hivyo ni vijisemo vyenu tu watoto wa siku hizi,
Enzi hizo hakuna wivu wa kijinga, kwa sisi machalii wa Enzi hizo ukimtongoza demu akikukubalia ukienda kusarandia unamuunganisha na best yako wa karibu nae aonje utamu,
unakuta mdingi kaoa kamuacha mke kijijini labda kaenda Nairobi, Mombasa, Tanga, Arusha au Dar anakaa huko miaka miwili akirudi anakuta mkewe ana mtoto wa miezi 4 wala haulizi anamlea tu kama wa kwake, na kawaida wazee wa Enzi hizo akirudi kabla hajafika nyumbani anatuma mtu apelike mizigo kama ishara kuwa mwenye mali amekuja wale wakudandia wasifike tena,