Yussuf Manji, Omba Toba



Allahumma Amiin.

Sijawahi kuacha kufanya toba na kuomba maghf.ira.

Soma links nilizoweka post namba moja.
 
Sasa nimejua kwa nn unamtetea sana Bashite...mwanzoni ulikuwa upande wa Manji sijui Hili la VIWANJA vya Bakwata ulikuwa umelisahau???


Sina upande kwenye haki. Kumbuka hilo.
 
Wewe mavi towa boriti kwanza kwenye jicho lako mnafki mkubwa wewe.

1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Tatizo alah anajua lugha moja tu kiarab!sina uhakika kama manji anakijua kiarabu!
Ala hana uwezo wa kusamehe dhambi hivyo anapaswa kutubu na kujutia makosa yake kwa Mungu wa kweli Jehova!asiishie hapo aokoke na ampokee Yesu kristo kama mwokozi hapo atakuwa salama
 
Hii ni chuki!
Manji kanunua viwanja halali toka kwa viongozi wenu huko

Anayopitia sasa si hakika kwamba ni malipo ya yeye kununua viwanja halali'


Leo umeanzisha thread yako, kaa humu usahihishe makosa sasa though na pandiko lako hili makosa ni mengi
 
Kufuru ilizidi anatoa mamilioni ya pesa watu waingie uwanjani kuangalia mpira wakati kuna wagonjwa vituo vya watoto yatima wanahitaji msaada
 
Acheni unafiki hivyo viwanja mlimuuzia wenyewe kwa mapatano awatafutie viwanja nje ya mji ili mjenge university na akawapa hivyo viwanja na pesa leo mnazuka kumsingizia nini
 
Sina upande kwenye haki. Kumbuka hilo.


Sasa kwa nn sasa hv unamtetea Bashite kuwa asitoe vyeti...mbona mwanzoni Manji alipowekwa rumande ulisema hii vita ya Madawa ni kundi moja linataka kumaliza jingine

Ukasema inawezekana Bashite anatumia kumkomoa Manji

Ukawataja mpaka wa wala Unga wengine watu wakubwa tu tena kwa majina Kabisa na ukahoji kama ni vita ya Madawa kweli mbona wao hawajakamatwa.

Ukasema Bashite ana uhusiano usio wa kiafya na GSM na hao GSM ukasema wanafanya Biashara ya ngada??

Sasa hv umemgeuka Manji ghafla upo na Bashite kwa nguvu zote... Acha kuwa vuguvugu mama kama ni moto kuwa moto kama baridi uwe baridi tujue moja.
 
Umenena vyema lakini hakuwa mwenyewe .Wako waliomuwezesha ambao walikuwa madarakani wakati huo na kwa sasa wanatanua tu kwa pesa walizopewa na huyo bwana. Tena watu wenyewe ni waislamu wenzake. Je nao mliwasomea? Au mlimsomea manji tu?
 
Hayo maombi mabaya mlitakiwa kuyaelekeza bakwata sio kwa mtu aliyeuziwa kihalali
Unauziwa Mali za Waislam kifisadi halafu unasema zimeuzwa kihalali? Mbona Magufuli ameuona ufisadi ule na kuahidi kuushughulikia? Lkn wenye chuki watabariki uuzwaji wa Mali za Waislam bila aibu. Shame on you!!!!
 
Duniani, Ukipata shida, kila MTU atatoa na Unabii na kutabiri....

Subiri ushinde sasa... Ndo utastaajabu ya Musa.

Am speechless...
 
Kumbe usipovuta ugoro kibibi unaakili sana,ushauri huu sio kwake tu ni kwa wote uwe muislamu au mkristo pale ambapo unapofikia kucheza na kudharau kweli ya Mungu hauwezi kuwa huru hata kidogo. Hongera sana kwa ushauri wako
 
Huyu dada yuko vizuri sana kwenye masuala ya kidini. Anaufahamu uislam kwa undani wake, pia ni mshauri mzuri sana kwenye masuala yanayohusu kuujenga uislam. Allah Subhannah na amwongezee hekima na busara, Inshallah. Ila tatizo la huyu dada ni moja tu, nalo ni KUIKUMBATIA CCM a.k.a Chama Chakavu.
 
Umenena vyema lakini hakuwa mwenyewe .Wako waliomuwezesha ambao walikuwa madarakani wakati huo na kwa sasa wanatanua tu kwa pesa walizopewa na huyo bwana. Tena watu wenyewe ni waislamu wenzake. Je nao mliwasomea? Au mlimsomea manji tu?


Soma post namba 117.
 

Oyster bay inahusiana na vita ya madawa ya kulevya?
 
Acheni unafiki hivyo viwanja mlimuuzia wenyewe kwa mapatano awatafutie viwanja nje ya mji ili mjenge university na akawapa hivyo viwanja na pesa leo mnazuka kumsingizia nini

"Wenyewe", kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…