Zanzibar: Hotel tano za Jambiani, zateketea kwa moto

Dah nimeshtuka hadi imebid nimpigie sim bakhresa kuumuliza vipi kuhusu hotel Verde
 
Hasara ilioje hiyo....daah it's terrible.....
More than Terrible my friend hizo hotel ni ghali mno, yaani ukiangalia investment iliyotumika hapo daaaa inauma Sana, nilishawahi kuwa pale Seacliff ya Mangapwani Zenjbar aisee nilikua najaribu kuthaminisha vitu vinavyounda hotel mmmmh nikawa na WA respect matycon Kama kina Subash Patel kwamba Kuna Watu Wana mpunga aisee
Imagine nikapiga hesabu ya Generator tatu za imergence zilizopo pale inagharimu kama Tsh
1.2 Billion,mwenzangu na Mimi Hata generator la laki Sina na umeme unavyosumbua Hivi nabaki kulalama kikenge tu 😁😁😁
imagine hizo ni generator tu na ana mitambo mpaka ya kurecycle maji taka nikaona mmmmmh Kuna Watu Wana invest aisee,
Pole Yao ila inaumiza Sana!
 
Hoteli ya Villa de coco iliyopo Jambiani Zanzibar yawaka moto muda huu
880b7c61-1403-422b-b6f9-16c2af8543dd.jpg

a7fe7d7e-07d8-44f0-9dbe-1cdb4601f57e.jpg

2931c749-bf48-4017-b38a-5ceb736bd2c9.jpg

a7fe7d7e-07d8-44f0-9dbe-1cdb4601f57e.jpg
 
Siku hizi watu wamejiongeza. Mtu kama una hotel yako halafu hakuna biashara nzuri, wateja hakuna.

Simple: Unaikatia insurance halafu unaipiga moto. Unasubiri ulipwe na agents hela zako.
 
More than Terrible my friend hizo hotel ni ghali mno,yaani ukiangalia investment iliyotumika hapo daaaa inauma Sana,nilishawahi kuwa pale Seacliff ya Mangapwani Zenjbar aisee nilikua najaribu kuthaminisha vitu vinavyounda hotel mmmmh nikawa na WA respect matycon Kama kina Subash Patel kwamba Kuna Watu Wana mpunga aisee
Imagine nikapiga hesabu ya Generator tatu za imergence zilizopo pale inagharimu kama Tsh
1.2 Billion,mwenzangu na Mimi Hata generator la laki Sina na umeme unavyosumbua Hivi nabaki kulalama kikenge tu 😁😁😁
imagine hizo ni generator tu na ana mitambo mpaka ya kurecycle maji taka nikaona mmmmmh Kuna Watu Wana invest aisee,
Pole Yao ila inaumiza Sana!
Inauma sana mkuu....

Inauma mno daaah HAVOC.......
 
Poleni Sana wahanga, majanga haya yanatishia uchumi wa buluu. Pia jamaa wale hawana tukio mahususi wasije chomekea Ugaidi kuendelea kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom