Zanzibar kielimu iko nyuma zaidi ya Mtwara, ni ujinga kusema tunafelishwa

Na wanapofeli kwenye somo la kiswahili sababu ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app

Mmoja ya sababu ya kufeli Kiswahili ni dharau au kutojiwekea umuhimu lugha hii kama somo. Maandalizi kwenye lugha hii ni duni sana na hayawekwi maanani kabisa! Unafikiri kwa sababu ni lugha mama na unatumia kila siku, basi huwezi kufeli! Lakini kwenye mitihani ndipo unagundua kuwa kinachotakiwa ni lugha fasaha na si lugha ya mitaani! Halafu kufaulu kwenye Kiswahili hailipi, yaani ni dharau tupu! Pia angalia humu jinsi watu wanavyojitamba na Kiingereza chao cha kuokota! Kuna dhana (complex) kuwa ukitumia kiingereza ndio unaonekana msomi na mstaarabu, kiswahili ni lugha ya washamba! Aibu!!!!!!!
 
Na wewe umeuliza swali kwa kigezo cha nilikotokea ama kielimu?

Kama kigezo ni elimu mbona ukanasibisha swali lako na nilikotokea ndo unataka nihoji?
Unashangaza kitu kimoja,unatokea Lindi, na Lindi ipo nyuma kielimu kuliko Mtwara,lakini cha ajabu kwako unaikwepa Lindi kuiweka kwenye mlinganisho wako kielimu dhidi ya Zanzibar na badala yake unaiweka Mtwara unataka tukuonaje labda kama sio mbinafsi na mnafiki pia?
 
Unashangaza kitu kimoja,unatokea Lindi, na Lindi ipo nyuma kielimu kuliko Mtwara,lakini cha ajabu kwako unaikwepa Lindi kuiweka kwenye mlinganisho wako kielimu dhidi ya Zanzibar na badala yake unaiweka Mtwara unataka tukuonaje labda kama sio mbinafsi na mnafiki pia?
Nani kakuambia nimeilinganisha kwa kigezo cha kuzaliwa?

Si ningedanganya natoka mtwara tu ili nionekane nipo juu,we vipi ?

Nilichofanya mimi ni kUonuesha tu kwamba Nchi ya zanzibar Imepitwa na mkoa wa lindi.

Hoja yangu ni zanzibar kupitwa na mkoa,ama kuhusu lindi si imepitwa na hilo liko wazi,au ulitaka vipi mkuu?
 
Nani kakuambia nimeilinganisha kwa kigezo cha kuzaliwa?

Si ningedanganya natoka mtwara tu ili nionekane nipo juu,we vipi ?

Nilichofanya mimi ni kUonuesha tu kwamba Nchi ya zanzibar Imepitwa na mkoa wa lindi.

Hoja yangu ni zanzibar kupitwa na mkoa,ama kuhusu lindi si imepitwa na hilo liko wazi,au ulitaka vipi mkuu?
Tuishie hapa ila maelezo yako ya sasa yanajichanganya kwakweli.
 
Ukweli wacha tuuseme hapa hapa.
Kielimu Zanzibar kuna tatizo kubwa kupita maelezo, ni janga linalotutafuna wazanzibar kwa muda mrefu huku tukilipuuzia tu. Shida hasa ziko hapa.

1/Tamaduni za kiasili za kizanzibar zinachukulia elimu ya darasani kama tamaduni za kizungu zenye malengo ya kuharibu imani yetu.(Katika wazanzibar 10 basi watano wanaamini huo ujinga).

2/Wazanzibar tuna mfumo wa elimu ya msingi tofauti na bara, na hapo ndipo kiini cha tatizo kinakuja kuonekana tukifika sekondari ambapo tunakuja kuwekwa kwenye mzania sawa wa kutungiwa mitihani na wanafunzi wa huko bara. (Wazanzibar wengi wanatamani wawe na mfumo wao wa mitihani unaojitegemea tofauti kabisa na huu wa NECTA).

3/Maisha ya kielimu zanzibar yamerahisishwa mnoo. Yaani mzanzibar anaweza kumaliza kidato cha nne kwa ufaulu duni sana(labda division four ya 31), na ukamkuta yupo china anasomea udaktari. Ni kitu cha kawaida kabisa na scholarship za kupata hizo nafasi zimejaa tele Zanzibar.

4/Maisha ya kubweteka yamewaharibu kabisa wazanzibar. Yaani utaratibu ulikuwa ni kuwa kama wewe ni Muunguja(wapemba hili haliwahusu, na ndio kisa cha wengi wao kukimbilia bara, ulaya na marekani), hakikisha mzazi wako ni mfuasi wa CCM, basi wewe nenda tu shule kuvuta muda(sio lazima kufaulu sana) mwisho wa siku utaajiriwa serikalini, utalipwa mshahara na ikibidi utapata ajira kwenye serikali ya muungano ambazo zimetunzwa mahsusi kwa ajili ya wanzanzibar tu. (Zipo bashite za hatari za kizanzibar pale uhamiaji, ubalozini mpaka hazina!).

Huo upuuzi na ujinga utaendelea milele Zanzibar ikiwa CCM itaendelea kubakia madarakani, na kama CCM ikiondolewa leo madarakani kule Zanzibar labda itachukua miaka kama 50 hivi kuweza kutengeneza mfumo imara wa elimu wenye tija kule Zanzibar.

Hoja namba 1 na namba 3 nakupinga mkuu.

Hilo kwanza Samahani ila umeongea pumba mkuu. Labda Unaizungumza Zanzibar ya miaka 60 nyuma.

Na Huyo utakaemkuta china anasomea udaktari aliemaliza na division iv ya 31 ni mawili tu. Either amepelekwa na familia yake kwa kua inauwezo wa kifedha (nahilo si Zanzibar tu popote linafanyika) au anatoka kwenye familia za CCM zenye viongozi ndani ya chama au serekali. Hizo scholarship hazaptikanwi tu kirahisi kama hivo unavosema. (kipande cha Ukaazi hupati kama si mwana CCM utapata Scholarship?) huwezi mkuta mtoto wa familia za kawaida kwenye mazingira hayo unayosema.

Mengine nayaunga mkono.

Tatizo kuu Elimu Zanzibar ni CCM
 
Tuishie hapa ila maelezo yako ya sasa yanajichanganya kwakweli.
Ndugu usipoteze muda na huyo, miaka zaidi ya khamsini ya uhuru, shida ni zilezile na wala hazijapatiwa uvumbuzi na wasomi wetu, hao wanaojidai wamesoma.
Ukitembelea nchi za kiarabu zilizokuwa zinaendeshwa kiislamu ni nchi zilizo na maendeleo makubwa, ukilinganisha na tz.

Hapa nitatilia mkazo, elimu ya yetu inatakiwa irudiwe upwa ili itoe wasomi wenye maarifa wenye uwezo wa kutatua shida na si wakariri wa vitabu.
 
Chini ya CCM zanzibar kielimu haitabadilika milele na milele. Ujinga na unyonge ndio silaha ya watawala kuwakandamiza wazanzibar.

Kama hujui tu, harakati zote za kielimu zilizoanzishwa na mkoloni wa kiingereza kabla ya mapinduzi zilizikwa na Hayati Abeid Karume baada ya kuingia madarakani. Hakusoma na hakutaka wazanzibar wengine wasome.

Alipiga marufuku mzanzibar yoyote aliyefaulu kuja kujiunga na chuo kikuu cha Dar(UDSM), aliharibu kabisa mfumo wa elimu. Aliona elimu ya darasa la nne tu iliwatosha wazanzibar.

Mapinduzi ndio yaliyovuruga kila kitu Zanzibar. Na Karume ndio Aliyeiporomosha Zanzibar kwenye kila nyanja.
 
Kwa sababu zanzibar Ni nchi alafu mtwara ni mkoa.

Imakuwaje nchi inapitwa ufaulu na mkoa ?

Yani hapo nikutilia mkazo tu kwamba mikoa ya kusini kielimu iko juu zaidi ya nchi ya zanzibar.

Zanzibar ni koloni. nchi bila ya uhuru pananini hapo?
 
Ndugu usipoteze muda na huyo, miaka zaidi ya khamsini ya uhuru, shida ni zilezile na wala hazijapatiwa uvumbuzi na wasomi wetu, hao wanaojidai wamesoma.
Ukitembelea nchi za kiarabu zilizokuwa zinaendeshwa kiislamu ni nchi zilizo na maendeleo makubwa, ukilinganisha na tz.

Hapa nitatilia mkazo, elimu ya yetu inatakiwa irudiwe upwa ili itoe wasomi wenye maarifa wenye uwezo wa kutatua shida na si wakariri wa vitabu.
Nakuunga mkono asilimia mia moja,kama taifa tunapaswa kujitafakari upya kwenye suala zima la elimu,kuna pahala pakubwa hasa tumekosea toka awali.
 
Who told you?
Mambo ya kufirana yanatoka uarabuni zanzibar wameanza kufirwa na walee wakoloni wa kiarabu Wakina sayyid said na tiputipu na wao wakaanza kufirana

Catholic priest walikaa baada ya waarabu kuwafira wazanzibar wakaja kuleta injili ili waache mambo ya sodoma na gomora lkn ndo wamepamba moto wanchomekana tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakule ulaya na Marekani pia walipelekewa na Waarabu?
 
Tatizo la Watu wa Pwani wanakumbatia sana mila na tamaduni zao, ukijumlisha na Dini ndio hivyo, ni tofauti sana na Mikoa mingi ya bara.

Mshika mawili mara zote moja litamponyoka tu.
 
Back
Top Bottom