Kwanini visa vya ajali za moto vimekuwa vingi?

SUTAGI-

JF-Expert Member
Nov 9, 2018
269
511
Kwa mwaka huu 2021 tumesikia visa vingi vya majanga ya Moto.. mfano

Julai:

-Maduka yaliungua sokoni Kariakoo. Mama aliagiza uchunguzi ufanyike lakini hadi leo sikuwahi kusikia ripoti ya uchunguzi huo.

-Bweni ktk shule ya wasichana Morogoro liliteketea kwa Moto.

Oktoba:
-Mgahawa wa The Cask kule Mwanza uliteketea kwa Moto. Kuna taarifa zilizungumzia kuwepo kwa hujuma.

Novemba:
-Kuna maduka yaliungua na Moto kule Mbagala

- Vibanda kadhaa ktk Soko la Manzese lilipo Tunduma viliteketea kwa Moto

-Soko la Katoro lateketea kwa Moto

-Villa de Coco hotel iliyopo Zanzibar imeteketea kwa moto.

Wahusika mnachukua hatua gani?

Kuna hujuma au ni majanga ya kawaida?
 
Back
Top Bottom