Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,279
USA kwa zama hizi mchumba tu.....kushobokewa labda enzi hizoSio twitter tu.
Kagame staili hiyo mkuu maana Kagame alifanikiwa sana kuwafuata wapinzani wake walipokimbilia na kuwadhuru.
Ila naungana nawe kuwa ni kazi ngumu sana ila tahadhari ni bora..
Tatizo unafikiri kuwa madhara ni kufadhili vita tu.
Propaganda na kuanika ubaya/uchafu/ukaburu wa serikali una madhara makubwa sana...tazama namna Rais wetu alivyochukuliwa UN.
Vigogo wa G8 wote walimkimbia,amehaha walau kupiga picha tu ikashindikana! ata makamu tu wa USA mama na black mwenzie akamtosa..it's a shame!
Usione hii ni kawaida unless na wewe ni wa kawaida sana uko upstair