mangoina
Member
- Jan 31, 2017
- 38
- 18
Hivi kwanini waislam mnapenda kulalama sana? Hiyo EAMWS si mlishindwa wenyewe kuanzisha kwa upunguani wa viongozi? Leo mnamtupia lawama nani?Yussuf Manji ni Muislam na aliwakosea Waislam na ni wajibu wetu kukumbushana.
Toba ni kwa yeyote.
Tumemshatakia mwenyei!! Hivi hiki ni kiswahili cha wapi? Hakika wewe ni punguwani kabisa tena jinga kabisa.Ndiyo maana tumemshatakia Mwenyei Mungu.
Wewe na udini lazima utaishia motoni tu mnafiki mkubwa weweYussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Sasa wewe unashadadia kitu gani?yale mabilioni ya Gaddafi mbona hamjahukumiwa nayo?Safi sana
Wewe mwenyewe hapo moto wa jehanamu unakusubiri kwa kosa la ubaguziYussuf Manji ni Muislam na aliwakosea Waislam na ni wajibu wetu kukumbushana.
Toba ni kwa yeyote.
Naona umevimbiwa na mihogo hapo msogaHayo yanayompata Manji ni somo tosha kwa wote waliohusika. Na wala hapa hatumtaki avirudishe BAKWATA, kanisome vizuri.
Hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.
Wewe nani?Manji siyo Hindu.
Mwenyeezi Mungu anasameh itakuwa sisi?
Allah anakuona ulivyo ndani...Sielewi, mimi nnaelewa maana ya kudhulumu.
Hakika ndugu Faiza,umefikisha ujumbe na Allah ni shahidi. Waumini wa dhati ni wale ambao inapowafika misukosuko husema:Sisi ni wa Allah na hakika kwake tunarejea. Pamoja na nasaha hizo,tumuombee ndugu huyo na wengineo wote wanaopatwa na misukosuko, iwe kheri kwao hapa duniani na Akhera-AMINYussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Amezungumza kwa uwazi masuala yanayowahusu Waislamu na haki zao, na amemshauri Muislam mwenzake alie kwenye matatizo namna ya kufanya sasa sijui wewe unawashwa na nini. Kama ni unafiki basi wewe ndie mnafiki mkubwa kwakuwa husemi ukweli juu ya maradhi yaliyo moyoni mwako, kefule!Wewe na udini lazima utaishia motoni tu mnafiki mkubwa wewe
Ulifatwa -Ulifuatwa.Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.