Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

Autodidacts

JF-Expert Member
Jun 9, 2021
1,165
1,803
Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao.

Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani?

Je 'muuaji' Zangira atafanikiwa au ameshashindwa kabla baada ya taarifa zake kujulikana?

Intelijensia ya magharibi itakubali uchafu ufanyike kwenye ardhi yao?

Je kuna wasiokubaliana na namna mambo yanavyoendeshwa na wameamua kuwa wavujishaji siri?

My take:
Kama yasemwayo ni kweli basi tumefika mahali pabaya sana na mh.Rais inabidi asimame imara sasa kusafisha uchafu huu unaofanywa na wachache na wasiojulikana vizuri bado. Kama ni kweli,Zangira adhibitiwe uko uko ili liwe fundisho kwa akina Zangira wengine.
 
Sinema hizi, unafikiri unaweza kuua kirahisi mkimbizi wa kisiasa Canada na Belgium?...

Impact ya Lema na TL kwa nchi ni ipi kiasi cha nchi kuharibu image yake?.... kuna wakati zinatafutwa attention tu...

Waripoti hizo taarifa kwa mamlaka za nchi walizopo halafu uone moto wake...ukiona wameishia twitani tu ujue ni zile zile sinema tu..
 
Hili linakuja baada ya Lema kusema anafikiria kurudi Tanzania, huu ni mchezo unaofanywa na utawala uliofitinika ili kuwatisha wasirudi Tanzania, kwamba waendelee kukaa mbali na nyumbani wasisogee kuona madhila wanayofanyiwa wenzao, na haki za wapinzani ziendelee kuvunjwa makusudi.

Lema namshauri asimuache huyo Zangira asumbuke, badala ya Zangira kwenda Canada, Lema ndio amfuate Zangira Tanzania waje kumuulia hapa, kinachofanyika ni kuchezea akili za wapinzani ili wasirudi kuongeza nguvu na kuwasumbua hawa makaburu weusi.
 
Sinema hizi, unafikiri unaweza kuua kirahisi mkimbizi wa kisiasa Canada na Belgium?...

Impact ya Lema na TL kwa nchi ni ipi kiasi cha nchi kuharibu image yake?.... kuna wakati zinatafutwa attention tu...

Waripoti hizo taarifa kwa mamlaka za nchi walizopo halafu uone moto wake...ukiona wameishia twitani tu ujue ni zile zile sinema tu..
Sio twitter tu.

Kagame staili hiyo mkuu maana Kagame alifanikiwa sana kuwafuata wapinzani wake walipokimbilia na kuwadhuru.

Ila naungana nawe kuwa ni kazi ngumu sana ila tahadhari ni bora..
 
Mwenye tweet tafadhari
1635005579841.png

Nadhani huu ni uzushi,hakuna sababu ya kufanya hivyo
 
Sio twitter tu.

Kagame staili hiyo mkuu maana Kagame alifanikiwa sana kuwafuata wapinzani wake walipokimbilia na kuwadhuru.

Ila naungana nawe kuwa ni kazi ngumu sana ila tahadhari ni bora..

Waliotajwa hawajafikia hatua ya kuwa na madhara kiasi cha kuchukuliwa hatua aka PK style.... hao wapinzani wa PK walikuwa na madhara makubwa kwa PK ndio maana aliamua kuwaeliminate... hao wapinzani wa PK ndio walikuwa wanavufund vikundi vya wanamgambo kama Maimai na fdla nk wakiwa ughaibuni..

Lema ana madhara gani kwa Taifa hili mpaka likamuue Canada, TL ana madhara gani kwa Taifa hili mpaka akauliwe Belgium... naomba niwaambie watu kitu tu...TL weupe walishamdharau hivyo hakuna backup wanaweza kumpa dhidi ya harakati zake na Tanzania, Lema hana uwezo wakufanya lolote dhidi ya Tanzania huko aliko kifupi hana madhara ndio maana hizo naita story za twita...
 
PK kauwa sana wapinzani wake waliokuwa wamekimbilia ktk mataifa haya.

Kwahiyo inawezekana wakauliwa

Hizo style zinatumika kwa watu wenye madhara na si vinginevyo, huwezi ukaniambia eti TL na Lema wanamadhara kiasi cha system ya Tanzania kwenda kuwatafuta na kuwaua ughaibuni na kuharibu vibaya image ya nchi..

Kama hizo taarifa ni za kweli wahusika watoe taarifa kwa mamlaka za nchi walizopo halafu uone Tanzania itakavyoshukiwa na hilo jina tajwa sijui ZINGIRA atakamatwa huko Europe mara moja.....vinginevyo zitakuwa porojo za twita kutafuta porojo nyumbani.....System haiwezi kuwa Pumbavu kuwaza kijinga hivyo...
 
Mkuu kupindi anapigwa risasi ndo alikua na madhara?
 
Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao.

Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani?

Je 'muuaji' Zangira atafanikiwa au ameshashindwa kabla baada ya taarifa zake kujulikana?

Intelijensia ya magharibi itakubali uchafu ufanyike kwenye ardhi yao?

Je kuna wasiokubaliana na namna mambo yanavyoendeshwa na wameamua kuwa wavujishaji siri?

My take:
Kama yasemwayo ni kweli basi tumefika mahali pabaya sana na mh.Rais inabidi asimame imara sasa kusafisha uchafu huu unaofanywa na wachache na wasiojulikana vizuri bado. Kama ni kweli,Zangira adhibitiwe uko uko ili liwe fundisho kwa akina Zangira wengine.
Yetu macho
 
Safari za Rwanda zimeanza kuzaa matunda
 
Watanzania tujitahidi sana kutumia vichwa vyetu kufikiri zaidi na kuacha mashabiki wa siasa na wanasiasa...hivi mnajua madhata ya kuua mkimbizi wa kisiasa kwenye hizo nchi Canada na Belgium?..

Hivi tunajua madhara ambayo yatatokea kama mamlaka za huko zitajua tu kuna operationa ya namna hiyo zinafanyika kwenye ardhi zao...

Je ni kweli Lema, TL na Ngurumo ni kitisho kiasi cha Tanzania kuharibu image yake kwa kufanya matukio kama hayo?....labda kama ni norma spying tu ya kujua nyendo za wahusika na kupima madhara yao kwa Taifa lakini huwezi kuniambia ni elimination.....Nchi na sytstem zake haijafika huko...
 
tunachekesha sana aisee, hivi huu utoto tutaacha lini?..

Yaani hao waliotajwa wawe eliminated kwa kipi , huku kuandika andika twita na hizi space za akina Maria twitani ndio iwe kitisho mpaka wawe eliminated..
 
Kwa fikra za haraka kabisa tuseme tena labda, Lisu ndo angeweza kufuatiliwa kijasusi hadi nje.
Lakini hawa wengine jamani, hapana, hawana madhara ya nguvu kubwa kiasi hicho kutumika kuwafuata hadi nje, lakini kama wakiamua na Zangira kama yupo basi tayari atakuwa kamaliza mchezo, anachofanya sasa yeye ni kuhesabu tu siku za matokeo.
Lema alikuwa na madhara gani hadi aseme na yeye ni mkimbizi wa kisiasa, ok sawa, Lema alikuwa na ushawishi kuliko Kabwe na Mbowe, basi, maana siyo kwa kisiasa hizi.
 
Wazungu wanapokupokea kama mkimbizi wa kisiasa huwa wanapima pia impact yako kwao incase wakitaka kukutumia, ushawishi wako huko utokako na how smart you are...

wakishakupima na kugundua wewe ni potential kwa siasa zao ndani ya nchi utokako basi hukupa backup na kuweka pressure huko utokako, wakigundua huna msaada wanakuacha tu uishi na kukupa kila unachotakiwa kupata kama mkimbizi..

TL wazungu walitaka kumtumia kumpa pressure JPM baada ya yeye JPM kuwa mgumu kwenye baadhi ya mambo ambao wao weupe wanabenefit huku....wakagundua TL hayuko smart kwa wao kutimiza mission zao zaidi ya wao kutafuta suluhu na CCM kupitia walio ndani ya CCM na sytem...mwisho wake wamemuacha TL kama mkimbizi tu na harakati zake mwenyewe.. ..huo ndip ukweli..
 
Kwa hiyo mkuu,unaweza tuambia kipindi Tundu Lissu anapiga risasi pale Jijini Dodoma mchana kweupe ndiyo alikua tishio?? Tundu Lissu,kabla hajapigwa risasi alisema kuna watu wanamfatilia kila anapokua anaenda! Hebu tuweni makini basi na mambo ya msingi

Nani walimpiga risasi TL..
 
Back
Top Bottom