Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,587
- Thread starter
- #61
Njia nzuri ilikuwa ya kupitia NairobiKipindi hicho safari ya kutoka mwanza Hadi Dar es salaam ilikua ni siku Tatu.
Njia nzuri ilikuwa ya kupitia NairobiKipindi hicho safari ya kutoka mwanza Hadi Dar es salaam ilikua ni siku Tatu.
Walikuwa wanagawa TTCLDah tumetoka mbali sana aisee 🙌
Nakumbuka kwa babu yangu alikuwa na hiki kitabu, bonge moja la kitabu sijui hata alikitoa wapi 😂
Daaah umenikumbusha mbali
Zamani inaanzia mwaka gani mkuu?Wala siyo zamani