chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,086
- 35,102
Watakao kosa ajira ni wahindi wenzake sababu hawa watu hawaajiri watanzania kwenye zile sehemu zenye maslahi hata akikuajiri hatakupa mshahara ambao atampa muhindi Mwenzake nashangaa sana wabongo wanawaowaona hawa watu ni wa maana kumbe ni watu wa hovyo tuAlafu anatokea MTanzania na elimu yake ya chuo, bila hata kujituma kufikiria anaanza kusema waTanzania watakosa ajira akiondoka Manji... What the hell is he benefiting from Manji ??
Tajiri kukubali kuishi kama shetani ni matumizi mabaya ya akili,wengi walihamishia Pesa zao Kenya, south Africa biashara walizihamishia Zambia,Congo,Malawi,Msumbiji,hata malori mengi yamehamishiwa huko yanakwenda maputo yanachukua mizigo kupitia Malawi wanaendelea kutengeneza Pesa kama kawaida,masikini hana uwezo wa kumkomoa tajiri.Sisi ndio looser mfano watu zaidi ya laki moja wamekosa Kazi hawa ni sh ngani walichangia mifuko ya jamii kila mwezi si chini ya sh laki moja kila mwezi, ujaja kodi, mamlaka zote kuanzia OSHA, Sumatra, TBS, tfda,TRA, halmashauri, nk ni kiasi gani mapato yao yameathirika yamepungua kwa watu kuhamisha mitaji nje.Kiuchumi kanuni ya namba iko hivi ukisomesha watu namba wakimaliza kuisoma namba lzm mgawa namba uisome pia inaitwa cause and effect principal, maana mashetani sasa hayana uwezo wa kuchangia mifuko ya jamii,tajiri wa kuchangia mifuko ya jamii na kodi na Tozo zote either kafilisika au kahamisha nje mtaji wake,matokeo yake ni kukauka kwa kibubu sawa na kuizuia mifereji iingizao maji bwawani.Kibubu kikikauka utashindwa kuhudumia watu ukishindwa kuhudumia watakuchukia,chuki na hasira zikizidi watatafuta mabadiliko popote pale kujinasua na hali.
Watakao kosa ajira ni wahindi wenzake sababu hawa watu hawaajiri watanzania kwenye zile sehemu zenye maslahi hata akikuajiri hatakupa mshahara ambao atampa muhindi Mwenzake nashangaa sana wabongo wanawaowaona hawa watu ni wa maana kumbe ni watu wa hovyo tu
Yupo radhi amtoe muhindi Mwenzake India aje amgaramikie gharama zote mpaka Tanzania na gharama nyingine za maisha awapo kwenye company yake kuliko kumpa hiyo ajira mtanzania na kumlipa mshahara mzuri. Alafu wanajiita watanzania, kiswahili tu chenyewe haongei sijui mtanzania wa wapi.
Tatizo la nchi hii kwa sasa ni Jiwe. Ova.
Kwenye biashara mimi ni mdau, tena mwenye uzoefu mwingi. Ni kweli ndugu yangu huku ni lazima kuwe na michongo la sivyo hupati kitu. Lakini suala la huyu jamaa ni ile inayoitwa tamaa ya fisi ambayo mimi ndiyo huwa nailaani. Upigaji wa sampuli yake siutaki na bora nibaki na kidogo nilicho nachoSiku na ww ukianza biashara ndi utajua umuhimu wa makando kando,kodi zenyeww ndo hizo zinaenda kununua madiwan.
Tutakosaje kulipa mishahara?utasubiri sanaWatakapokosa hela za kulipa mishahara ya watumishi na za kulipa madeni,hasa ya nje,ndio watajua uongozi ni busara na si mabavu.
Wewe hujui wafanya biashara na masuala ya kuhamisha mitaji(release of capital)Kwa taarofa yako hiyo kampuni inadaiwa na mabenki na pesa haramu iliyokuwa inatumika kuiendesha haipatikani tena.
Na uelezee manji kupitia quality group of companies alivyojipatia mabilioni kitapeli kwa kutumia raslimali za NSSF,Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252
Jiulize maswali madogo tu:
1) Viwanda vilivyobinafsishwa viliongeza pato gani kwa Taifa? Tumeshuhudia kwa wafanyakazi kupoteza ajira. Wewe unadai Sisi ndio looser mfano watu zaidi ya laki moja wamekosa Kazi
2) Hao matajiri wameisaidia nini nchi hii? Tumeshuhudia mwongezeko wa machinga, na vitu visivyoongeza pato la Taifa, km mahoteli na supermarkets yakiuza bidhaa za nje hata nyanya na nyama ya kuku. Wewe unadai Kibubu kikikauka utashindwa kuhudumia watu ukishindwa kuhudumia
KUPANGA NI KUCHAGUA
Wewe hujalaniwa na ISIS yako?Mpumbavu wewe hujui unalo ongea
MAMA TANZANIA na akulaani wewe na vizazi vyako walahi
Aliokuwa amewaajili mtawaweka wapi?Sidhani kama Manji anaweza kufanya biashara halali bila makandokando. Kama ameamua kuondoka kweli basi ni nafuu kubwa kwetu Tanzania.
Nipe uzoefu wako kwenye forexJifunzeni FOREX mtaji wa sh 500,000 tu unakupunguzia makali ya maisha,nchi ipo mikononi mwa ibilisi,poleni sana watanzania
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app