinery ya hayo mafuta. nikawa interested kuanzisha biashara ya kununua mafuta haya ya mawese yasiyosafishwa nasafisha lakini kikwazo kikawa hii mashine niliyoiona kwenye mtandao wa alibaba china ninaipataje? nimeshindwa kufanya kitu ambacho ninakiona possible na profitable simply because nimeshindwa jinsi ya kupata hiyo mashine inifikie hapa locally tena FOB yake iki ni kuanzia dola 1000. hapa hataka kuwe na taasisi ambayo utaona kile unachokihitaji unawapelekea mahitaji yako na wanakusanya mahitaji ya wengi wanakuwa na watu wa kusafiri huko nje kwenda kutafuta mahitaji ya mashine au vipuri kwa wajasiriamali ambao hawawezi kuagiza wenyewe na vikipatikana wanakuja kuchukua bidhaa hizo locally.

7. nitaanzisha programu za uelimishaji na uhamasishaji juu ya ujenzi wa viwanda. ki msingi nimeona kuna programu kama hizi TBC lakini sijaridhika na maudhui. nitaleta programu kama "how it is made kutoka chanel ya discovery". ili kujenga viwanda tunachohitaji ni kubadili mtizamo wa watanzani juu ya uzalishaji wa bidhaa waache kuwaza kama haya mambo ni ya technolojia ya hali ya juu sana au ni mambo ya wazungu tu. kipindi hiki cha how it is made kinaonyesha jinsi bidhaa mbalimbali zinavyozalishwa, hawako interested na kuwaonyesha watu ukubwa wa majendo au maelezo yasiyo na msingi bali wanakuonyesha kitu kinavyozalishwa, mashine inavyofanya kazi au jinsi gani product inazalishwa kutokea raw material hadi finished produvts. kwa watu wengi wakitazama bidhaa wanashindwa hata kuwaza hivi hizi bidhaa zinazalishwa vipi lakini wakitazama kipindi hiki cha "how it is made kinachoonyeshwa siku ya jumapili kuanzia saa 2:30 mpaka nafikiri saa 7 kinamfanya mtazamaji abaki kucheka tu. kitu alichokuwa kiwaza kuwa kigumu anakiona jinsi kinavyotengenezwa kwa urahisi kutumia njia rahisi. tunahitaji vipindi kama hivi kuwapa exposure watu wetu juu ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali na kuwajengea uthubutu wa kuiga kuzalisha bidhaa za nje kupitia viwanda vidogo vidogfo kama SIDO

b) kilimo

ki msingi tunasema uti wa mgongo wa nchi yetu ni kilimo lakini pia ni lazima tutambue kuwa uti wa mgongo wa biashara yoyote ni soko. bila soko biashara yoyote hata uijengee mazingira gani itakufa tu na kama biashara ina soko hata uiwekee vikwazo gani itashamiri tu. tatizo kubwa la kilimo cha tanzania ni kukosa soko. Mkulima hata akianzia katika kilimo cha mkono kama ana soko la uhakika mkulima huyu ataenda akiongeza mazao yake na atafikia hatua ya kukodi mashine na atakua mpaka atanunua mashine zake, lakini mkulima huyu kama hana soko hata umpe trekta bure hatafika popote. mkulima kama ana soko la uhakika hata usipompa pembejeo kama ana soko la uhakika na anapata fedha wafanyabiashara wa pembejeo watanfuata na kumpelelkea kila kitu anachokihitaji ilimradi anaweza kulipia. uwezo wa kulipia unatoka kwenye mazao anayolima.

ili kukuza kilimo chetu tunahitaji masoko. hivyo 1. nitafuta kodi zote za mazao ya chakula yanayokwenda nje na ikiwezekana nitaweka ruzuku ili wanunuzi wa kutoka nje wanaokuja kunua mazao kwetu wapate kwa bei rahisi. Tunapouza bidhaa nje tunapata fedha za kigeni ambazo wanagawana mzalishaji na serikali kupitia kodi. lakini hata ile iliyokwenda kwa mzalishaji ni mali ya serikali kwa maana inaingia kwenye mzunguko wetu na kuanza kuzalisha ajira kwa wengine na kutengeneza kodi kupitia manunuzi mbalimbali. hivyo ili kuchochea soko la nje la mazao ya wakulima ni lazima serikali ifute kodi ya moja kwa moja kwa mzao ya kilimo. lengo ni wakulima wetu wa ndani wapate fursa ya kuhudumia walaji wa nje na kupanua soko la kilimo. hii itapunguza umasikini kwa wakulima wetu na kuwafanya hawa wakulima kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na kujenga uwezo wa kununua.

Pili matika kilimo nitahamasisha uongezaji wa thamani ya mazao yetu. hapa ni lazima tutungiane sheria ili kujenga jamii yenye tamaduni mpya. nitapiga marufu ufungaji wa bidhaa zinazokwenda kwenye masoko yetu katika uchafu. ni lazima bidhaa isafishwe na kufanyiwa packaging katika mazingira ya usafi kabla ya kutoka sehemu ya kuzalisha. Tutawekea sheria za kutenga bidhaa zetu katika magredi ya ubora, hatuwezi kulea ujinga wa mtu kuchukua bidhaa mbovu akaweka chini juu akaweka nzuri kuwahadaa wanunuzi tukategemea kuendeleza kilimo au bidhaa zetu za kilimo kuingia masoko ya wenzetu waliopiga hatua.

nitaweka mazingira ya kutumia local farmers raw material kuwa rahisi kuliko kutumia imported. mfano leo hii mtu akikamua juisi ya embe au nanasi bei gali lakini akichanganya kemikali kutoka nje bei rahisi. ni lazima tupige kemikali kodi kubwa au tuweke ruzuku kwenye mahembe yetu ili wazalisha juisi kutumia embe zetu waone ni nafuu kutumia embe zetu tulinde afya za watu wetu na kujenga uchumi wetu

nitahakikisha ndani ya miaka kumi tunapunguza products za kilimo zinazotoka nje ili ziwe chini ya 20% hasa katika nguo, mafuta ya kula n.k

3. Nishati
swala la kujenga strigglers godge ninaliunga mkono asilimia 100% kwani nishati ya maji ndiyo nishati ya gharama nafuu kuliko zote. nilikuwa nawashangaa serikali ya awamu ya 4 waliokuwa wakijigamba kuwa wanataka tuondokane na utegemezi wa nishati ya maji kwa kulaumu ukame na kusema walitaka tutegemee umeme wa gesi na makaa ya mawe lakini ni lazima tutumie geographical advantage yetu kupunguza gharama ya nishati kwa kuwekeza katika umeme wa maji na tujenge gesi na makaa ya mawe kama standbye pale maji yanapokuwa ni shida. Lakini kikubwa tujihadhari kwa kulinda vyanzo vya maji.

Katika nishati ninayo fursa ya kuboresha maisha ya watanzania kwa kukata import katika mafuta ya kuendeshea magarai na mitambo. hivyo nitaanzisha mkakati wa kubadili magari yetu ili yatumie gesi yetu. kila mwaka tunaagiza zaidi ya lita bilion 3 ambazo nikifanikiwa kupunguza 1.5 bilion liters per year nina uhakika wa kukomboa fedha za kigeni zaidi ya 2 trilion per year ambazo tunazipeleka kwa waarabu wazlisha mafuta na hizi fedha za kigeni zitatujengea uwezo wa kununua bidhaa nyingine nje. mfano kama nitakuwa natumia zaidi ya trilioni moja kutoka katika mzunguko wa ndani kununua imports kwa ajili ya ujenzi wa viwanda na nikasevu 2 trilions katika ununzi wa mafuta nina uhakika uchumi wetu utabaki imara, hautayumba.

mambo mengi siwezi kuandika yote kwa wakati mmoja ila mantiki yangu ni kuwaonyesha ninachokiwaza kuwa ninaweza kukitumia kubadili maisha ya watanzania na ninawakaribisha watanzania tuendelee kujadili ili ama kunikosoa au kunisapoti na yote yakiwa katika nia moja ya kuniboresha zaidi katika safari ya kutafuta kuwatumikia wakati ukifika.

yapo mengi ninayopanga kubadilisha mfano

1. swala la magereza siridhiki kama magereza zetu kwa sasa zinarekebisha mtu ili atoke kwenye kuwa muhalifu na kuwa mtu mwema sitaki kusema sana kwenye kinachofanyika lakini malengo yangu hakuna mfungwa atalishwa na kodi ya mtanzania mwingine. ninapanga kutumia magereza kufanya kazi za kilimo, kuweka mazingira ya miji yetu katika usafi na kufanya shughuli ambazo zimeshindikana kufanyika kibiashara. Mfungwa atakuwa akifanya kazi kila siku na hiyo ndiyo njia pekee ya kumfanya ajenge tabia ya kufanya kazi. mfungwa atakuwa akizalisha chakula cha kumlisha. kama umefungwa ni mtaalamu basi utatoka gerezani na kwenda kufanya kazi yako ya kitaalamu sehemu utakayopangiwa na malipo yatakuwa malipo ya chini sana ambayo hayatahamasisha walioko mtaani kufanya uhalifu ili wakaajiriwe gerezaji na kumfanya aliyefungwa kujuta. Nusu ya fedha anayolipwa mfungwa itaenda kwa familia yake ili kutoa msaada kwa watoto na nusu itatunzwa ili siku anatoka apewe. kama mtu kafungwa miaka kadhaa na akajengewa tabia ya kufanya kazi kila siku na akitoka akapewa kianzio cha kuanzia ambacho alikitengeneza yeye bila shaka akienda mtaani ataendelea na maisha ya kawaida. lakini ukimfungia mda mwingi, akitoka anatembea kama kuku kafungwa kamba na akiimaliza kifungo hana pa kunazia na jamii haimkubali bila shaka ni lazima tabia yake ibadilike lakini sio kuekea kwenye uzuri bali kuwa mbaya zaidi.

2. Uzalendo

uzalendo ni jambo pana sana lakini hapa nitazungumzia mawili tu. moja ni wanasiasa na pili ni mafunzo ya jkt. moja ya watu ambao wanaoongoza kwa kuonyesha udhaifu mkubwa katika uzalendo katika nchi yetu ni wanasiasa. mwanasiasa yuko tayari akazunguke huko nje, ulaya, marekani na kadhararika kuwashawishi wafadhili wainyime nchi yetu misaada kisa anadai yeye kuna mtanzania mwenzake kamwibia kura. siku zote mimi hulinganisha wanasiasa hawa na bwana anayemuonea wivu mkewe akachinja kila mtu katika familia. Mtanzania mzalendo ni yule anayeweza kusimama mbele ya watanzania ni kuwaambia ndugu zangu nimedhurumiwa moja mbili lakini tanzania yetu ni bora kuliko mimi hivyo tusonge mbele, siwezi kuwaombea nyinyi njaa kisa eti mimi nimedhurumiwa, nimewaeleza ili nyinyi mjue mnavyodhuliwa haki yenu na mkijua nyinyi wenyewe mtafute mbinu ya kutoka huku ili huku mbeleni muwe na maamuzi. tunasikia mijadala mbalimbali ya wanasiasa mpaka unashangaa hivi kweli huyu ni mtanzania? kutaka madaraka ndio kunamfanya hivi?

kwangu mimi ninapanga kujenga wanasiasa kuwa wazalendo, walioko madarakani wawatumikie wananchi kwa uzalendo na waliko benchi kwa maana ya wapinzani wawatumikie wananchi kwa uzalendo. hapo tunategemea wapinzani wawe jicho la serikali katika kufuatilia watendaji lakini pia wapinzani wawe wasemaji wa taifa katika mambo ambao nchi za nje wanatuletea mambo ya kipuuzi ambayo serikali ikisema tunachapwa bakora. mfano mzuri ni Julius Malema wa SA. unaweza kuona malema anavyofanya kazi ya kuwasaidia waafrika kusini kusema kuibua madudu ya watendaji ndani ya serikali, huo ndio uzalendo, kujibizana na mataifa ya nje. lakini huku kwetu mambo ni tofauti wafanya madudu ndio wanatetewa na wapinzani kwa mantiki ya kutaka kuwavuta kwao na mataifa ya nje yakitusema vibaya na wao wanaunga mkono wakidhani inaweza kuwa fursa kwao. kuna mambo serikali itashindwa ku "deliver" meseji na kuongea kidiplomasia ili tusiwakorofishe wakubwa lakini tunahitaji watanzania wazalendo wenye platform kutuma meseji ambayo sio rasmi.

kwenye swala la jkt ki msingi mfumo wetu wa mafunzo ninaona umepitwa na wakati. hakuna proof ya kwamba wale waliuopita jkt wanakuwa wazalendo kuliko wale ambao hawajapita. ki msingi mfumo huu ni wa kizamani ambao unatoka katika elimu zetu za jadi ambako vijana walipelekwa katika maeneo ya jando na unyago kufundishwa maarifa ya liyokuwa na tija kwa wakati huo. leo hii mimi nina ndugu shemeji yangu amesoma ana masters, alikosa ajira ya kuajiriwa akabaki kwenye biashara ya baba yake akihangaika kutafuta ajira. zilipotoka nafasi za jkata mwaka 2014 akapelekwa arusha na kukaa huko miaka 3. hakufanikiwa kupata ajira baada ya miaka mitatu akarudi. alivyorudi hata mchumba wake wakagombana kwa sababu aliona ni kama hana mwelekeo akajaribu kwenda morogoro kwenye mambo ya kilimo bado mambo yakawa magumu akarudi palepale kwa baba yake alipoanzia na kuanza kujikongoja kuanzia pale alipopaacha. Vijana wengi ukiachilia hii ya serikali kutumia sheria kuwa waliopitia jkt tu ndio waanaajiriwa hawaonekana kuwa tofauti kwenye jamii kusema labda wanakuwa na ubunifu wa kukabiliana na maisha. kikubwa wanachokuja nacho ni neno uzalendo kutamkwa mara nyingi mdomoni na vurugu mtaani maana kijana akitoka jkt ukimkorofisha kidogo hakuachi. sio kumkorofisha tu yaani inabidi ujichunge kukaa mbali naye maana wanakuwa ni kama wanatafuta sababu ya kuonyesha wamepitia mafunzo fulani.

ki msingi mimi naona haya ni mafunzo yaliyopitwa na wakati. tunahitaji kuwafundisha kuitetea nchi yao na kuwafundisha kufanya kazi, hapa tunachohitaji ni kuwaonyesha wazi jinsi nchi zinavyoishi kwa kunyanganyana na na faida gani inapatika kwa mkate ulioko nchini kwetu kubaki kwetu ukizunguka miongoni mwetu. tunahitaji kuwaonyesha kuwa kazi yao ni kulinda mikate yetu ya kiuchumi isiende nje na kutafuta mikate ya kiuchumi ya nje ije kwetu. mikate hii sio bidhaa bali ni fedha. hivyo kama vijana mkiona wenzenu wana shida na mnashindwa kuwahudumia jua wageni watakuja kuwahudumia na kuchukua mikate yenu na mtabaki maskini lakini mkihudumia watu wa nje huko huko kwao kwa kuwapelekea bidhaa na huduma hapo mnakuwa mnachukua neema kwao kuleta kwenu na hapo manondoa umasikini. vijana wetu hawa katika kipindi hiki cha mafunzo tuwatumie kutatua changamoto sugu katika jamii kwa wakati huo. mfano kama tuna makazi holela basi vijana hawa wanaweza kutumika kuweka miji yetu sawa kwa kupita mitaani chini ya usimamizi wa jkt kuweka mitaa, kuweka njia zieleweke, kuweka arrangement.

vijana hawa wanaweza kutumika kuweka miji yetu kuwa nadhifu chimba mitaro, tengeneza bustani, panda miti. huku wakisimamiwa mda wa kuja kuondoka na kila mmoja anapewa taski na kuhakikisha nalitimiza. wakipita mitaani wanaonyeshwa shughuli za maendeleo na kupewa molary ya kuja kuzifanya wao, zinazofanywa na wageni kupewa chalenji kuwa sisi baba zenu, mama zenu, kaka zenu, dada zenu mambo haya yametushinda ndio maana wamekuja wageni kuyafanya lakini nyinyi msiwe kama sisi bali jitahidi kufanya hata yale yaliyotushinda, jitahidi na nyinyi mje kwenda huko kwa wenzetu kufanya haya.

pale tunapofanya mambo ya ovyo kama kujenga hovyo vijana hawa waonyeshwe jinsi makazi ya watu waliojipanga yalivyo na kuwaeleza sababu za sisi kuishi hivyo, vijana hawa wapewe changamoto kutafuta majibu ya mambo yaliyotushinda na sio kuiga mambo ya ovyo tunayoyafanya na huo ndio uzalendo wa kweli wa wakati huu
 
Katoe ushauri kwa mawaziri husika wayafanyie kazi mawazo yako tusonge mbele. Sio kila anaeweza kushika uskani ni madereva,wengine ni makonda/ vigogo wanaenda kupaki au kuosha
 
Sio mbaya kuwaza jambo ambalo unajua kabisa kwako haliwezekani.
 
Wavivu wa kusoma watakubeza ila nimekusoma mpaka mwisho, uliyoandika yoote ni mazuri na kweli yakifanyiwa kazi tutasonga kwa haraka sana..

Namba 7, huwa nawaza sana hiyo kitu nakuiongea sana, point namba saba ikifanyiwa kazi vizuri asilimia kubwa sana ya vijana wa kitanzania wataingia kwenye uzarishaji na kuongeza mzunguko wa biashara mtaani na kurahisha makusanyo ya TRA..
 
"wavivu wa kusoma"

ki msingi tumekuwa na mijadala mikubwa juu ya ubora wa elimu zetu na wengi wanakimbilia kwenye vitu vidogo lakini uvivu wa kusoma ni moja ya janga ambalo mfumo wa elimu ya tanzania unajenga.

Kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu elimu yetu ni ya "multiple choice" na kukariri maswali na majibu basi. Hili ni tatizo na hatuwezi kujenga experts.

huwezi kujenga hoja ya uraisi kwa staili ya kuorodhesha, ni lazima uchanganue ili msomaji ajue kama tatizo unaliona na je unawaza kulitatua vipi.

anyway nadhani afrika tuko kwenye "vicious circle"
 
Umesahau mkuu;
Kuondoa ukabila na ukanda
Kudumisha democrasia na uhuru wa vyombo vya habari
Bunge live
Kuilinda katiba utawala wa sheria
Kuongoza kwa misingi ya haki na kupokea ushauri.
 
Kasi ya JPM imerejesha imani ya kwamba hakuna lisiliwezekana kusongesha mbele nchi yetu,uzi wa hivi awamu zilizopita ilikuwa ni ngumu kukutana nazo.
 
Umesahau mkuu;
Kuondoa ukabila na ukanda
Kudumisha democrasia na uhuru wa vyombo vya habari
Bunge live
Kuilinda katiba utawala wa sheria
Kuongoza kwa misingi ya haki na kupokea ushauri.
Sioni kama bunge live inaweza kutufanya tukasonga mbele, mengine yote nakuunga mkono.
 
Nitajenga barabara tano tano, juu na chini, nitajenga kumbi nyingi za starehe nchi kavu na baharini, ninaupendo wa mshumaa wa kumulikia wenzangu, watakao jiunga namikiuchumi tutagawana vya kwangu.
 
Mungu asaidie uskute ww ni makonda,mwiguru,slow slow, au Bernard Kaleman.
 
Unajua Tatizo lako?

umezoea siasa za majina.

Uraisi ni ajira yenye majukumu fulani. Kinachotakiwa hapo ni wananchi kufanya usaili na mara nyingi wale ma professional recruiter hawako interested na kujua wewe unaitwa nani, watakuuliza hayo lakini basic requirement ni unataka kufanya nini au utafanya nini ukipewa hiyo fursa unayoiomba.

akikusikiliza kwanza katika kutambua changamoto na solution unazosema utazitoa basi anapata picha juu kama unaweza au la.

hapa nilichokifanya ni kutoa maelezo yangu ili uyasome kwa kina uelewe dira ninayoilenga na ukiona ninayoyasema ni changamoto na ninavyosema nitazitatua unaona hakuna mwingine mwenye proposal kama hiyo basi jiandae kunipa sapoti siku nikikueleza jina langu na kukumbusha sera zangu
 
Ila kama ni hao nliwataja hata ,usiangaike na mm kukupa sapoti japo kutokukupa sapot haitasaidia kukunyima kura za ndiyo za watz wengne
 
Mtoa maada ubarikiwe wewe Ni genius na kuombea utimize ndoto yako ili utukomboe.nimekusoma vizuri Sana una kitu fulani ndani mwako kitunze Sana hekima ya kiMungu imetembea nawewe
 
Wavivu wa kusoma watakubeza ila nimekusoma mpaka mwisho, uliyoandika yoote ni mazuri na kweli yakifanyiwa kazi tutasonga kwa haraka sana..

Namba 7, huwa nawaza sana hiyo kitu nakuiongea sana, point namba saba ikifanyiwa kazi vizuri asilimia kubwa sana ya vijana wa kitanzania wataingia kwenye uzarishaji na kuongeza mzunguko wa biashara mtaani na kurahisha makusanyo ya TRA..
Labla kama hauja elewa alicho andika

Amesema iliku push sera na kutekeleza suala la Tanzania ya viwanda na kwasababu sera na utekelezaji wa suala hilo kila MTz inatakuwa ashiriki, atakachofanya nikuongeza kodi ya200 ktk kila zao

Akaenda mbele alipo zukumzia kilimo na masoko akasema atafufuta kodi za mazao yanayo enda nje, Sasa hapa ni yeye mwenyewe anajipinga, kama Ndungai na Bunge live na kujireko
 
Back
Top Bottom