Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

  • Mnataka muachwe huru.....wakati huo huo, rais wa Muungano atoke Zanzbar, viwili hivi vinawezekanaje kwa wakati mmoja?
  • Kwakuwa Ali Hassan Mwinyi alishakuwa Rais wa Jamuhuri akitokea Zanzbar, nadhani sasa ni wakati wa rais wa Zanzibar naye atokee Bara....kama urais ni kwa zamu.
  • Na tabia ya ......changu chakwangu, chetu changu itawaisha lini Waznzbar?
  • Lini Mtanzania Bara ataruhusiwa kumiliki ardhi huko, kama wazanbar wanavyo miliki ardhi bara?

Wazenji watu waajabu sn, anajiona kama wako peponi pale unguja kumbe met na doi nikama mkoa wa katavi tu hakuja chochote, Dodoma wala Arusha Zenj haiwakuti hata maramoja,
Kujikweza tu hawana chochote cha maana.
 
Mkuu JALEM, mimi sioni na sijui umuhimu, faida wala tija za Muungano na Waznbar ni kiwa kama Mtanzania Bara. Zaidi ya viongozi wa Tanzania Bara wanaohuika na Muungano, au watanzania Bara wanaoishi kwa mashaka na kuchomewa vibanda vyao vya biashara, HAKUNA mtanzania BARA anayenufaika kwa faida ya Muungano.

-Bungeni kwetu wazenj wapo,tena wanapokea malipo kule na huku, lakini bungeni kwao hakuna mtanzania bara.
-Hata wizara zisizo kuwa za Muungano, wabunge kutoka visiwani huudhuria na kutoa michango yao na hulipwa.
-Hivi zanzbar hakunaga mkristo aliyesoma, maaana hakuna kiongozi mkristo.
 
Rais atayekuja lazima atoke Zanzibar tumeshavumila sana mkapa (bara), kikwete (bara) anaefuata lazima atoke upande wa pili wa muungano,
 
hoja kubwa iwe uwezo na uzalendo. na je, anaweza kuulinda muungano? lakin kwa jins ilivyo m2 bora say wa ccm toka zenj anaweza shindwa na say m2 dhaifu wa cdm toka bara kama wabara watazngatia atokako m2 na sio uwezo wake. kwakuwa zenj ni kama mkoa kwa idad ya wa2 ingefaa wazenj weng wapate uzoefu wa kufanya kaz huku bara. kwasasa ni wachache mno na hii haitoi nafas kwao kuonyesha uwezo wao na wa2 wakawajua. hii ingewezekana tungekuwa na serkal moja au wizara nying za muungano. mawazri wa zenj ni wagen bar
 
Sitegemei kitu kinaitwa zanzibar eti anatoka rais wa Tanganyika utakuwa wendawazimu yaani watu milioni 43 utawaliwe na watu milioni moja umesikia wapi duniani kama siyo wazimu
 
wazenj hilo wajalibu kulisahau maana kwa mwendo huu awana nafas kabisa mm binafsi sitaki hata kusikia neno mzanzibar
 
Hatutaki raisi toka nchi nyingine, si walisema Zanzibar ni nchi?

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
>waTZ kweli ni wavivu wa kufikili.
Tunaacha kuangalia uwezo,ushawishi,uzalendo,uadilifu,n.k,vya mgombea tunaanza kuangalia kigezo cha ubara na uzanzibar?
>mwishowe tutaanza kuangalia ukristo,uislamu,upagani,uhindu,n.k
ktk kuiongoza nchi.
>Baadae tutaanza kuangalia ukanda,ukabila,rangi,n.k.
>Tukitoka hapo tutaanza kuangalia ujinsia,m.k.
>Kwenye udini waislamu watataka kuangalia usunni,uanswea,u-shi'a,u-sufi,u-Ahmadiya,n.k.
>Wakristo nao watataka kila dhehebu lishike urais,
madhehebu ya kikristo yako mangapi?
>Bado waBudha,wapagani,n.k.
>TUKIKUBALI UJINGA HUU NI SAWA NA UENDAWAZIMU.
>Hivi tukitaka mzanzibar iwe zamu yake, inamaana vyama vyote viwaweke wao ktk kugombea nafasi ya urais?
>Au mwandishi anamaana gani haswa?
>je! Ccm wakamuweka mzanzibar, na ikawa chama pinzani ndio kimeshinda na si mzanzibar, itatokea nini?
>waTZ Tusiwe wazito wa kufikir kiasi hiki.
 
We vipi! Unaangalia wapi uzalendo na mengine? Kwani jk tulimchagua? Si alipewa na tume ya taifa ya uchaguzi kwa kuchirikiana na tiss?
 
UPUUUUUUUZ,na wazanzibari lini mtatupatia zamu ya kuwaongozeni?mlitukamata wakati wa mzee ruksa lkn sasa haitawezekana;mnataka mambo yenu mwamue peke yenu na mambo yetu tuwakubalie mtuamulie?kumbukeni kuwa kwa katiba ya sasa rais wa URT ndiye mkuu wa mambo yasiyo ya muungano ya TANGANYIKA
 
Ndugu wana-jf habari zenu.

Naleta wazo hili kwenu mtoe maoni yenu kuhusu tambo hizi za akina lowassa na makamba na tamko la mtoto wa kikwete kua rais ajaye hatoki kaskazini.
Nijuvo mimi awamu hii ni Zanzibar hasa bada ya kuonewa kwa muda mrefu sana mana kikwete asingepata bali Salim yule Dr toka huko.

Tambo hizi zinamaanisha tena kuwa Zanzibar haitatoa mgombea urais wa jamhuri ili kuimarisha Zaidi muungano.

Je ni ishara ya ccm kufa na kusambaratika kwa kushindwa kusimamia kanuni na taratibu zao?


Tujadili.
 
Kuna nani huko anayeweza kuhimili manguvu ya Upinzani? Mtasema mengi na bado.
 
Back
Top Bottom