Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,585
Wakuu kwema…

Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe.

1. Luku
Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta (sheli).

Yaani unaenda kununua umeme jioni, unakuta foleni ndefu na hapo ombea network isisumbue mtalala giza kwenu.

2. Malipo ya DStv lazma uende ofisini kwao.

Miaka hiyo nakumbuka mzee akienda kulipa DStv kule Kinondoni Makaburini zilipokuwa ofisi pekee za Dstv kwa Tanzania nzima. Ikishalipiwa kule anapiga simu kuuliza vipi chaneli zimefunguka, kabla hajatoka ofisi zao.

3. Simu za TTCL za mezani
Malipo lazma uende ofisini kwao.
Nilichokuwa napenda kuhusu TTCL ni kuwa walikuwa wanatoa vitabu vyenye namba za simu zote nchi nzima. Ulikuwa ukiwa na shida na mtu unatafuta jina lake kwenye kitabu cha TTCL unakuta namba zake unampigia.

4. Malipo ya Maji NUA baadae
Ukiletewa ankara ya maji basi utalazimika kufunga safari kwenda ofisi zao zilipo ili uweze kufanya malipo.

Huduma gani imesahaulika? Ongeza
 
Hii ya kupanga foleni za kununua luku sio mbali ni juzi tu hapo 2008-2012 nimetumwa sana na mazeli kununua umeme sheli ya ukonga madafu na sheria ya mzambarauni opposite na shule za msingi amani na mzambarauni.

Na zaman tulikuwa na tabia ya kununua umeme mpaka uishe enzi hiyo 10k unapata units 56-63....siku hizi 10k unapata units za umeme nusu yake.
 
Wakuu kwema…

Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe.

1. Luku
Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta (sheli).

Yaani unaenda kununua umeme jioni, unakuta foleni ndefu na hapo ombea network isisumbue mtalala giza kwenu.

2. Malipo ya DStv lazma uende ofisini kwao.

Miaka hiyo nakumbuka mzee akienda kulipa DStv kule Kinondoni Makaburini zilipokuwa ofisi pekee za Dstv kwa Tanzania nzima. Ikishalipiwa kule anapiga simu kuuliza vipi chaneli zimefunguka, kabla hajatoka ofisi zao.

3. Simu za TTCL za mezani
Malipo lazma uende ofisini kwao.
Nilichokuwa napenda kuhusu TTCL ni kuwa walikuwa wanatoa vitabu vyenye namba za simu zote nchi nzima. Ulikuwa ukiwa na shida na mtu unatafuta jina lake kwenye kitabu cha TTCL unakuta namba zake unampigia.

4. Malipo ya Maji NUA baadae
Ukiletewa ankara ya maji basi utalazimika kufunga safari kwenda ofisi zao zilipo ili uweze kufanya malipo.

Huduma gani imesahaulika? Ongeza
Sio zamani, ni miaka ya juzi juzi tu hapa.
 
Mkimaliza semeni tuje sie tuliopangs foleni ya kununua sukari.
 
Haya,fanya haraka uchukue kapelo yako na kuanza kuipungia helikopta ya mama kusherehesha maendeleo aliyoyaleta.
Nitaipungia heilcopter yangu
FB9654E8-F8B4-4536-8899-727D9359A3AC.jpeg
 
Back
Top Bottom